Ansbert Ngurumo: Baada ya movie ya Mo kuisha, Freeman Mbowe na John Heche imarisheni ulinzi wenu

Dah kweli binadamu anaweza kubadilishwa jina kwa sekunde tu yani kaka yangu MO week tu midevu hyo kama osma na kupungua kilo kumi juu,japo nabakia na swali kwanini alikuwa hawaangalii usoni?
 
Kigogo

[https://abs-0]

@kigogo2014

·

3h

Replying to

Ngurumo

and

@TitoMagoti

Wakiwaua au kuwateka hawa tunapiga hii nchi kiberiti. Wasilete usenge hapa

1

1

20
 

GOD TAKE CARE OF ALL OF US IN TZ WHO LOVE OUR COUNTRY,nguvu za ngiza ambazo zinazidi kujipanga na kutaka kuteka na kuua viongozi wa upizani, watu ambao wanaikosoa ccm kwa kuiambia ukweli, wale walipiga lissu risasi, wale waliteka ben saanane, azory, mungu wacha wavune walichopanda na wanachotarajia kupanda
 
Back
Top Bottom