richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,454
- 3,469
Wakuu hii ishu imetokea juzi usiku wa tarehe 12 Julai, bwana mmoja kwa jina la Ramadhani Mkami (34) mkazi wa Tandika Sokoni Usiku wa tarehe 12 Aliponea chupuchupu kushikishwa ukuta baada ya kufumaniwa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni iliyopo maeneo ya Temeke Mikoroshini.
Kwa mujibu Mwanaume aliyemfumania, anaeleza kwamba kwa kipindi kirefu mke wake amekuwa na mienendo isiyokuwa ya kawaida ikiwemo kuchelewa usiku wakati akitoka kazini na kutomheshimu kama mme wake wa ndoa.
Aidha Mwanaume huyo Anasema kuwa kunakipindi ilifika hatua mkewe kumnyima unyumba kwa kipindi kirefu bila sababu. Ndipo jamaa alipoanza kufatilia mienendo ya mke wake Ili kubaini kama kuna mtu anammegea tunda lake, hivyo akaamua kuweka mashushu na kuwapa posho kidogo ili wamtonye endapo watambaini mwizi wake.
Anasema, siku ya tarehe 12 mida ya jioni kama saa moja kasoro hivi, mkewe alimwambia kuwa amepigiwa simu ya ghafla kazini hvyo alihitajika kwenda na hata hivyo ilikuwa si kawaida yake kuingia kazini usiku.
Anasema mida ya saa mbili usiku alipigiwa simu na jamaa mmoja akampasha kuwa mkewe ameonekana maeneo ya temeke mikoroshini katika nyumba ya wageni akiwa na Mtu Asiyemfahamu.
Ndipo jamaa alipoamua kukodi njemba kama tatu hivi na kwenda moja kwa moja kwenye ile nyumba ya wageni aliyoelekezwa, kufungua chumba tu akamkuta mkewe aliyemuaga mda mfupi kuwa anaenda kazini yupo kifuani kwa mwanaume mwingine.
Jamaa hakutaka kuongea na mkewe ye alimwambia nenda myumbani, mkewe akakimbia chumbani akabaki mgoni, mavi yakawa yanagonga chupi. Jamaa akamwambia mke wangu hajanipa unyumba miezi mitatu sasa kumbe sababu ni wewe?
Leo ny** zote ntazimalizia kwako, daah jamaa alivuliwa nguo zote, na zile njemba ilikuwa bado kuvuliwa ch***, wafanyakazi wa ile guest kwa kushirikiana na majirani wakamuokoa.
Mmmh jamani wake za watu sumu!