Antony joshua(AJ),kurudi ulingoni kesho kuzichapa na Carlos takam

andrymta

Member
Jan 30, 2017
41
23
Bondia muingereza antony joshua maarufu kama (AJ) anaesimama na rekodi yake ya kupigana mapambano 19,na kushinda yte 19 kwa k.o,aliejizolea umaarufu mkubwa kwnye ulimwengu wa boxing baada ya kumchapa wladmil klichscho kurudi kesho ulingon kutetea mataji yake dhidi ya carlos takam(mfaransa) anaesimama na rekodi ya kupigana mapambano 39 kushinda 35 na 27 kwa k.o,,,,katika dimba la priparity cardiff tarehe 28 october ikiwa ni pambano la linalosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kushuhudia kama carlos ataweza zima moto wa bondia huyu hatari katika pambano la uzito wa juu la raundi 12
img_BatpnXeBTnK.jpg
2
img_BaUp1PnhzPa.jpg
 

Attachments

  • img_Bav-9BZAC2m.jpg
    img_Bav-9BZAC2m.jpg
    142.5 KB · Views: 64
Anthony Joshua ni version za kina Tyson ... afu jamaa yuko humble sana hanaga kelele na sifa sifa.. ila sokomoko lake uwanjani utasimulia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom