Antony Lusekelo amzuia Nay Wamitego kuanzisha Kanisa

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,053
1,409

Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu.

Mzee wa upako ameyasema hayo alipotafutwa na E-News ya EATV baada ya kuulizwa maswali juu ya kauli hiyo.

“Kama unakuja kanisani kwa maana kuna biashara, nakupa miaka hii mitatu sio utatembelea ndala utatembelea kucha, ni mtoto mdogo sana hana akili.

"Mungu hataniwi, anafanya kufuru, kama ana mama yake amemzaa amuonye. Mimi biblia nimesoma na hizo lugha zake nyepesi zitamtokea puani, asithubutu kufanya kanisa kama biashara.

"Baada ya miaka hii mitatu atajua kwamba kuongoza watu sio kama kuongoza ngo’mbe hakuna jambo gumu kama kuongoza watu wenye akili kama wewe wenye ufahamu kama wewe, wapo watu wengi walianzisha makanisa kwanini walifunga, ujinga hujui ni ujinga ni utoto,” alisema Mzee wa Upako.

Nay amedai kuwa kanisa lake litajengwa Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam.

Leo kupitia E-news ya EATV mzee wa upako amesikika akisema kuwa kakeleka na kitendo cha msanii nay wa mitego kusema atajenga kanisa, na hivyo mzee wa upako kasema msanii huyo anamtania Mungu na hatochukua miaka mitatu atatembelea kucha na sio hata ndala hapa mjini.

My take:
Wabobezi wa dini nisaidieni kujua kwanini mzee wa upako huwa anapenda sana kutoa laana na kuhukumu wakati tunaamini Mungu wetu ni wa huruma.
Mwanzo aliwahukumu waandishi waliokua wakimwandika vibaya kuwa watakufa kabla ya mwaka huu mwezi wa nne.
Sasa hivi kaja na laana kwa nay wa mitego.

Source: EATV
 
.
Mimi sioni tofauti ya mzee wa upako na Nay, wote wana haki sawa mbele za Mungu, wote wana makosa maana ni binadamu, ila kuna mmoja ambaye anajisahaulisha makusudi na kufikiri haki yake kwa Mungu ni zaidi ya mwingine. Hivyo anataka kuutumia huo anaofikiri ni upekee kumlazimisha Mungu atende kama atakavyo. Mungu sii Athumani wala sii antony.
Mzee wa upako jitathmini kama kweli kiti cha kiuongozi wa kiroho kinakutosha.
 
Mi naweza nikawa mshiriki wa hilo kanisa endapo hakutakuwa na sadaka na pia Kiongozi asijifanye anajua kuliko wote.

Pia liwe ni kusanyiko la dini zote bila masharti ya ajabu ajabu, ikiwezekana lisiitwe kanisa.
 
Leo kupitia E-news ya EATV mzee wa upako amesikika akisema kuwa kakeleka na kitendo cha msanii nay wa mitego kusema atajenga kanisa, na hivyo mzee wa upako kasema msanii huyo anamtania Mungu na hatochukua miaka mitatu atatembelea kucha na sio hata ndala hapa mjini.

My take:
Wabobezi wa dini nisaidieni kujua kwanini mzee wa upako huwa anapenda sana kutoa laana na kuhukumu wakati tunaamini Mungu wetu ni wa huruma.
Mwanzo aliwahukumu waandishi waliokua wakimwandika vibaya kuwa watakufa kabla ya mwaka huu mwezi wa nne.
Sasa hivi kaja na laana kwa nay wa mitego.

Source: EATV
Ukitaka kuanzisha kanisa unaomba kibali kwa Lusekelo? Aanzishe tu maana makanisa mengi siku hizi ni ya "Wajasiriainjili'
 
Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu.

Mzee wa upako ameyasema hayo alipotafutwa na E-News ya EATV baada ya kuulizwa maswali juu ya kauli hiyo.

“Kama unakuja kanisani kwa maana kuna biashara, nakupa miaka hii mitatu sio utatembelea ndala utatembelea kucha, ni mtoto mdogo sana hana akili.

"Mungu hataniwi, anafanya kufuru, kama ana mama yake amemzaa amuonye. Mimi biblia nimesoma na hizo lugha zake nyepesi zitamtokea puani, asithubutu kufanya kanisa kama biashara.

"Baada ya miaka hii mitatu atajua kwamba kuongoza watu sio kama kuongoza ngo’mbe hakuna jambo gumu kama kuongoza watu wenye akili kama wewe wenye ufahamu kama wewe, wapo watu wengi walianzisha makanisa kwanini walifunga, ujinga hujui ni ujinga ni utoto,” alisema Mzee wa Upako.

Nay amedai kuwa kanisa lake litajengwa Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam.

Mzee wa Upako acha wivu. Wewe ulianzaje. Huo ni wito, mwache kijana afungue kanisa, afanye kazi ya Mungu. Ni Mungu amependa afanye, amemwita. Kwa nini wewe umtishe badala ya kumpa moyo. Nilitegemea unafurahi na kuwa mstari wa mbele kumsaidia, badala yake unamtisha? Huo ni unokoooo, acha kazi ya Mungu ifanywe na watu aliowateu Yeye.
 
Pastor mwenyewe anayemkemea Nay ni huyu?. Lusekelo anayesema "usipoenda kanisani, wewe ni fala". Hamna kitu apo. Nay we anzisha tu kanisa. God knows the chosen and the choosers!
 
Back
Top Bottom