Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,445
Aj upepo umekata alikua anapiga walevi
wee jamaa
Aj upepo umekata alikua anapiga walevi
Dogo sifa nyingi uwezo hana Afu anataka kupigana na FuryHii ni baada ya kupokea kipigo cha pointi toka kwa mpinzani wake huyo katika pambano lao lililomalizika muda mchache uliopita.
Usyk toka Ukraine ameshinda kwa pointi 117-112, 116-112, na 115-113, hivyo kuondoa uwezekano wa Joshua kupambana na Tyson Fury kwa pambano la kuunganisha mikanda yote mikubwa ya uzito wa juu.
AJ anatarajiwa kutumia kipengele cha pambano la marudiano kati yake na Usyk ili kujaribu kuirudisha mikanda yake aliyoipoteza kwa bondia huyo toka Ukraine.
Hata warudiane mara kumi, AJ awezi kumdondosha USYk, huyo jamaa ni mnyama.
Nakubaliana na hiki ulichosema, Joshua sikuwahi kumuamini kama atadumu kwebye ngumi muda mrefu, jamaa haonekani kuwa true fighter na mengi ya mapambano yake hakuwahi kukutana na mabondia wakali.Mimi ni mshabiki mkubwa wa AJ, hebu tuache kujifariji uwongo.
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mapambano ya AJ utagundua alianza kushuka kiwango tangu 2018 baada ya kumpiga Klitschko.
-Miguu haina balance
-Pumzi inakata mapema
-Right hook nyingi zinakuwa off target, hii ni kwasababu anaogopa kumkaribia mpinzani maana anajua akipigwa combination lazima aende chini. Kwa ushahidi zaidi angalia raundi ya 12 Usyk alivompiga combinations ila kengele ikamuokoa.
Tukubali tu AJ enzi yake ndo imeisha hivo kimasihara.
Akirudiana na Usyk anastaafishwa rasmi kwa KO.
Siamini kam anaweza kuchafua rekodi yake kwa sababu ya pesa, yaani aongeze idadi ya mapambano ya kupigwa ili apate pesa ndefu, no way kwa professionals.AJ siku hizi anapenda biashara kuliko heshima, hapo anatafuta hela ndefu kwenye pambano la marudiano.
Huyo jamaa atachakazwa na AJ kwenye pambano la marudiano hamtaamini.
Hii rematch Joshua anaweza asimalize pambano, yule Ruiz alizembea, starehe mingi baada ya kushinda match ya kwanza akachelewa kujiandaa kwa rematch ndio maana akapigwa.Hata warudiane mara kumi, AJ awezi kumdondosha USYk, huyo jamaa ni mnyama.
Namie nipo hapa nasubili majibu ya wajuvi.team Wilder hapa.Vip Fury Vs Wilder 2 unadhani nani atashinda?
Wilder hatoboiNamie nipo hapa nasubili majibu ya wajuvi.team Wilder hapa.
Kabisa yani, Luiz alitosha kabisa kumuaibisha AJ, ila Alexander Usyk hanaga huo ujinga, Tony atapigwa mpaka ashangae tena mi naona bora waachie tu hapo hapo maana aibu na kustaafishwa juu😂😂Hii rematch Joshua anaweza asimalize pambano, yule Ruiz alizembea, starehe mingi baada ya kushinda match ya kwanza akachelewa kujiandaa kwa rematch ndio maana akapigwa.
Mechi ya kwanza ya Wilder na Fury isingetokea knockdown ilikuwa Wilder amepigwa kwa point nyingi sana na alitepeta, ile 2 ndo akachakazwa zaidi sasa hapo unategemea nini ndugu yangu? !Namie nipo hapa nasubili majibu ya wajuvi.team Wilder hapa.
Tuko pamoja kwa WilderNamie nipo hapa nasubili majibu ya wajuvi.team Wilder hapa.
TayariMechi ya kwanza ya Wilder na Fury isingetokea knockdown ilikuwa Wilder amepigwa kwa point nyingi sana na alitepeta, ile 2 ndo akachakazwa zaidi sasa hapo unategemea nini ndugu yangu?