Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

Application ya Office inapiga hizo kazi zote, huitaji hata ku-print. Ukiandika barua yako unaigeuza kwenda pdf then kuna-option ya kuisaini.
Mkuu ufafanuzi kidogo hapa, baada ya kuipeleka kwenye pdf ni application gani unatumia ili uweze ku sign bila printing. Nisaidie kama hutajali tafadhali.
 
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya uapoomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Address ya Takukuru ambayo ni Dodoma na TRA inabidi u address na kuanza president's office ..............P.O Box 2320 Dodoma usipoandika hivo na ku sign na ku scan barua na hizo anuani hutaitwa interview
 
TRA tumia

Commissioner General
28 Edward Sokoine Drive,
11105 Mchafukoge,
Ilala CBD,
P.O.Box 11491
Dar es salaam, Tanzania

PCCB tumia

Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
P.O.BOX 1175
Dodoma
Tanzania
Hizi anuani ni wrong akiandika hataitwa interview sikuhizi kila jambo ni dodoma mzee
 
We jamaa umegraduate katika chuo gani na course gani maana daah, unashangaza sana. Hakuna tangazo la ajira linalokosa anuani. Na kama lipo basi fatilia anuani husika ili uonekane upo SMART
 
Mme apply zaidi ya elfu 20 hadi leo hii. Anyway sija sema kitu

SUBIRI KIDOGO
Braza hapo kwenye kifungu namba 2.1 Academic Qualification naomba unisaidie kutafsiri, hiv ni lazima mtu awe na cheti cha secondary na astashahada au diploma au cheti tu cha sekondari kinatosha maana mimi nina cheti cha form four na six tu sasa sijui kama nakidhi vigezo
Screenshot_20211107-061034.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom