Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Ni kweli!

Kwenye PR ya hili janga, jamaa anachemka sana.

Nakubaliana na observation yako.

Ndo maana nimependekeza watu waanze kumpuuza tu.
Watu kumpuuza siyo rahisi. Watanzania wenye upeo wa kumpuuza ni wachache. Nilishangaa sana juzi jamaa mmoja ananimbia ''kwani unafikiri dawa ya corona hakuna? Hukusikia rais anasema kuna dawa inaitwa Covido na hata madaktari wanaitumia?'' Na kweli kuna siku rais alitaja na kusema hata madaktari wakiugua huitumia. Na huyo aliyesema hivyo ni mwalimu mwenye upeo mzuri tu.
 
Eh, basi shauri yao.

Can’t fix stupid.

Mimi nitampuuza. Nyie msikilizeni.
 
Asivae yeye kama hapendi au hataki.

Na aache kuwanyanyapaa wanaovaa. Ni haki yao kuzivaa kama wanataka.
Tatizo lake kubwa kabisa hataki kuwa proved wrong. Chochote na lolote alifanyalo ''yuko sahihi''. Ni mtu mwenye mentality ya ajabu kabisa. Akisema ''ni mapanya'' basi ni mapanya. Nina wasiwasi huenda kwenye suala la corona kuna mtu kama Gwajima ''anampeleka kingi''. Youtube kuna clip yenye mahubiri ya Gwajima kuhusu hatma ya ugonjwa wa corona na chanjo. Gwajima anawaambia waumini wake Tanzania na Magufuli wataibuka kidedea. Anasema raia wa mataifa makubwa watapanga foleni kuomba visa za kuishi Tanzania. Mtu kama ana muda aitafute youtube apate mshangao wa karne.
 
@tz mbogo . Maghufuli ni Rais wa nchi na anawajibika kwa wananchi kwa shida zao zote. Hawezi kujitenga nazo . Labda kama hujui majukumu ya cheo hicho.

Pili kiongozi kukosolewa si uadui bali ni afya kwa uongozi wake. Naye hapaswi kuwafanyia uadui wanaomkosoa kwa sababu ni wajibu wao.
Kuna tofauti kati kukosoa na chuki,shida ya huyo jamaa ni Magufuli na si hayo makosa yanayofanywa na Magufuli hivyo hii corona inatumika tu na ndio maana kipindi kile cha kampeni aliachana na hizo lawama za corona na kujikita na kampeni na huko ndipo tulipojua kuwa kumbe jamaa tatizo lake ni Magufuli na corona ilitumika tu ila haikuwa shida kwake.
 
Tatizo lake kubwa kabisa hataki kuwa proved wrong. Chochote na lolote alifanyalo ''yuko sahihi''. Ni mtu mwenye mentality ya ajabu kabisa. Akisema ''ni mapanya'' basi ni mapanya. Nina wasiwasi huenda kwenye suala la corona kuna mtu kama Gwajima ''anampeleka kingi''. Youtube kuna clip yenye mahubiri ya Gwajima kuhusu hatma ya ugonjwa wa corona na chanjo. Gwajima anawaambia waumini wake Tanzania na Magufuli wataibuka kidedea. Anasema raia wa mataifa makubwa watapanga foleni kuomba visa za kuishi Tanzania. Mtu kama ana muda aitafute youtube apate mshangao wa karne.
Kuwasikiliza Magufuli na Gwajima kuhusu corona ni kujitakia majanga tu.

Mimi nimeshawapuuza.
 
Akikuambia ujichokonoe matakoni na dole gumba lako halafu ulilambe, utamsikiliza au utampuuza?
Hilo unalijua wewe.

Nijuavyo mimi ni kuwa wasaidizi wake hataki wavae Barakoa wakiwa naye, na hawavai. Hao sio watu wasiokuwa na akili.
 
Hilo unalijua wewe.

Nijuavyo mimi ni kuwa wasaidizi wake hataki wavae Barakoa wakiwa naye, na hawavai. Hao sio watu wasiokuwa na akili.
Kama wana akili na wanamsikiliza, basi hawana uti wa mgongo katika kusimamia ukweli!

Wana nidhamu ya uoga.

Mimi na watu wangu wa karibu tunampuuza.
 
Do us a favor, "what's going on in the country"?

Disprove the doctor's "claims that the variant in Tanzania is the new strain..."; otherwise yours would be greater "preposterous musings" than the doctor's!
Claimant bears the burden of proof for his musings!

He who says there is a new strain in Tanzania must show us its existance.

I can not - nobody can - prove a negative.

If I say there is no God and you say there is one, you show me where he is.

Logic 101.
 
Watu kumpuuza siyo rahisi. Watanzania wenye upeo wa kumpuuza ni wachache. Nilishangaa sana juzi jamaa mmoja ananimbia ''kwani unafikiri dawa ya corona hakuna? Hukusikia rais anasema kuna dawa inaitwa Covido na hata madaktari wanaitumia?'' Na kweli kuna siku rais alitaja na kusema hata madaktari wakiugua huitumia. Na huyo aliyesema hivyo ni mwalimu mwenye upeo mzuri tu.
Kwahiyo wewe KICHWA CHAKO kinataka kusikia dawa za WAZUNGU TU?Dawa ikapatikana Hapa Tz na wakatangaza kwako ni upuuzi ila angesema mzungu ingekua sawa.HIZI NI AKILI ZA KIPUNGUANI
 
Such is the circle of life!

Kwanza walio wengi tayari walishatangulia pre-COVID-19.

Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.

Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.
Hapa umenena ukweli non spuriously
 
Kwa hiyo kwenye kampeni ulitaka akae kimya? Kwan na yeye Kama ulivo wewe si ana chama chake ambacho alitaka kishinde? Ulitaka asikipigie kampeni?
Kuna tofauti kati kukosoa na chuki,shida ya huyo jamaa ni Magufuli na si hayo makosa yanayofanywa na Magufuli hivyo hii corona inatumika tu na ndio maana kipindi kile cha kampeni aliachana na hizo lawama za corona na kujikita na kampeni na huko ndipo tulipojua kuwa kumbe jamaa tatizo lake ni Magufuli na corona ilitumika tu ila haikuwa shida kwake.
 
Maswaliwali muhimu ni: anataka nini hasa. Ana lenga kupata nini juu ya msimamo wake huu?
Anataka kuprove kuwa huwa hakosei ili mjue alivo na nguvu; akikubali alikosea kusema korona haipo Tanzania maana yake yeye Ni dhaifu wakati ukweli yeye Ni mwanaume wa shoka Tanzania nzima Bara na Visiwani.
 
Dr Minja Habari!! Nimewasikiliza mazungumzo yenu vizuri Sana. Mnatakiwa muelewe kuwa wizara ya afya na Rais wetu wamejitahidi sana kupambana na Covid. Tanzania ni nchi masikini. Haiwezi kufunga shughuli zake.Tutakufa njaa na tutafiriska.Aidha tusimsingizie Rais na serikali kuwa wanawapotosha watu. Hii issue kwa jinsi dunia inavyokwenda inafika mahali inabaki issue ya mtu binafsi. Wamekufa watu wakubwa. Je, na wao walishindwa kuchukua hatua? Hapana ni issue zao binafsi kushindwa kujikinga.Tusilaumiane.Wanaokufa marekani ni wengi kuliko wanaokufa Tanzania. Why Tanzania?
Spinning doctors at work.
Yan kwenye mjadala huo hoja ilikuwa kufungia watu kweli?!!!
 
Kukosa Corona angekufa njaa! Ndiyo maana yuko msitari wa mbele kuwatisha watu na Corona!!
Statements Kama hizi mjue Zina repercutions zake na mojawapo Ni watu kushangilia RIP. Sasa endeleeni kuzitoa lakin watu watakoposhangilia mvumilie matunda ya statements zenu.
 
Anapoteza sifa kwa sababu anaongelea Mambo ambayo hana taarifa nazo ni Kama umemsoma mdau hapo juu kwa sasa tuna Tanzania mbili ya mtandaoni na halisi. Hiyo ya mtandaoni inatisha hata wewe hutatamani kuishi ambayo ndio inahadithiwa na kunadiwa na kina ngurumo .

Sasa kwanini aeneze habari zisizo sahihi eti kisha yeye ni mkimbizi wa nchi yenye amani
Kwani siku hizi karne ya 21 taarifa huwa zinapatiksna wapi mazee?
Bado hamjakubali tu kuwa dunia ishakuwa ndogo Kama Kijiji?au na Hilo pia mpo kwenye denial?!!
Bado mpo karne ya 20 ya RTD?!!!
 
Kuna tofauti kati kukosoa na chuki,shida ya huyo jamaa ni Magufuli na si hayo makosa yanayofanywa na Magufuli hivyo hii corona inatumika tu na ndio maana kipindi kile cha kampeni aliachana na hizo lawama za corona na kujikita na kampeni na huko ndipo tulipojua kuwa kumbe jamaa tatizo lake ni Magufuli na corona ilitumika tu ila haikuwa shida kwake.
Kwani Tz mbongo anapomkosoa huwa hana hoja ?!.

Kwa mfano issue ya Corona Mzee anachemka !!. Kama kiongozi mkuu , hakutakiwa kuicrush maabara kuu ya taifa. Kwa kuipimisha oil, kware, makondoo na mimbuzi. Na kisha kuhusisha udhaifu wa maabara hiyo na mabeberu. Kutimua wataalamu wake

Pili hakutakiwa kuificha takwimu na kuikana Corona kuwa haipo. Wakati raia waTz wakivuka mpaka tu , wanapimwa na kukutwa na Corona eg madereva, wachezaji na hata wasafiri wa kawaida mfano Oman !!

Tatu na mwisho . Barakoa zimeingia huku tukiwa na taasisi zetu tunazoiziamini eg Tiss, Tmda, Tra , Police nk. Sasa tusipoziamini hizi taasisi, tumuamini mtu moja tu Maghufuli ?!

Angalia hoja za mkosoaji
 
Statements Kama hizi mjue Zina repercutions zake na mojawapo Ni watu kushangilia RIP. Sasa endeleeni kuzitoa lakin watu watakoposhangilia mvumilie matunda ya statements zenu.
Usitutisheeeeeeee! RIP Maalimu Seifu!!
 
Back
Top Bottom