ANUANI: Swali juu ya uandishi wa barua

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Naombeni kuwauliza wana jf hivi ule uandishi wa anuani ya mwandishi kwenye barua kuwa kama hivi
------------------------------
Kalenga kidamali,
S. L. P 42990,
Iringa (V),
13, may, 2017.
--------------------------------------
Sasa kwa kuwa wengi wetu tunatumia anuani za shule tulizosoma au watu wetu wa karibu . Mimi kwa kuwa ni miongoni mwa wanaotumia anuani ya shule nimepata wazo la kubadili huu utaratibu wa kuandika anuani ya shule au ya mtu wa karibu na huwa naandika hivi:-
-------------------------------------------
Kalenga kidamali,
Call: 0769811021,
E-mail:kidamali@gmail.com,
Iringa (v),
13,may, 2017.
-----------------------------------------
Binafsi nimeifanya hiyo ndio iwe anuani yangu badala kuweka sanduku la posta nisilokuwa na access ya moja kwa moja.
=================
Naombeni ushauri kama niko sahihi au huwa nakosea kuandika hivo kwani hata katika barua za job application huwa naandika hiyo ambayo mimi naona ndio anuani yangu halisia kwa sasa.
=====================
Nawasilisha
 
naam mkuu upo right kabsaa kwan hule n mtindo wa zaman japo unatumika ktk maofic ila c kwa c watu wa kileo
 
Kwny ya ya uandishi wa Barua anuani ni kitu Muhimu na ni lazima uweke anuani ya Posta Kama ilivyo utaratibu then kwa Nyongeza ndio unaweza ukaweka email au namba za simu ya Mkononi au mezani!

Once unapotakiwa kuandika Barua inawezekana pia watakuwa na utaratibu wa kujibu kwa Njia ya Barua Kama formality na pia kwa Njia zingine Kama Barua Pepe na simu kwa Njia ya haraka, Kama ni kazi utatakiwa uje na copy ya Barua ya kuitwa Kazini sio email wala sms na ukikuta Watu wa korofi wanakutema kwa kutokuwa na Barua ya wito
 
Nimekuelewa sana ila wasi wasi wangu ni juu ya haya masanduku ya barua kuwa changamoto hasa kwetu sisi ambao hatuyamiliki na huwa tukitumia box la shule kama. Mm shule zangu zote zipo mikoa ya mbali na nlisha toka mda mrefu.. Hata niki iweka hiyo box na nikatumiwa kitu chochote huko hakitanifikia na wala siwez jua na hata hao wakuu wa shule huwa wanakaa mda sana kwenda kufungua hayo ma box yao... Sasa mimi niliona kwa tahadhari ni bora hiyo box nisi iweke kabsa hapo
 
Back
Top Bottom