Uchaguzi 2020 Anthony Komu aruhusiwa kuendelea na mikutano ya kampeni

NCCR Mageuzi

Member
Oct 3, 2007
23
63
BREAKING NEWS: Kamati ya maadili ya Taifa imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 za wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Mbatia pamoja na mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Anthony Komu na wameruhusiwa kuendelea na kampeni kama ilivyo kawaida.

Ikumbukwe kuwa Oktoba 17, 2020 Mgombea ubunge wa jimbo la Vunjo wilaya ya moshi Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, ndugu James Mbatia pamoja na mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Anthony Calist Komu walisimamishwa kufanya kampeni kwa siku saba, kuanzia Oktoba 17 hadi 23, 2020, kutokana na sababu zilizotajwa kuwa ni kutumia vipeperushi mbavyo havijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi.
komu.png
 
Back
Top Bottom