Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Wadau.
Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option ya shortcut ya GO TO amevuruga option ya ku Organise folders na siwezi kuchukua file kwenye application yoyote.
Naombeni msaaada maana kuflash ni hatari zaidi hasa kwa kupoteza certificate za simu ambazo ndio mujarabu kwa net.