Answer please...

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,695
5,032
936555_612501192150093_1949815898_n.jpg
 
6 gawanya kwa 2 = 3. Acha hapo
Kwenye mabano, 1 + 2 = 3. Sheria ya mabano ni kuzidisha ya nje na ya ndani,; 3 zidisha 3 = 9
 
6 gawanya kwa 2 = 3. Acha hapo
Kwenye mabano, 1 + 2 = 3. Sheria ya mabano ni kuzidisha ya nje na ya ndani,; 3 zidisha 3 = 9
Jombaa utafiti wako umefanya vyema? utagawanyaje 6 kwa 2 alafu jibu lake uzidishe namba zilizo ndani ya mabano? Kumbuka 2 ni muhusika mkuu wa kwenye mabano lakini sii 6. Itakuwaje 6 nayo ijumuike kuzidisha namba zilizo kwenye mababo? Embu itafsiri hiyo hesabu kivingine yaani 6/2(1+2) ina tifauti na ilivyoandikwa ? je jibu litakuja hilohilo? Au ukitumia MAGAZIJUTO anza na mabano ambapo ni kujumlisha 1na 3 jibu unapata 3 tuje zidisha kwa 2 jibu 6 ukimalizia kugawanya kwa 6 jibu 1
 
Back
Top Bottom