Wewe tulia ukae kwa Amani kwani ukithubutu kugusa masilahi ya Maliyamungu Bashite ujue yatakukuta kama ya Lisu kule Dodoma alipogusa masilahi ya 10% ununuzi wa ndege na Siri za kuikomboa ndege kwa Siri kimya kimya apate kupiga cha kingine, tulia usiguse Dili za Naibu Rais Maliyamungu idd Amin Bashite utaishi kwa Amani na Heri Kisanduku makapero hatakaa apajue kwako.Mkuu Mwanahabari huru, kumbe upo?, kwa vile Ngurumo mwenyewe ameishaingia humu mazima in person akiwa ni verified, nakushauri sasa pumzika, acha mwenyewe aje, tubanane nae humu humu.
Ni kweli kuna kitu nimeona hapo sio tuu ni hatari kweli bali kinatisha, sisi ambao hatuna mahali pa kukimbilia, kuna wakati, unapaswa kufunga tuu mdomo na kushangaa, kama mimi ninavyoshangaa kwenye bandiko hili na haswa the authenticity of the story, ikizingatiwa imeripotiwa na mhariri wa kuaminika, ila pia inaweza kabisa kuwa ni concoction kwa sababu hata waandishi wakubwa na wahariri kama kina Salva, na Mtanzania, waliwahi ku concoct na kushuka na concoction kumhusu Dr. Salim Ahmed Salim.
This is something serious, something big, something very dangerous, mpaka sasa mimi bado siamini!.
Tusubiri.
P