Another US terrorist has committed suicide after returning from the war in Afghanistan

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Askari gaidi wa Marekani ajitoa uhai baada ya kurejea vitani nchini Afghanistan
Mei 15, 2019 14:26 UTC
Askari mmoja gaidi wa Marekani amejiua muda punde baada ya kurejea kutoka katika vita nchini Afghanistan kutokana na matatizo ya kisaikolojia na msongo mkubwa wa mawazo.
Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, polisi ya mji wa Greenville katika jimbo la Carolina Kusini nchini Marekani waliukuta mwili wa Jared John, askari wa Kimarekani ambaye hivi karibuni alirejea kutoka nchini Afghanistan ndani ya nyumba alimokuwa akiishi.
Baba wa John amesema kuwa, baada ya mwanae kurejea kutoka vitani nchini Afghanistan alipatwa na matatizo ya kisaikolojia na msongo mkubwa wa mawazo kiasi kwamba kwa zaidi ya wiki nzima alishindwa kulala.
Inafaa kuashiria kuwa, tangu Marekani ilipoishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan mwaka 2001 hadi sasa dunia imekuwa ikishuhudia mauaji ya raia wa kawaida wa nchi hiyo kutokana na operesheni tofauti za askari hao vamizi.
Katika uwanja huo, kuichoma moto na kuidhalilisha miili ya raia na kisha kupiga picha askari hao wa Marekani wakiwa na miili hiyo, kuanzisha jela za siri na kushambualia sherehe za harusi, ni miongoni mwa jinai ambazo zimekuwa zikifanywa na askari wa Marekani.
Kadhalika utumiwaji wa njia zinazokanyaga haki za binaadamu katika kuwahoji watuhumiwa kama vile kuwazamisha katika maji, kuwalazimisha kusimama kwa muda mrefu, kuwazuia wafungwa kulala kwa kipindi cha wiki nzima, kuzitisha familia za wafungwa hao, ni sehemu nyingine ya jinai zinazofanywa na askari wa Marekani dhidi ya raia wa Afghanistan.

My take;Siku hizi askari wa marekani wanatambulika kama "magaidi" msisahau hilo
4bshe5e1c295821f6rt_800C450.jpg
 
LAANA YA MUNGU HAIJAMUACHA MTU SALAMA

View attachment 1098850
 
Back
Top Bottom