Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini akiwa kwenye boti ya Azam

Moja kati ya maamuzi ya kipuuzi zaidi duniani ni kujitoa uhai. Haijalishi umekumbwa(kasoro kurukwa na akili tu) na yapi lakin kujitoa uhai ni upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kumbuka wote wanaofikia uamuzi wa kujitoa uhai huwa hawapo kwenye akili ya kawaida(kurukwa akili) hivyo comment yako ni meaningless dogo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muwe mnasoma mnaelewa. Mleta habari kasema Amenusurika Kifo, kuna mijitu inakoment Mungu Amrehemu mara RIP.
 
Watu wengine bana wanapenda kukosoa sana. Jamaa alifariki mara tu baada ya kujitupa maana alikunywa maji si chini ya vikombe vitatu lakini wao wameshilikia majeruhi, haya semeni wenyewe kapona huyo?
Ushahidi huo hapo wakati akitolewa majiniView attachment VID-20190211-WA0039.mp4
IMG-20190211-WA0010.jpeg

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Watu wengine bana wanapenda kukosoa sana. Jamaa alifariki mara tu baada ya kujitupa maana alikunywa maji si chini ya vikombe vitatu lakini wao wameshilikia majeruhi, haya semeni wenyewe kapona huyo?
Ushahidi huo hapo wakati akitolewa majiniView attachment 1020376View attachment 1020387

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°

Sie tumesoma heading mkuu..ANUSURIKA
 
Sie tumesoma heading mkuu..ANUSURIKA
Mtoa mada hii habari ye mwenyewe ameipata sehemu, kaichukua hivyo alipoiweka hapa hakuwa na uhakika wa hali ya marehemu, hata hivyo heading yenyewe ili-editiwa later

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Huyu marehemu anaonekana hayuko sawa kichwani, kwani moja ya picha niliyoiona ni kuwa kama ana athari, kwani watu wenye athari wana mfanano kichwani.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kitu ambacho sijaelewa ni kwamba mleta taarifa anasema mtu amenusulika kifo, kwa maana ya kwamba hajafa Lkn wadau humu wanatoa RIP
 
Hivi ndivyo heading ya uzi inaavyoonekana kwa nje, ukiingia ndani inasomeka kanusurika
IMG_20190212_090449.jpeg

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Mtoa mada hii habari ye mwenyewe ameipata sehemu, kaichukua hivyo alipoiweka hapa hakuwa na uhakika wa hali ya marehemu, hata hivyo heading yenyewe ili-editiwa later

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°

Basi kama hatuna hakika kwanini baadhi tunachangia kama vile tuna hakika amefariki?
Hata hivyo, ukitazama zile video na muktadha mzima,mpaka anaokolewa inaonesha alikuwa hai.Sasa hatujui hsptl walisemaje.Pengine tupate habari kwa sasq hali ipoje.
 
Post #85 kuna na video pia i-download

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Post #85 kuna na video pia i-download

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kama umesoma maelezo yangu, utagundua kuwa nishaona video
 
Mleta mada hakuwa na uhakika

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Mleta mada hakuwa na uhakika

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Yeah. Sasa shida nini hapo? Mbona amepresent vema tu? Shida ni baadhi ya watu kukoment kama vile wana hakika au wameambiwa mtu kafariki.
 
Amefariki, sasa mtoa mada mwanzo aliandika amefariki baadae kabadili kichwa kuwa amenusurika

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Amefariki, sasa mtoa mada mwanzo aliandika amefariki baadae kabadili kichwa kuwa amenusurika

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°

Okay.Mimi pia nilitaka kuthibitisha hilo kuwa yu hai ama la.
 
Nimeona clips zote za uokoaji ...
1.Hongera kwa kukuokoa na Mwenyezi Mungu ahimidiwe.
2.Azam naomba wajitafakari na vyombo vya serikali vitupie jicho hao mabaharia na timu ya waokoaji ….wamechukua muda mr
 
Mnatoka tanganyika na stress zenu, zanzibar mshakujaza tayari pashakua magumu sasa mnaona bora mtumbukie
 
Back
Top Bottom