Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,154
- 13,376
Poleni kwa majukumu ya siku!
Maana siku hizi hakuna kucheza pool table asubuhi wala kinywa pombe,kazi ni mwanzo mwisho taka usitake.
Niende kwenye mada, nahitaji kupata/kununua anti virus yeyote nzuri hata Kaspersky ya single user.
Kwa mwenye nayo anijuze PM,nipo Arusha.
Asanteni sana!