Antony komu hali ni mbaya

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
4,680
3,396
Hali ya kisiasa ya mweka hazina wa chadema jimbo la moshi vijijini sio shwari ni baada ya kusususiwa na viongozi wa chadema kata za kibosho magharibi na okaoni wakisema awamtambui na walimchagua lucy owenya na sio yeye hii ni kumpa nguvu mpinzani wake wa siku nyingi dr chami wa ccm na kimambo wa DP wakihojiwa nyakati tofauti jimboni huku wanadai komu ni mbababaishaji na mtoa ahadi feki na kuwakumbuka wanajimbo pindi za chaguzi
 
IMG_5147.jpg
 
mkuu tunaomba mrejesho hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom