Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,396
Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa chelsea hajui lolote kuhusu soka , hana uvumilivu na ni mtu anayetaka mafanikio kwa kasi ya radi , haiwezekani !
katika jambo lolote analolifanya mtu ili afanikiwe anahitaji consistency , haijawahi kuwa rahisi kupata mafanikio , conte hatatwaa ubingwa na anaweza asiwemo kwenye top 4 kwa msimu wake wa kwanza na baada ya hapo atadhalilika kwa kutimuliwa .