Any City USA to Dar Es Salaam: Airline tickets; Value for Money | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Any City USA to Dar Es Salaam: Airline tickets; Value for Money

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndjabu Da Dude, Aug 31, 2012.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Baada ya kulipa $2200 US kwenda Dar kutumia British Airways this Summer (2012) na kuishia kulipia $70 in extra baggage fees kwa sanduku la pili wakati wa kuondoka Dar airport na hatimaye kukaa masaa 13 JFK kuanzia saa moja jioni hadi saa 2 asubuhi ili ku-connect na flight hadi RDU Airport, NC, naomba niulize, jee kuna njia gani mbadala zilizo rahisi kwa gharama na zisizohitaji long layover periods (kwa maana ya kusubiri ndege airport) kutoka any major US city to Dar es Salaam?

  Emirates nilikuwa nawatumia muda mrefu, lakini bei zao ni stable kila mwaka na haziteremki.

  BA ndiyo kama nilivyoeleza hapo juu kama unasafiri kutoka US. Qatar ndege zao huwa zinatuwa saa 9 au saa kumi usiku Dar kutoka Ughaibuni na wakati wa kuondoka ndiyo hivyo hivyo unabidi uamke saa 6 usiku kwenda airport kuwahi check-in, kitu ambacho kinaboa kwa kweli.
   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Nilitaka nikwambie qatar but umeshaikosoa, but kuamka usiku ni uamuzi tu unaweza ukapanda qatar ya saa 7 mchana then ukafika doha saa 12 ukawait kwa 3 hours ukapanda pipa mpaka JFK new york hapo utaamua mwenyewe utawanyike vipi maana isije ikawa unaenda IOWA au Dakota kitu ambacho ni kigumu kwa flight nyingi za kiarabu,,

  Mara nyingi nina trip ya iowa huwa sina jinsi zaidi ya kupanda KLM as ndo ananiconnect huko via chicago... Nilishapanda qatar mara moja ambayo ilibidi nipande na delta baada ya kudika JFK na hii niliweza sabab nilikuwa na mwenyej na mishe zangu ny la sivyo inaumiza sana, but kama unaenda huston, washington, na other cities ambazo qatar anatua ndo best flight in term of value for money
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Best is Emirates, if your loyal with Skype membership u enjoy low pricing sometimes

  Allowance 2 bags, of 32kg(ingawa wameandika 23kg kwa web yao), extra bag online payment $140 at airport $175
   
 4. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kwanini hauendi na Ethiopia wao wanatoka DIA to Adis direct DSM two hours transit in Adis both ways ndege ipo kila siku mizigo ni 100 lb
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sitapanda tena Emirates.

  Flight ya masaa zaidi 13 kutoka JFK hadu DXB!! Hell no.

  Ni afadhali nichukue BA au KLM....masaa 7 na ushee kuvuka Atlantic hadi Heathrow au Schiphol.
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni go and return ticket Mkuu? Mie nataka kuja kutembea so nijipangeje kama naenda New York nafikia kwa mtu ... nikisema kujipanga ni hela ya matumizi nikiwa NEWYORK. Ticket sio issue.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,461
  Trophy Points: 280
  Tumia Swissair, return Dar to NY ni US $ 1,800 unafika Zurich usiku unalazwa 5 star hotel, kesho yake unaondoka jioni mnapitia Nairobi unatua Dar saa 1:00 asubuhi. Kuoandoka Dar ni saa 4 usiku. Tatizo lao hand luggage mwisho ni 2 pieces ndogo ndogo, maujanja nguo nyingi bebea kwenye suit carrier haipimwi ukubwa wala uzito!.

  Ndege nyingine poa ni Qater bei ni US $ 1,650 unalazwa Doha in a very luxurios hotel!.

  Mimi kwa long routes, naprefer flights zenye one night stop, unafika bila uchovu sana!.

  Kama lengo is to save money, usipande ndege za mashirika makubwa, go for vishirika vidogo vidogo kama Egypt Air, Ethiopian au Yemenia kutoka Dar - JFK miaka ya nyuma was $ 800 only!, unapanda ndege za kuunga unga but you reach your destination and you save money!.

  Mfano standard rate ya return ya Dar-J'burg- Dar ni $ 600!, BA fulani inaoparate kwa $ 300, sasa Precision Air now wameanza for amaizing rate ya $ 100 only!.

  Go for big name and pay big money!, go for no name and spend no money!.

  Pasco.
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Poa mkuu, nadhani next trip ntaipa Qatar a shot (at least kama wana flights za mchana kutoka Dra hadi Doha.
   
 9. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  I like Emirates a lot lakini tatizo ni kwamba Emirates bei zao haziteremki.
   
 10. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Cool. Lakini Ethipoian wana layover ndefu kuanzia Addis, Rome na Washington Dulles kwa mtu ninayetumia RDU airport kama final destination.
   
 11. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni kwenda na kurudi, lakini ukitumia BA ujue unaweza kaa masaa 12 London kama ndege yako kutoka US inawasili asubuhi mapema (American au BA), huku connecting flight ya BA kutoka London Heathrow kwenda Dar ni saa 2 jioni.
   
 12. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Lakini DXB ni karibu zaidi na Dar (5 hours only) ukilinganisha na Heathrow au Schipol, plus waiting time ni max 2 hours ukifika DXB. Lakini zaidi ya yote, KLM na BA (haswa KLM) ni relatively more expensive ukilinganisha na Emirates. Emirates kicks ass big time, lakini passenger demand ni kubwa na ndiyo maana bei zao huwa ni stable sana na nadra kuteremka.
   
 13. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Swiss sijawahi kabisa kuwatumia zaidi ya mara moja wakati ule wanaitwa Swisair. Lakini you're damn right as far as the the high cost of plane tickets popular and well-established airlines like KLM, BA, American Airlines, United and whatnot charge relative to lesser known players like Ethiopian, Qatar, Swiss, Egyptair and the rest. But that being said, I'd rather pay the extra $300-$500 bucks or so rather than travel with outfits like Egyptair, Kenya Airways, Gulf Air, Ethiopian or Yemenia.
   
 14. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mimi napendelea Muhamed Trans, ni non-stop mwanzo mwisho isipokuwa labda kusimama kuchimba dawa hapa na pale dakika kumi or so, bei zake zinapangwa na serikali kwa hiyo hakuna unpredictability and price gyrations, na reporting time is just about 15min kabla chombo haijaamsha. Na tiketi unaweza kupata asubuhi hiyo hiyo ya safari, just show up at the damn terminal, gharama za extra luggage ni peanuts na still unaweza kulia na officials wakakupetesha vile vile, na hakuna haja ya kukata tiketi ya kwenda na kurudi, unakata tiketi ya safari moja tu, ukipachoka huko uliko unaenda terminal unakata tiketi ya kurudi hapo hap, unageuza. Hakuna worries sijui za kusubiri connecting flight masaa 13, sijui inafika saa tisa usiku, sijui transit visa, mara sijui bei zimepanda zimeshuka, sijui unapitia miji ambayo hurusiwi kutoka nje ya uwanja, sijui kukusanya flier miles..... aaaaaaah! Home Sweet Home!
   
 15. M

  Mkora JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama unakwenda RDU njia rahisi ni nenda London halafu pale unachekua bomba la moja kwa moja mpaka RDU kwani kuna special flight za Glaxo smithkline kwa wafanyakazi na ndugu zao AA na Virgin wana operate na ni rahisi sana bei yake
   
 16. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Chakachua kwenye dili kaa hii ni nooma so to state. Nani mwenye ndugu, rafiki, au jamaa ambaye are remotely connected to GSK itakayomwezesha to pull-of this kind of insane stunt? Is it worth ithe trouble really if your end goal is to save only some couple hundred bucks worth in air tickets to stinkin' Dar? Jee, wewe uliwahi fanya? Sii vibaya basi ukatueleza kinagaubaga jinsi gani uliweza fanikiwa au siyo? Word!
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Jibu rahisi ni: shop!! shop!! shop!! shop!! shop!!

  Halafu soma itinerary yako sawasawa. Airlines nyingi sana za kimataifa huwa hazibadilishi intineraries zao. Ukinunua ticket inayoonyesha kuwa utakaa angani masaa ishirini na tano basi usitegemee ufika Dar kwa masaa kumi tu.

  Nina rekodi mbaya sana na Gulf, lakini vile vile ni na rekondi nzuri na hiyo hiyo Gulf.

  Gulf haijwahi kubadilisha itinerary yangu; I always get what I paid for. Ukilipa dola kumi unapata safari ya dola kumi, na ukilipa dola mia pia unapata trip ya dola mia. Kwa relkodi hiyo sijambo kabisa.

  Rekodi mbaya ya Gulf ni kuwa iwapo ukipata mabadiliko ya dharura kama vile mvua kunyesha na hivyo ukachelewa connection, basi Gulf hawakupi alternative kabisa; na hilo ndilo jambo pekee linalofanya nisisafiri na Gulf wakati wa mvua.

  Mara nyingi sana ukiwa na uhuru wa kusafiri jitahidi ununue ticketi yako dakika za mwisho mwisho, huwa zinakuwa za dezo sana iwapo ndege inakuwa haijajaza. Unfortunately iwapo una ratiba solid, basi advantage ya aina hiyo hutaweza kuitumia.
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ethiopia wamefupisha layover. Kuanzia August 15 wanatumia Dreamliner 787 direct flight Washington-Addis hamna stop over Italy, halafu mnafika saa mbili asubuhi kuna ndege saa nne na saa sita kuelekea Dar. Give it a shout.
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,461
  Trophy Points: 280
  Kuna wasafiri wa aina 3,
  1. Wale ambao wanasafiri to do something, wao lengo lao is to get there at the most conveniency way, kwao money is not the issue, na hawa ndio wapandao ndege kama za BA.

  2. Kuna wasafiri ambao kwao kusafiri its fun, akienda direct, fun inapungua, huyu the more you wait the cheaper the flight, anaprefer to save hata kama atakaa 2 days on transit. Mimi ndio niko kundi hili, na baada ya kusikia return ya South ni $ 100 kwa PAA, japo sina issue yoyote South, kama nimeweza kuspend TZS 1M kwenda Kilombero, why not $ 100 kubadili tuu upepo na kurudi after two-3 days!.

  3. Aina ya mwisho ni wale wasafiri ambao wanasafiri kwa sababu ya shida, hawa they have too and hawana option zaidi ya the cheapest flights na club tickets, sasa hawa ndio walio wengi na ndege zetu ndizo hizi, Gulf, Yemenia, KQ and the like.
   
 20. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco,
  Hizo bei za kwenda south zimeanza lini? Au ni special offer kwa muda fulani? Nijuze nami niende bondeni kubadili Oxygen.
   
Loading...