Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,947
- 1,797
Waliwatafuta hawakuwapata,inasemwa ilimwaga watu 29 na ilikuwa Nungwi, ushawahi kupasikia NungwiYap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.