Another Odm Mp Killed In Kenya.

'Police' kill Kenya opposition MP

An opposition MP has been killed in Kenya, as violence continues over last month's disputed election.
David Too was shot dead by a traffic policeman in the western town of Eldoret, said a spokesman for his Orange Democratic Movement (ODM).

He is the second ODM MP to be killed this week. The shooting of Mugabe Were in Nairobi sparked violent clashes in slums seen as opposition strongholds.

More than 850 people have been killed since the disputed presidential poll.

Another 250,000 have fled their homes in what used to be one of East Africa's most stable countries.

ODM spokesman Henry Kosgie said Mr Too was killed at a roadblock as he drove from Nairobi to Eldoret in the Rift Valley.

The Rift Valley has seen some of the worst violence since the 27 December election.

On Wednesday, the top US official for Africa, Jendayi Frazer, said there had been "ethnic cleansing" in the region


http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7219461.stm
 
Kulipiza kisasi???

Naskia ni mauaji wa wivu wa mapenzi- huyu askari pia ameua askari mwingine wa kile ktk gari la mbunge- ambaye alikuwepo ktk gari na inasemekana ni mpenzi wake!

Mambo ya mapenzi- ila inatokea wakati huu wa machafuko ya kisiasa!
 
Au ndio mikakati ya kupunguza wabunge wa upinzani bungeni. Nakumbuka spika wa upinzani alishinda kama sikosei kwa kura tatu tu thru simple majority. Kwa hiyo sasa kwa hesabu za chama cha kibaka bado mmoja tu inakuwa ngoma drooooo!!!!!!
 
Ohh! God have mercy on us, tuko waroho kuliko hata mifisi porini inavyowania mizoga. Why? Kwanininiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Choyo -- chetu
Uroho -- wetu
Ufisadi -- wetu
Uuaji -- wetu
Ufiswadi -- wetu
Wizi -- wetu
Kila kibaya -- chetu
Hatari!
 
Kulipiza kisasi???

Naskia ni mauaji wa wivu wa mapenzi- huyu askari pia ameua askari mwingine wa kile ktk gari la mbunge- ambaye alikuwepo ktk gari na inasemekana ni mpenzi wake!

Mambo ya mapenzi- ila inatokea wakati huu wa machafuko ya kisiasa!

What a coincidence! Kifo hiki ni vigumu kukitenganisha na machafuko yanayoendelea nchini Kenya kwa sasa.
 
Alo wabongo,

Jamani Kenya kulikoni.Mbunge wa pili wa chama cha upinzani abwagwa.Ni wa sehemu iitwao Ainamoi.Bado nafuatilia nyeti.Stay tyuundd!!!
 
Natamani mapinduzi ya kijeshi yafanyike ili kusalimisha maisha ya wengi na kuilinda Demokrasia ya Afrika kwa ujumla.
 
Mie nafikiri kuna mkono wa kibaki ili Odinga akubali matokeo na mambo yasonge mbele
 
Mbunge Mwingine wa ODM ameuawa.
Bila shaka hili si Taifa tena.

Mie pia nimeipata hio nyeti na bado nafuatiliza na sources zangu huko Kenya.Jamaa ni mbunge wa Ainamoi mitaa ya Eldoret.Sasa kasheshe ipo maana hapo nd'o panapotokea wale Kalenjin Warriors walioanzisha tifu la kuwaua wakikuyu baada ya Kibaki kuiba kura. Sasa niambie watafanzani vile mtu wao kauliwa?A'fu kumbuka vidole bado vipo kwenye serikali ya Kibaki kuhusu kifo cha yule mbunge wa kwanza.
Tetesi ni kwamba hawa jamaa walihongwa na jamaa za PNU wakati wa zile kura za speaker lakini hawakudeliver kura na huku mkwanja walikua wameshikishwa.Kazi ipo nduguzanguni!
 
Mie nafikiri kuna mkono wa kibaki ili Odinga akubali matokeo na mambo yasonge mbele

Hamna cha kukubali wala nini.Haya maji yashavuliwa nguo na lazima yakogwe tu!Hata Raila akikubali,unadhani walalahoi watakubali?Si watamwambia tu asogee kando aje mtu mwengine kama vile Ruto.Hii kitu si ya Raila bali wakenya wote wameamua na Raila akigeuza kibano watamwambia achukue namba.Wajaluo wake wenyewe washamuambia.Bongo tukae mkao wa kupokea wakimbizi tu!
 
On Thursday, an opposition member of parliament, David Too, was shot dead in the city of Eldoret, Kenyan sources told CNN.

It's unclear whether his death is connected to post-election violence, but his death is the second this week of a legislator from the opposition Orange Democratic Movement. Another member of parliament, Mugabe Were, was shot dead Tuesday.

The opposition leader, Raila Odinga, said the killing is part of a plan to reduce the number of opposition members of parliament. A government spokesmen did not immediately respond to a request for comment.

The bloodletting showed no sign of abating despite talks meant to encourage political reconciliation
 
AU na UN wasipochukua hatua za dharura na za mapema sana naona hali ya Kenya inaweza kuwa kama ile iliyotokea Rwanda 1994. Viongozi wa EAC na Afrika kwa ujumla liangalieni hili kwa upana na kwa makini zaidi, tuache kushabikia uroho wa madaraka kwa damu ya raia wasio na hatia, hii ni hatari sio kwa Kenya pekee bali kwa nchi zote majirani, Afrika na Dunia kwa ujumla.
 
AU na UN wasipochukua hatua za dharura na za mapema sana naona hali ya Kenya inaweza kuwa kama ile iliyotokea Rwanda 1994. Viongozi wa EAC na Afrika kwa ujumla liangalieni hili kwa upana na kwa makini zaidi, tuache kushabikia uroho wa madaraka kwa damu ya raia wasio na hatia, hii ni hatari sio kwa Kenya pekee bali kwa nchi zote majirani, Afrika na Dunia kwa ujumla.

well said bro.

Hao AU nadhani hamna lolote la maana watafanya.Kwanza Kibaki wanae huko Addis Ababa na sidhani kama watamkemea wala nini.Kumbuka walishindwa kumkashif Mugabe hapo Zimbabwe nd'o iwe Kibaki?Hao wote gora moja tu.UN nao nadhani unawajua tena...marekani kama hawafaidi basi watachukua m'da pia kuisukuma hio UN.Si unaona tatizo la Darfur vile lilichukua m'da kujadiliwa na hata baada ya kulijadili bado Bashiri anauwa watu tu.Kwa hivyo AU ni mvuke tu na hawa wakenya ijapo inasikitisha ukweli ni kwamba hili jinamizi walitatua wenyewe.
Suluhisho rahisi ni Kibaki kuishia lakini sidhani kama atangatuka mamlakani.Raila naye akisema basi, najua wakalenjin watamsukuma kando kiheshima na kuongoza hii sindimba.Ishu ipo kwenye ardhi na hizi kura zilikua kama kigezo cha kuanzisha tu.Hizi fujo hata wakati wa Moi zilikuwepo lakini it was controlled back then.Sasa leo sijui vipi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom