Anthony Diallo aibuka mshindi - Uenyekiti CCM mkoa wa Mwanza

alikua anajenga mazingira iwapo angeshindwa aweka hali ya kuweza kwenda chadema.si unajua tena watu madaraka wanayatafuta kwa kila njia.
Kwa taarifa ni kwamba Diallo kampiga Mabina kwa zaidi ya kura 600. Wanasubiri kumtangaza rasmi. Source ni mtu aliepo kwenye kuhesabu kura.
 
Muda huu ccm ni zamu ya wazee tu. Vijana wasubiri wakiwa na miaka 60 hivi, nao watapata nafasi wakati huo, kama ccm itakuwepo - isipokuwepo bahati mbaya.
 
Diallo hana jipya ndani ya ccm na hatafanya chochote cha maana katika kurundisha imani kwa wanamwanza.
 
Mkuu acha hizo ! uchaguzi wao ni kesho. Leo coaster moja iliyokuwa ikileta wajumbe toka wilayani kwa ajili ya kikao cha kesho imepata ajali nje kidogo ya Mwanza na kuna habari za kifo/vifo.

Kumbe ni uongo
 
Muda huu ccm ni zamu ya wazee tu. Vijana wasubiri wakiwa na miaka 60 hivi, nao watapata nafasi wakati huo, kama ccm itakuwepo - isipokuwepo bahati mbaya.

ndani ya ccm kuna vijana,wanawake na wazee.mpaka watoto ndio mana kuna chipukizi.sema style yako ya kuchomekea uchochezi na chuki kiaina unawanasa wasioshughulisha bongo zao
 
Mwenyekiti wa uchaguzi Wiliam Lukuvi, amemtangaza rasmi Dr. Antony Diallo kuwa mwenyekiti mpya wa mkoa wa Mwanza.
 
mbona hawakufanya live coverage ya huu uchaguzi?

Labda walihisi boss wao atashindwa.....hata sielewi ni vipi watu wanakuwa na mchecheto kuwania vyeo kwenye chama kilichokufa tayari. Kusila wa Dodoma ndiyo anatambua hilo baada ya kushindwa kwenye uchaguzi....teh..teh..husijeshangaa huyo Mabina naye akaja na santuri yake kuwa chama kimeoza.
 
yaaah hichi ndicho kipaji/uwezo/utaalamu pekee magamba walichobaki nao

wadau,
* kuna kituko kimetokea hapa, mbunge wa zamani wa kwimba - bujiku sakila ameibiwa simu yake na wana ccm katika uchaguzi ndani ya ukumbi; anahaha kuitafuta. William ngeleja ametangaza kuwa aliyeichukua airudishe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom