anuptaphobia and gamophobia

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
kwanini haya masuala mawili yamekuwa tatizo la msongo wa mawazo kwa baadhi ya vijana? Nini kifanyike kuondoa hali hiyo?

Mokoyo Sn
 
Hizo ni teminlology za kidaktari ndugu yangu, nafikiri hatuwezi kuchangia chochote kama hujatuelewesha nini maana ya hayo maneno mawili.
 
Caroline maana zake ni:

anuptaphobia is the fear of staying single
&
gamophobia is the fear of marriage
 
kwanini haya masuala mawili yamekuwa tatizo la msongo wa mawazo kwa baadhi ya vijana? Nini kifanyike kuondoa hali hiyo?

Mokoyo Sn

OK, unasema nuptaphobia (fear of being single) na gamophobia (fear of marriage) ni tatizo la msongo wa mawazo kwa baadhi ya vijana. Msongo wa mawazo (depression) is a medical condition. Je una uhakika na unachokisema? Are you a medical professional? If not, Do you have statistics or data from other sources, or it is just "your feeling"?
 
sina hakika kama wajua maana ya na chanzo cha msongo wa mawazo!
 
Uhakika wa mimi kujua, unaweza kuupata kwa kusoma zaidi vitabu na makala mbalimbali. Msongo wa mawazo kwa kiingereza ni "depression". Pia si lazima sana uhakikishe niliyoandika, you can choose to believe what you think is right.
 
ebu wacha maneno mengi, kwa uelewa wako hujui kuwa anuptaphobia na gamophobia ni vyanzo vya msongo wa mawazo?
 
kwanini haya masuala mawili yamekuwa tatizo la msongo wa mawazo kwa baadhi ya vijana? Nini kifanyike kuondoa hali hiyo?

Mokoyo Sn

ndugu usijifanye msomi sana. Kujua misamiati si kujua kilicho ndani yake. Ningeweza kutafuta maana kwenye kamusi kama wewe ila ujifunze kuwasilisha hoja kwa lengo la mjadala. Katika hili uwe makini
 
wewe ni mwathirika wa gamophobia pia
 
na reproduction pia Mkuu

aah...hao wa gamophobia nadhani ndo wanaogopa ku do ze nidiful na huku kukunja ngumi hawataki

hivi hebu nambie inakuwaje unakuta nyumba nzima ina wadada kama 6 na wote ni failures kwenye ndoa...hawaolewi, wakiolewa wanaachika.....?
 
Kwa ufahamu wangu hizi terminology zinatokana na neno PHOBIA yaani fear of something, na zimeunganishwa na pre-fix

anupta-phobia is the fear of staying single
&
gamo-phobia is the fear of marriage

Phobia haiwezi kusababishwa na DEPRESSION au msongo wa Mawazo

Wataalamu wanasema kuwa : The development of a specific phobia may be determined by a variety of factors. Behavioral, cognitive, and social theories of learning and conditioning, psychodynamic etc.

RightHealth and Healthology

Some fears seem reasonable: galeophobia, the fear of sharks, or odontiatophobia; the fear of dentists. Some fears seem a little strange: catoptrophobia, the fear of mirrors, or metrophobia, the fear of poetry. And some fears seem simply impossible: ambulophobia, the fear of walking, or optophobia, the fear of opening one's eyes. But no matter your phobia, you can overcome whatever gives you goose bumps with a little determination and courage.

"A phobia is irrational fear in which the person begins to either avoid that circumstance or approach it with intense anxiety," says R. Reid Wilson, PhD, associate clinical professor of psychiatry at UNC School of Medicine and author of Don't Panic: Taking Control of Anxiety Attacks.
Developing a Phobia
A phobia is a type of anxiety disorder that can begin at any age. In fact, these irrational fears are the most common psychiatric illness among women of all ages and the second-most common illness in men above the age of 25. The National Institute of Mental Health estimates that between 5 and 12 percent of Americans have at least one phobia.
Scientists are unsure of why or how phobias develop. The onset of a phobia may be tied to a traumatic event, but often there is no such trigger, or the cause is subtle. "If you are a child walking down the street holding your mom's hand and hear a dog bark and then feel a little squeeze of your hand, you may develop this fear of dogs," says Dr. Wilson, "You make a conditioned response, an association, between that dog barking and a little signal from your mom that there's some danger there."
Additionally, the same event may happen to many people and only one will develop an extreme fear. Sometimes the terrible event doesn't even need to be experienced directly to develop into a phobia. For instance, people can develop a fear of flying, aviophobia, simply from seeing the video footage of a plane crash on the news. Most people with a phobia will simply do what they can to avoid the situation they dread. For example, a person with galeophobia, a fear of sharks, can avoid beaches and aquariums. But a person who has a fear of dogs, cynophobia, may not be able to leave their house, afraid that a neighbor will be walking his dog at the same time. Most of the time, it is when a fear has seriously disrupted one's way of life that he or she seeks help.

DEPRESSION:
Depression may be described as feeling sad, blue, unhappy, miserable, or down in the dumps. Most of us feel this way at one time or another for short periods

Baada ya kuchambua inaonekana kabisa kuwa hizi terminology hazitokani na depression, nadhani kila moja inajitegemea.

hivyo msongo wa mawazo pekee hauwezi kuwa chanzo cha mtu kuwa single au kuogopa kuoa au kuolewa.

Hata hivyo depression iko ktk level mbalimbali, na ikifikia critical huchukua muda mrefu mtu kupona.

Nawasilisha
 
asante Mkulu kwa elimu! Si ndiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom