Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini akiwa kwenye boti ya Azam

Nakubaliana kidogo nawe then marehemu anaonekana kama ana athari

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Huwezi kujua aliomba dua gani kabla hajajirusha na masaibu yapi yalimfika.
 
Let us learn to be kinder to each other.

We are each walking with a load of a kind in our hearts.... a small smile could mean nothing to you but it could light a ray of hope in someone's heart.

You never know how heavy someone's heart is. So in a world where you could be rude, unkind and cruel.... choose to be kind wallah.
 
Huwezi kujua aliomba dua gani kabla hajajirusha na masaibu yapi yalimfika.
Mbali na hayo yote, Mungu pekee ndie ajuae hatma ya mja wake. Mungu ni mwingi wa rehma na mwenye kurehemu.
Marehemu anaonekana kama ana athari ya kiakili kwa maana mtindio wa ubongo. Kwani watu wenye mtindio wa ubongo huwa wamefanana maeneo ya kichwani.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Moja kati ya maamuzi ya kipuuzi zaidi duniani ni kujitoa uhai. Haijalishi umekumbwa(kasoro kurukwa na akili tu) na yapi lakin kujitoa uhai ni upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu marehemu anaonekana hayuko sawa kichwani, kwani moja ya picha niliyoiona ni kuwa kama ana athari, kwani watu wenye athari wana mfanano kichwani.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Hivi haya ni majini/mapepo yanawakamata nakuwatuma kujitupa bahatini?? Naona wamethibitiwa na Bwana Kagi kunuwa damu za watu barabarani sasa wamekimbilia majini pumbavu kabisa.

M/Mungu mrehemu marehemu apunzike kwa amani
 
So what! He has to provide more photos, inorder if here's anybody who knows the deceased or neighbur of the deceased to be informed. I stand to be corrected if I'm wrong!

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
boss hujui kiswahili..??
 
boss hujui kiswahili..??
Nakijua mkuu, alini quote kwa ngeli nami nikamjibu kwa ngeli

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Back
Top Bottom