Another huge burst of gas discovered

[h=1]Statoil Makes Fifth High Impact Gas Discovery Offshore Tanzania[/h]
Statoil%20Mar_Tanzania_map_468_550x300.gif
Source: Statoil Statoil on Friday announced its fifth discovery in Block 2 offshore Tanzania.
The Norwegian company operates the license on Block 2 on behalf of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and has a 65% working interest, with ExxonMobil having the remaining 35%.
The discovery of an additional 2-3 trillion cubic feet (Tcf) of natural gas in place in the Mronge-1 well brings the total of in-place volumes up to 17-20 Tcf in Block 2, Statoil said in a statement posted on its website.
Mronge-1 is located 20 kilometres north of the Zafarani discovery, and at 2,500-metre water depth.
"We have initiated a new and ambitious drilling campaign offshore Tanzania following four successful discoveries during the first drilling phase. The Mronge-1 well discovered additional gas volumes and furthers the potential for a natural gas development in Tanzania. The new drilling program also allows us to fully explore the remaining exploration potential in Block 2," said Nick Maden, senior vice president for Statoil's exploration activities in the Western hemisphere.
The Mronge-1 well discovered gas at two separate levels. The main accumulation is at the same stratigraphic level as proven in the Zafarani-1 well in Block 2.
The Zafarani-1 discovery was made in 2012 and was a play opener for the block.
The secondary accumulation was encountered in a separate, younger gas bearing reservoir, in a play which previously has not been tested in Block 2.
The Mronge-1 discovery is the fifth discovery in Block 2. It was preceded by three successful high-impact gas discoveries during the first drilling phase with Tangawizi-1, Zafarani-1 and Lavani-1, and a deeper discovery in a separate reservoir in Lavani-2.
The Statoil-operated partnership started its new drilling campaign in Block 2 in September 2013. In addition to Mronge-1, the campaign includes drilling of several new prospects and appraisal of previous discoveries. Following Mronge-1, the partnership is scheduled to appraise the 2012 Zafarani discovery.
 
Tatizo ni maCCM tu.......hii nchi ikipata mzalendo wa kweli pale juu......itaanza "kupaa" in the next five years.
 
Dr. J Watson 2008 alisema tutawalaumu sana viongoz wetu bure.
shida iko kwenye rangi ya ngozi na kichwani na aliorodhesha sifa za viongozi wa africa. Mkuu wa kaya alipinga vikali na alisema eti tusiukubali utafiti wake kwani hauna ukweli wowote.
Ngoja nisubir nione kwenye suala hili la gesi mwishilizio wake.
 
Noted,the people of needs powerfully prayer & duas to unblock their brains out of dumbhood and shortsight ||| only "chadema" may suit then to flash flash all dirtness
 
Kwa utawala huu,mafisadi awa na sera hizi,hata upepo wote wa Tanzania ukigeuka na kuwa gesi na hata tukivumbua ziwa la petrol tutabakia kuwa kati ya nchi maskini sana duniani.
 
Kwa utawala huu,mafisadi awa na sera hizi,hata upepo wote wa Tanzania ukigeuka na kuwa gesi na hata tukivumbua ziwa la petrol tutabakia kuwa kati ya nchi maskini sana duniani.

swadakta , gesi zinavumbuliwa kila kukicha lakini umeme unazidi kupanda bei, ufisadi tu nchi hii. namkumbuka mshairi mmoja nafikiri ni andanenga alisema "Mshumaa unawaka mbona giza linazidi? Tafakari
 
na rais wetu haelewi kwanini watanzania masikini

Wewe bulola unajua kwa nini sisi ni maskini? Ukweli hata mimi sijui kwa nini sisi ni maskini, kwa maana kuwa hakuna hata sababu moja ambayo ni ya msingi ninayoweza kusema kuwa naijua, inayotufanya sisi kuwa maskini. Hatuna sababu hata moja ambayo unaweza ukamweleza mtu mwingine na akakuelewa, inayotufanya sisi kuwa maskini. Rais kwa kweli yuko sahihi kwa hili na hata mimi naungana naye kabissa kuwa hata mi mi sijui kwa nini sisi ni maskini, period!
 
Last edited by a moderator:

Ni sawa na mtu akukute unataka kufa na njaa nyumbani kwako wakati ndani kuna chakula kisa eti ni kwamba wewe hujui kupika na eti kuwa hakuna mtu wa kukupikia. Je hizo ni sababu toshelezi za kukufanya wewe ufe na njaa?
 
Last edited by a moderator:
Wewe bulola unajua kwa nini sisi ni maskini? Ukweli hata mimi sijui kwa nini sisi ni maskini, kwa maana kuwa hakuna hata sababu moja ambayo ni ya msingi ninayoweza kusema kuwa naijua, inayotufanya sisi kuwa maskini. Hatuna sababu hata moja ambayo unaweza ukamweleza mtu mwingine na akakuelewa, inayotufanya sisi kuwa maskini. Rais kwa kweli yuko sahihi kwa hili na hata mimi naungana naye kabissa kuwa hata mi mi sijui kwa nini sisi ni maskini, period!
Sikubaliani na wewe,tatizo mikataba mibovu na 10% wanaingiziwa wakubwa uswisi
 
Sikubaliani na wewe,tatizo mikataba mibovu na 10% wanaingiziwa wakubwa uswisi

Hujanielewa. Hivi ulivyokuwa ukisoma tuseme shule ya msingi kwa mfano, halafu ikatokea siku ukachelewa kuwahi shuleni sababu ya kupitiliza usingizi, mwalimu wa zamu akakuuliza kwa nini umechelewa ili kama una sababu ya msingi asikuchape. Je, ilikuwa inawezekana ukamweleza kuwa ulichelewa kuamuka usingizini (which is 100% true), na akakuelewa? Sisemi kwamba sababu zinazotufanya tuwe maskini hazipo, lakini je ni za msingi? Sababu ya kuchelewa mtoto shule sababu alipitiliza usingizini je ni ya msingi?
 
Vipi jamani!Baada ya ugunduzi huu je tutaendelea bado kutumia vibatari kama Simbachawene alivyosema au watatuonea huruma kupandisha bei ya umeme?
 
Back
Top Bottom