Anti Ezekiel kuolewa hivi karibuni: Na nani???

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
wakuu, kuna uvumi kwamba anti ezekiel ataolewa hivi karibuni!!!
ni vema ikajulikana ni nani atakayefaidiana unyumba na celebrity huyu maisha yao yooooote!!!

CD+(10).JPG

mkuu yeyote atakayekuwa na habari za uhakika atujuze kwasababu kuu mbili...
12.jpg

1. ili tujiandae kuwatakia maisha mema katka ndoa yao!!!
2. wenye wivu wajinyonge!!!
 
CD+%2810%29.JPG

WIVU? kwa huyu? una utani wewe!
 
hamna mke hapa!! jamaa anamoyo kweli anaongea na demu huku kavaa kitaulo!
 
hamna mke hapa!! Jamaa anamoyo kweli anaongea na demu huku kavaa kitaulo!

katoka kulambwa huyu ana maanaaaa basii

anyway tusije waletea picha za babazenu mkaahama na jf milele msifike tena na huyo binti
anyway mume mwema uppewa na bwana tumsubiri huyo alieshushwa na bwana kwa ajili yake
 
HAHAHAHAHA:becky::becky:!! TAULO YA GUEST SIYO! :becky::becky::becky:
 
katoka kulambwa huyu ana maanaaaa basii

anyway tusije waletea picha za babazenu mkaahama na jf milele msifike tena na huyo binti
anyway mume mwema uppewa na bwana tumsubiri huyo alieshushwa na bwana kwa ajili yake
Aaaaaaaaagh umeau kabisa hapa.... Kweli wanaweza kuahama JF kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom