Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini akiwa kwenye boti ya Azam

Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
Waliwatafuta hawakuwapata,inasemwa ilimwaga watu 29 na ilikuwa Nungwi, ushawahi kupasikia Nungwi
 
Boti hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar majira ya sita mchana.

May God have mercy on his soul.

Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha.View attachment 1020053View attachment 1020082

=======

Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayosemwa ni ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kwenda Unguja leo Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana.
Huyu mtoa habari nae haeleweki, mwanzo anasema boti ilikuwa ikitokea Zanzibar. Baadae anasema boti hiyo hiyo ilikuwa ikitokea Dar kwenda Unguja...hapo hapo ameripoti kuwa mtu huyo amenusurika kifo, ila cha ajabu watu wanamuita marehemu!!
 
Mkuu hiyo habari na heading vimefanyiwa editing. Mwanzo aliandika amefariki.
Lakini taarifa za uhakika ni kwamba boat ilikua inatoka Dar kuelekea Unguja. Boat ilibidi irudi kuhakikisha anawahishwa kupatiwa huduma ya kwanza.
 
Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
inaonekana hata huyo majeruhi alikuwa anajua kuogelea maan maji ni vikombe vitatu tu vinatosha kukupoteza
 
aaah nimetafakari mengi sana
1.Alikuwa na smart phone ya gharama kubwa kiasi gani nahisi takuwa imezama majini
2.Ametoa nauli ili aende akajiue kwanini asinge nunua sumu ya panya akajiua kwa gharama nafuu na bila kusumbua watu
3.Amelowanisha pesa za Tanzania ambazo zilikuwa mfukoni kwa makusudi hilo ni kosa.
 
Huyu marehemu anaonekana hayuko sawa kichwani, kwani moja ya picha niliyoiona ni kuwa kama ana athari, kwani watu wenye athari wana mfanano kichwani.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Hahaha umekazana MAREHEMU, amefariki saa ngapi?! Kichwa cha habari kinasema " kanusurika" wewe una muita marehemu.
 
Back
Top Bottom