Another Shady Land Deal in Africa, This One Assisted By the U.S. Ambassador to Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Another Shady Land Deal in Africa, This One Assisted By the U.S. Ambassador to Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jan 7, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Rachel Cernansky
  Business / Economics
  December 30, 2011

  [​IMG]  [​IMG]
  Trees ForTheFuture/CC BY 1.0
  Tree-planting in Mayange Village near Kigoma, Tanzania, where thousands of people would be displaced-some of them refugees from Burundi with over 40 years of established lives, according to the Oakland Institute.

  The Oakland Institute-the think tank that revealed the connection this summer between Ivy League universities and land grabs in Africa-is now voicing concern about the support the U.S. ambassador to Tanzania is lending to a land deal in that country that would displace more than 160,000 people.

  Displacing Refugee Populations with Unsustainable Agriculture

  According to the Oakland Institute

  It appears your Web browser is not configured to display PDF files. No worries, just click here to download the PDF file.

   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Habari ndio hiyo... Yaani hawa nchi za magharibi walichotakiwa ni kutusaidia sisi Taifala Wakulima na Wafanyakazi tupate kuondokana na Umaskini sasa wamekuja wao chukua Ukulima kiasi kwamba sio swala la watu kukoa makazi tu bali hata kupoteza ajira zao za kilimo..

  Hii dhana potofu inatokana na sisi kuamini kwamba hawa watu wanakuja tusaidia. Hivi sasa siasa kubwa za nchi za Ulaya zote hadi hapa Canada ni kuhusu land grabbing in Afrika! wanazungumzia kwa kujisifia ushindani wao ktk kuchukua ardhi za Kiafrika na kusema Ukoloni mamboleo unakubalika Afrika hivyo ni mashindano baina yao na Mchina.. Hivi kweli sisi tumekosa watu wa kufikiri, kusikia taarifa zao na kujua nini nia yao?..Juzi tu nimeona ktk kipindi cha CNN wakizungumzia Wachina wanavyowahi Afrika na kudai lazima nao washindane nao..Uwanja Afrika ati wanapunguza matumizi ya jeshi na kuanza tactics za kiuchumi zaidi kuboresha uchumi wao... Sisi ndio kwanza tunapanua miguu..

  Nimewahi kuandika hapa JF kwamba Waafrika tusidanganyike, hawa jamaa hawapo hapa kutupa msaada bali walitajirika kwa kututumia na sasa wamerudi kutumaliza kwa kutumia vitabu vyao wenyewe. Wanasema wanatusogeza ktk ngazi ili tuweze kupanda sisi wenyewe kuwafikia jamani hiyo ngazi iko wapi? sio sisi Waafrika tuliokuwa ngazi wakitupanda ili wafike juu leo wanatusogeza ktk ngazi ipi?.. Wao wapo juu watupe kamba chini nasi tupande lakini kinachofanyika wao wanarudi chini na sio kutusaidia sisi tupande juu laa hasha kutusaidia kuchukua mzigo wetu (rasilimali) wakidai umetuzidi uzito ndio maana tunashindwa kupanda..

  Hivi kweli hatuna wachumi wanaotazama picha hii kwa jicho hilo?.. kama wapo wanakuja tusaidia Kiuchumi why wao ndio wawe wamiliko wa mali zetu?.. tukiapnda juu bila kitu tumefanya nini?... They built industries wakijua malighafi inatoka Afrika, sisi tunasaidia kujenga kitu gani ikiwa hizo industries ni zao na sasa wanachukua hadi kilimo... kuna tofauti gani na wakati tukitawaliwa, aaah! somo la uchumi silitaki tena...
   
 3. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sina hakika kama hii ni9 joint venture au investment project. Sheria zetu za uwekezaji zinasemaje? Nadhani PM Mizengo Pinda "mtoto wa mkulima" atakuwa amezingatia hayo yote na tusilalamike tu ila tuwe na taarifa kamili ili kuona kama mradi huu una maslahi kwa wana Rukwa na Kigoma au la! .. Mzee mwinyi aliwahi kusema: " Yakhe uchumi tunao lakini tunaukalia" kwa hio naona hapa uchumi tunaushughulikia ili ardhi itoe tija kwa jamii. Ni kweli kwamba kama ardhi hii ilikuwa under utilised sasa itumike kuleta tija na wanaoitumia kwa sasa, kama walikuwa wakimbizi naamini watawekwa sehemu nyingine na mazingira yao kuboreshwa.

  Kama kuna mambo ya kushughulikiwa ili mradi ufanye kazi kama ilivyotarajiwa ni sawa na gari kuwekwa mafuta ili liende ililipotarajiwa.
  ONYO: Ardhi isiuzwe lakini kama inaweza kukodishwa kwa wageni wakaleta tija badala ya kuwa pori litakaloficha majambazi sina tatizo na hilo!!!!
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Unasikia Waziri wa Maliasili na Utalii ana 500 milion ya kuinvest kwake unadhani wanazipata wapi...

  wote wanatumia maliasili za nchi kujiburidisha wao na watoto wao; angalia jinsi mtoto wa kikwete alivyo na nguvu
   
 5. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Watanzania wenzangu tuache kulalamika bila kutumia akili. Tanzania ni nchi kubwa sana, tuna ardhi kubwa na yenye rutuba sana, lakini hatuishi kulalamika njaa na umasikini kila kukicha. Tuna wataalamu kwa kilimo kwa ngazi tofauti hadi ma-professor, lakini hatuoni wanachofanya kuisadia serikali kuondoa tatizo la chakula nchini. Utaona professor wa kilimo pale SUA ana mradi wa daladala na Grocery ya kuuza pombe, sasa anataka watanzania wengine tujifunze nini kutoka kwake?. Kwa kifupi ni kwamba Watanzania hatujui kabisa thamani ya kilimo pamoja na ukweli kwamba tunahitaji kula kila siku. Watanzania wengi wanathamini kazi za maofisini (meneja), na wengi walio vyuoni wana ndoto za kuja kuwa mameneja na kufanya kazi ofisini tu, hakuna mwenye ndoto za kuja kuwa mkulima.

  Serikali ya Tanzania imetangaza suala la kilimo kwanza, ni wangapi kati yetu wamefuatilia kwa ukaribu kuhusu hili suala kwa lengo la kuwezeshwa na serikali (kupewa misaada katika kilimo)?.

  Kwa upande wangu sioni kosa la serikali katika hili suala la kuwakaribisha wageni kulima chakula ndani ya Tanzania. Watanzania wengi ni magoigoi yaani wapo wapo tu kazi ni kulaumu kila kitu na uvivu kibao. (mdomo mwingi matendo sifuri). Tungekuwa tunathamini kilimo tusingefika hapa tulipofika.
   
 6. ubun2

  ubun2 Senior Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  One thing is for sure here, this gvt. is a magnet to shady deals. & why is that. Because the whole system is corrupt.

  Over the past 20 or so years most deals signed by this gvt. have not benefitted the people of Tanzania. Yet they all run on an anti-corruption campaign and through the back door sign on the dotted line selling their country.

  With these type of deals, the future looks like Tanzanians will be foreigner in their own land. Modern day slavery by their own people. Before any one blames the US ambassador, remember, the rulers ruling TZ today with their history of scams, shady deals, made their choice, they chose the shady deal over the people of Tanzania & the land. In deals like these, someone from the TZ gvt. must have lobbied for this deal to take place.

  If want to know more about IMF, agricultural investment by foreign countries (neocolonism) watch a documentary film by Stephanie Black titled "Life and Debt".
   
Loading...