Any 5 star hotel outside Nairobi to match this?

Weka full information, usitoe kiudoho udoho :D unaogopa nini?
Hio ipo nanyuki. Fairmont country club.
FB_IMG_1565355381145.jpeg
FB_IMG_1565355352319.jpeg
FB_IMG_1565355343238.jpeg
FB_IMG_1565355275689.jpeg
FB_IMG_1565355266052.jpeg
FB_IMG_1565355256788.jpeg
FB_IMG_1565355250401.jpeg
 
Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...
:D :D yaani vi barns vyako ulivovileta vimepigwa na chini na hotel ambazo ni za kawaida tu bado. Umeleta uchafu wa windsor nimekuekea kitu cha Sea cliff uone sceneray ilivo safi kabisa.

Mimi napenda ukiweka info uweke na picha basi ili watu wajionee wenyewe hotels za Zanzibar na Barns za Kenya :D

Kwa price mpaka saivi nimekumaliza, kwa uzuri wa hotels mpaka saivi nimekumaliza pia.

Utalii wa Zanzibar ni High End sana tu.... Kenya mtasubiri sana...
20190809_161803.jpeg

Halafu ujue na kuletea vitu vya kawaida tu...tukitoka hapa tunaenda kwenye utalii wandani..najua utakimbia
 
Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...View attachment 1176699

Huogopi kusema uongo hasa? Hebu ngoja nikukumbushe;

Ulianza hivi

11.JPG

Nikakulete ivi

22.JPG

Sasa nani kamcharaza mwenzake?

Ukaendelea ivi:

33.JPG

Nikasema Okay, nkaja na hii;
44.JPG

Nani Kacharazwa sasa hapo?

Hujakoma, ukaongeza na hii

55.JPG

Nikasema sawa, wacha nkusogezee hii:

66.JPG

nani kacharazwa hapo?

usisahau kama wewe ndie ulieanzisha kuja na bei na bila kueka picha (unajua vibanda vyenu viko overpriced uku kwetu ni dola mia mia ivo)
 
Wacha kudanganya hapa wewe...we ndio ulianza...kemu cheki hyo yako ilikuwa post namba ngapi...thats y nikaona wacha niende na wewe hvo hvo tu
Huogopi kusema uongo hasa? Hebu ngoja nikukumbushe;

Ulianza hivi

View attachment 1176705

Nikakulete ivi

View attachment 1176706

Sasa nani kamcharaza mwenzake?

Ukaendelea ivi:

View attachment 1176707

Nikasema Okay, nkaja na hii;
View attachment 1176708

Nani Kacharazwa sasa hapo?

Hujakoma, ukaongeza na hii

View attachment 1176709

Nikasema sawa, wacha nkusogezee hii:

View attachment 1176710

nani kacharazwa hapo?

usisahau kama wewe ndie ulieanzisha kuja na bei na bila kueka picha (unajua vibanda vyenu viko overpriced uku kwetu ni dola mia mia ivo)
Screenshot_20190809-202101.jpeg
Screenshot_20190809-202222.jpeg
 
Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...View attachment 1176699
Halafu ujue na kuletea vitu vya kawaida tu...tukitoka hapa tunaenda kwenye utalii wandani..najua utakimbia
Wacha kudanganya hapa wewe...we ndio ulianza...kemu cheki hyo yako ilikuwa post namba ngapi...thats y nikaona wacha niende na wewe hvo hvo tuView attachment 1176884View attachment 1176885
Hapo nimekuonesha bei comparison uone kama hio unayoisifia hainaga ishu mbele ya Sea Cliff, your windsor is worthless. Hayo mabanda huku kwetu ni dola mia mia nyie mnauza dola 200.

By the way, with all the beach you have, unataka kunambia you guys dont have beach hotels? Huja mention hata moja.

Izo hotels zako unazoleta za mbugani hio bei yake inachangiwa na mambo ya fees za mbugani lakini ukitoa hio, ni mabanda ya dola 300 tu, hata ivo nimekucharaza na advantage yote ulokuwa nao :D :D :D
 
Heheee...umeona sasa kwnn sea cliff ni ghali kushinda windsor...inaenda na purpose ya hyo hotel,area pia ina matter...

Thats y i was telling you sea cliff is a joke to windsor...nlishanga umeruka kw prices..so tuendelee tu...stop yapping like a kindergarten child..

Mkuu, hotel ambayo ipo mbugani, ilitakiwa iwe more expensive kuliko ilioko baharini. Sote tunajua mtalii akienda mbugani anachajiwa hela ndefu, sasa imagine, analala kwenye hotel ambayo ipo ndani ya mbuga, what do you expect? hata ivo pamoja na advantage mliokuwa nayo, tumewapiga bao bado.

Halafu mbona hunijibu? you guys dont have hotels on the beach? i think it will make more sense that way.

By the way you know why nimekuletea Sea cliff, Kwa sababu ina golf course na hoteli yetu yenye golf course ni hio Sea cliff, sijakuonesha hio kwa sababu ipo beach, look at it, ipo juu ya cliff, there is no access to the beach, lakini ipo amazing bado kuliko windsor. Sina uhakika hio Windsor iko mbugani au iko out of town tu? Kwa sababu mabanda kama hayo huku kwetu yanawekwa kwenye airbnb :D
 
Mkuu hapo unatwanga tu maji kwa kinu, hawa jamaa wana kale katabia ambacho wanaona kila kitu kizuri kipo kwao wakati wanajidanganya alafu ni wabishi by nature, usipoteze muda kuwajibu, waache waendelee kujidanganya ili wafurahi.
Watu hawajui hata maana ya five star hotel.

Nawaelewa hawa jamaa kwa ubishi, na ndio maana hajaleta hata hotel moja ya Beach mana anajua kama izo zao ni mabanda tu.

Analeta hotels za Mbugani, wakati hela nyingi kwenye hio charge yao ni kwa sababu wanalal ndani ya mbuga tu na kumfanya mgeni asilipie tena yale magharama ya mbuga.

Ndani ya nafsi yake anajua kama Zanzibar inatisha kwa mahoteli makali ila ndo ubishi wao tu tena
 
Beach resort ziko baba...n vile wageni wengi kenya wanaona ni afadhali waka camp mbugani kuepuka gharama..

Nawaelewa hawa jamaa kwa ubishi, na ndio maana hajaleta hata hotel moja ya Beach mana anajua kama izo zao ni mabanda tu.

Analeta hotels za Mbugani, wakati hela nyingi kwenye hio charge yao ni kwa sababu wanalal ndani ya mbuga tu na kumfanya mgeni asilipie tena yale magharama ya mbuga.

Ndani ya nafsi yake anajua kama Zanzibar inatisha kwa mahoteli makali ila ndo ubishi wao tu tena
Leopard beach resort hyo
Southern palms beach resort..
Leopard-Beach-Resort-2.jpeg
Leopard-Beach-Resort.jpeg
Southern-Palms-Beach-Resort.jpeg
 
Back
Top Bottom