Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Hivyo nyie k.m. mnataka nini hasa? Hamna kingine cha kuwaeleza watu zaidi ya Magufuli kafanya nini au Makonda kafanya nini? Hamwoni kama nyie ni wajinga wa akili? Mna amini vitu ambavyo havina maana yeyote kwa taifa letu na maendeleo ya binadam. Watu wazima mna behave kama watoto wa darasa la kwanza?

Rais hawezi kuondolewa kwa kuandika upuuzi. Kama hamumtaki kuna legal processes zimewekwa za kufuata. Subirini 2020 mumpigie kura mtakaye mwona anafaa kuwaongoza. Mwacheni Magufuli amalize kazi yake halafu ndiyo mje na matakwa yenu.

Rais yeyote duniani akiapishwa tu lazima atawaweka watu anao waamini kuongoza serikali yake. Kama nyie ma-journalist uchwara hamumtaki RC Makonda nendeni basi 2020 mkachukue forms za kugombea urais nyie wenyewe ili muwachague watu mnao wataka kutawala.
Rais Magufuli yeye wamemwona Paul Makonda anafaa kumsaidia kuongoza. Mbona anafanya kazi nzuri?

Niwaambie siri wajerumani, watu au taifa ambalo limeendelea sana ki-technic na ustaarabu duniani, waliwahi kuwa na waziri wa mambo ya nchi za nje kwa jina anaitwa Yoshka Fisher ambaye hata highschool hakumaliza, sembuse chuo kikuu? Ajabu ni kwamba mpaka leo, kama nitakuwa na takwimu za uhakika, hakuna kiongozi mwingine ambaye amewahi kupendwa kama yeye. Na alifanya kazi yake vizuri sana.

Résultats Google Recherche d'images correspondant à https://charlie-p-2ac84d7056ca7f9d.s3.amazonaws.com/clips/thumbnails/000/005/811/medium/1HY7885_005_lt.jpg?1481902914

Halafu nyie wenda wazimu na watu ambao hata kuta za chuo kikuu hamjaziona kwa ndani mnathubutu kutwa kucha kupiga soga la Mh. Makonda kana kwamba yeye naye ni mwuuza madawa ya kulevya kama nyie bila haibu na sentimental, Ai see, mnasikitisha Sana.

Yaani nyie mnajiona mna akili kuliko watanzania wote walio mpigia kura Magufuli na hapo hapo kutuzuga tena! Nyie washamba sana. Yaani kwa uongo wenu usio na kichwa wala miguu, mnaoneka kama vile mmetoka bush leo! Yaani ni wakamba kupindukia. Ni vikaragosi. U-journalism gani huo? Huo ni ukoma kwa taarifa zenu. Nendeni kwenu vijijini mkawadanganye mababu na mabibi zenu.

Ma-journalist wanuka jasho wala kuoga hamwogi mnathubutu leo kutufundisha sisi uongo na upuuzi wenu kuhusu Makonda, are you really serious?

Nasikitika Rais Magufuli ana huruma sana na nyie, haki ya Mungu! Ningetamani wote nyie awaweke jela na kuwafungia leseni zenu za u-journalist uchwara kama mnazo.

Nyie ni wababaishaji. Hiyo kazi hamwiiwezi. Wahuni tu nyie wa mitaani na sio jingine. Mmejazwa udaku tu ambao mnataka kututapikia sisi. Ningewashauri mwache ujinga wenu. Sisi sio watu wa level yenu wakutuletea ukoma wenu.

Kuandika uongo ni ofend pia, mkae mkijua! Mkishikwa na kutiwa romande mnaanza kulialia. Eti mnajiita ma-journalist, Ma-journalist gani nyie wakuandika mambo ya uchi uchi! Mmesomea wapi? Pangoni? Nendeni mkafie mbali wasaliti wa nchi yetu nyie.

Mnajua kuwa nyie ni wauaji wakubwa wa jamii yetu kwa uongo wenu? Mna uhakika RC Makonda anaweza akafanya kikao cha usalama kujadili uchawi kweli? Mnaamini hivyo kweli? Au mna lengo la kuwapumbaza watanzania kwa maovu yenu?

Kama mnataka vita si nendeni Syria mkapigane? Kwa nini mnatufuatafuata sisi na viongozi wetu? Hamwoni kuwa mna bor? No one on Earth can take you seriously!

Wenzetu wazungu wana waza jinsi gani ya kuokoa binadam kwa janga lijalo la environment, ili aende kwenye Safari nyingine, nyie ndiyo kwamza mna limbuka na viji-devices vya Samsung na Aple kuandika mambo ya **** ****.
Pelekeni ushoga wenu huko kwenu mnakotoka.

Nyie ni vichaa na manyang'au!
Wewe ni ndiyo kichaa, fala nyang’au na shoga pia kilaza mkubwa umeandika ujinga gani hapa? Maandishi marefu lakini ujinga na ufala mtupu ni washamba pekee toka kolomije na chato wanaweza kukaa kuamiamini ulimbukeni wako wa mifano ya kijuha iliyokuja nao, Tambua kuwa watanzania si wajinga kiasi unachotegemea, wanajua kuwa nyie CCM vilaza lazima mtautetea Udikteta wenu kwa gharama yeyote na kwa mifano ya kishamba kama yako, Dunia nzima wanajua utawala wa Mtukufu malaika toka ni shiiiiida unawabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela, kuwadhalilisha, kuwanunua Wapinzani na unyama mwingi ulitaka chadema wakae kiimya? Kisa wewe fala umekariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ? Yaani mnatenda Uonevu, uovu, Ufisadi pesa za Umma kula 10% ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, viwanda, viwanja vya ndege, vibali vya sukari, makinikia na madili kibao huku pesa za Umma zikichukuliwa huko BOT Hazina kienyeji kwa kazi ya kuwanunua wabunge, madiwani wa chadema, Pesa ya walipa kodi inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo kisha mnataka chadema wakae kiimya? Peleka ujinga wako huko kwa mambumbu wenzako, Watanzania wa sasa hawadanganyiki wanajua Ukweli wote.
 
Huyu mbowe kosa lake ni nini hasa?
Hana kosa bali utawala wa sasa chini ya Naibu Rais ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite upo mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja ili CCM itawale milele kama China na Burundi, wanatengeneza mazingira ya kufuta chadema na Upinzani kwa ujumla.
 
CCM wanawadharau watanzania kwa kiasi kikubwa na dharau ukizidi ndiyo huwafanya kuwatuma watu mambumbu kama Msiba kutengeneza Propaganda za kijuha wakiamini wajinga wajinga huko CCM watakakariri ujinga wao kama walivyokariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM, hizi dharau ndizo zimejenga chuki kubwa dhidi ya utawala huu wa kidikteta chini ya Naibu Rais Maliyamungu idd Amin Bashite ambaye ni kinara wa kudhoofisha, kuua upinzani na kukandamiza Demokrasia, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na kwa kuwa mabaya ni mengi kwa sasa umewafanya wananchi kuacha kutizama yale mazuri machache sana wanayofanya, Mtukufu malaika toka chato hataki kutumia Akili zake tena kaamua kutumia ushauri wa mshauri wake mkuu ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite pekee, hasikii la mtu zaidi ya Maliyamungu Bashite ni kama ule utawala wa marehemu idd Amin dada na yule marehemu colonel Maliyamungu ambaye alikuwa mnyama mwenye Roho mbaya kama mjuukuu wake ambaye ni Rais wa Dsm, mshauri wa Mtukufu na Naibu Rais ana vyeo vingi ikiwemo mkuu wa kitengo cha tokomeza chadema na upinzani kwa ujumla.
 
Sina sababu ya kutomuamini Ngurumo. Kitu kimoja ambacho ni sharia ya asili, ni kwamba kila penye dhuluma, lazima atatokea mtu au watu ambao hawakubaliani na hali na watatoa taarifa za "siri" Hongera sana Ngurumo, Mungu akulinde na ailinde familia yako. akulipe mara mia kwa kujitoa muhanga, hapa duniani na huko mbinguni
Vyombo vya dola kwa idadi kubwa hawapendezwi na Udikteta ndiyo maana kila siri za vikao vya Naibu Rais ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite zinavuja
 
Rwanda ilianza hivi hivi na watu kushabikia maovu kwakutafuta kufuraisha wakubwa wao
 
KIBST unamaana gàni kufuatilià imàni za watu hali ni kitu binafsi, kinahusikanaje kufuatilia nani anasali wapi inakuhusu nini, unakereka nini na imani ya mtu, wewe tukuulize ni dini gani unasali wapi, Jana ulisali kanisa gani?
 
Aaah wapi......this is just a guessing
Kuna baadhi ya mambo ni ya kufikirika unaweza kuyaweka kwenye maandishi yakaonekana ni ukweli kutokana na wakati tuliopo
Mfano
kama ambavyo wengi wetu tunajaribu kumhusisha MBOWE na UPOTEVU wa SAANANE...
Au kuwahusisha CHADEMA NA BAADHI YA MAUAJI

Wakati uovu huu unapangwa rasmi, Rais Magufuli alikuwa kanisani kwenye ibada ya Ijumaa Kuu, “anasali.” Je, naye alibusu msalaba? Kama ndiyo, busu lake lina tofauti gani na busu la Yuda kwa Bwana Yesu – busu la usaliti kwa Watanzania alioapa kuwalinda?
WHAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki
Ni wazo zuri, tatizo ni nani wa kuthibitisha bila kuegemea upande wowote wa serikali AU Upinzani?
 
Inakupasa uandike hivi ili upate hifadhi kwa hao wakoloni!! Ukifanya uhaini wa kuvunja amani kwa ajili ya kufurahisha wazungu lazima ushughulikiwe tu kibaraka.
 
Makonda mwenyewe yupo Mwanza kwake analula pasaka siku ya nne leo hivyo vikao vimekaa mwanza au.......

Hapa ndio huwa siamini mwanasiasa yoyote habar nyingi Ni Za kutunga mode fuatilia huu uzi una chembe chembe Za uongo
 
namba 3 IS THE BEST.
abunuasi KAFA KIFO CHA MENDE.
msiba Wa kujitakia HAUNA MATANGA.
 
Pumba hizi.
Sishangai kwa mtu asiye ona darasa kila kitu kwake ni pumba kwa maana huna uwezo wa ku-argue kama mtu aliye elimika.

Kwa vile nyie ni looser wa society mnataka na sisi tuwe looser kama nyie. Haiendi hivyo. Tumia brain yako mkuu. Hi ni digitalized era. Hakuna cha bure bila mishipa ya fahamu. Damu lazima ichemke ukitaka mafanikio.

Rais kaweka wazi mifuko ya umma na ameagiza taasisi za serikali kutumia mifuko hiyo kuwa saidia wananchi wake kufungua miradi ya viwanda, nyie mnawaza njegele! Wapi na wapi?

Oooh tuanataka haki. Katiba ibadilishwe. Mtakula katiba? Haki gani tena za binadam mnataka? Za kuleta chaos?

Nyie semeni tu kuwa Algorithm za ubongo wenu fuse zake zimeungua mna-operate kama mazombi.

Check the facts!
 
Mada ikianzishwa,mtu akitoa maoni moja kwa moja huwa inahusu mada kuu(mleta mada) na aki reply huwa ina muhusu mchangiaji. Sasa iweje we uhemukwe nakati nimechangia mada kuu(mleta mada).
 
Wewe ni ndiyo kichaa, fala nyang’au na shoga pia kilaza mkubwa umeandika ujinga gani hapa? Maandishi marefu lakini ujinga na ufala mtupu ni washamba pekee toka kolomije na chato wanaweza kukaa kuamiamini ulimbukeni wako wa mifano ya kijuha iliyokuja nao, Tambua kuwa watanzania si wajinga kiasi unachotegemea, wanajua kuwa nyie CCM vilaza lazima mtautetea Udikteta wenu kwa gharama yeyote na kwa mifano ya kishamba kama yako, Dunia nzima wanajua utawala wa Mtukufu malaika toka ni shiiiiida unawabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela, kuwadhalilisha, kuwanunua Wapinzani na unyama mwingi ulitaka chadema wakae kiimya? Kisa wewe fala umekariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ? Yaani mnatenda Uonevu, uovu, Ufisadi pesa za Umma kula 10% ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, viwanda, viwanja vya ndege, vibali vya sukari, makinikia na madili kibao huku pesa za Umma zikichukuliwa huko BOT Hazina kienyeji kwa kazi ya kuwanunua wabunge, madiwani wa chadema, Pesa ya walipa kodi inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo kisha mnataka chadema wakae kiimya? Peleka ujinga wako huko kwa mambumbu wenzako, Watanzania wa sasa hawadanganyiki wanajua Ukweli wote.

Acha kelele wewe fala usiyejua hata kunawa uso! Una bor!

Mimi sio mtu wa CCM na wala CCM siijui na siitaki. Mimi ni mzalendo ninaye jitegemea mwenyewe kwa jasho langu.
Nimewatumikia wazungu maisha yangu yote na sasa naishi kwetu kwa raha na amani ya nchi yangu Tanzania nasubiri nikitoe Mungu atakapo penda.

Nashangaa na kuwasikitikia vijana wetu wenye nguvu kama wewe kupoteza mda wako mwingi kwa Mambo ambayo hayatakusaidia kitu maishani.

Hii serikali huwezi ipindua hata utumie nini? Na watanzania hawako tayari kupigana eti kwa sababu Lissu kapigwa shaba au Mbowe na Sugu wameshitakiwa au kubambikizwa kesi. Mbona wengi tu wana bambikizwa kesi hata enzi ya Nyerere kama hilo ni tatizo. (Samahani nilisahau. Nyerere kumbe umemskia kwenye Bomba tu. Humjui.) Bad Luck!

Life is a Game and the Game must go on. Risk ziko nyingi. Fanya kitu uwezacho usijiingize katika magroup ambayo yanakufanya uwe frustrated.

Tulia na ujipange vizuri. Mbona opportunities ziko nyingi? Wasi wasi wa nini? Tumia akili na elimu iliyo nayo kufanya kitu kwa ajili ya maisha yako na ya familia yako. Achana na mambo ambayo huyaelewi.

Nikikuuliza hapo ulipo nini maana ya haki za binadam utanipa jibu kweli? Acha ufala mkuu.
 
Yaani wewe ni zezeta wa kupindukia. Kichwani naona in maluilui.
Ebu mtafute Dr akusaidie kwa tiba.

Uko nje Kabisa ya stream. Umeamka kutoka usingizini nini?
Kipimo cha wewe kuonekana mzima ni kipi? Mbona wewe ni punguani kiwango cha kutisha? wewe ndiyo unapaswa kutafuta Dr akupime maana ni zuzu na juha kilaza wa kutupwa mtaroni malui lui unayo wewe fala usiye na ubinadamu hutaki kuwakemea Boss zako waache Udikteta unakalia kujidai kuleta ujinga ujinga wako hapa, na kama le mutuz kakuajiri kwa ajili ya kuwatetea humu mitandaoni jiandae kufukuzwa kazi kwani hujui kitu wewe ni zwazwa la kijijini Kolomije.
 
Mada ikianzishwa,mtu akitoa maoni moja kwa moja huwa inahusu mada kuu(mleta mada) na aki reply huwa ina muhusu mchangiaji. Sasa iweje we uhemukwe nakati nimechangia mada kuu(mleta mada).
Sorry mkuu sikuangalia vizuri. Nilifikiri umenilenga mimi. Nisamehe.
 
Acha kelele wewe fala usiyejua hata kunawa uso! Una bor!

Mimi sio mtu wa CCM na wala CCM siijui na siitaki. Mimi ni mzalendo ninaye jitegemea mwenyewe kwa jasho langu.
Nimewatumikia wazungu maisha yangu yote na sasa naishi kwetu kwa raha na amani ya nchi yangu Tanzania nasubiri nikitoe Mungu atakapo penda.

Nashangaa na kuwasikitikia vijana wetu wenye nguvu kama wewe kupoteza mda wako mwingi kwa Mambo ambayo hayatakusaidia kitu maishani.

Hii serikali huwezi ipindua hata utumie nini? Na watanzania hawako tayari kupigana eti kwa sababu Lissu kapigwa shaba au Mbowe na Sugu wameshitakiwa au kubambikizwa kesi. Mbona wengi tu wana bambikizwa kesi hata enzi ya Nyerere kama hilo ni tatizo. (Samahani nilisahau. Nyerere kumbe umemskia kwenye Bomba tu. Humjui.) Bad Luck!

Life is a Game and the Game must go on. Risk ziko nyingi. Fanya kitu uwezacho usijiingize katika magroup ambayo yanakufanya uwe frustrated.

Tulia na ujipange vizuri. Mbona opportunities ziko nyingi? Wasi wasi wa nini? Tumia akili na elimu iliyo nayo kufanya kitu kwa ajili ya maisha yako na ya familia yako. Achana na mambo ambayo huyaelewi.

Nikikuuliza hapo ulipo nini maana ya haki za binadam utanipa jibu kweli? Acha ufala mkuu.
mifano yako na maswali yako ni ya kishamba shamba hakuna haja ya kukujibu wewe kilaza fala nenda kalale msiba akupe mimba, hizo Roho zenu mbaya za kutetea Udikteta na upumbavu wa CCM na Maliyamungu Bashite zina mwisho wake, walikuwepo madikteta wanyama kuliko hao boss zako wapo wapi leo?
 
Back
Top Bottom