Another diploma college turned into a University

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,514
1,360
Masoka Management Training Institute has been elevated to Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) since July this year.

http://dailynews.habarileo.co.tz/home/?id=1966

Naomba niulize sii serikali ilitoa waraka last year kukataza conversion of diploma colleges into Universities? Did this apply to Private colleges as well?
Kwa nini wasijenge Vyuo vipya? Hivi vyuo vinaanzishwa kila mahala- vingine vina wanafunzi 50 au 100 tu- vinatusaidiaje kama Taifa?
 
Do we have enough wahadhiri with proper qualifications to teach various courses in these Universities!?
 
Tunao wahadhiri wengi sana tena walio hadhirika

Take the following quote from Mzee mwanakijiji

"Hoja Hujibiwa kwa Hoja!

Ushindi ni Lazima

LEAVE MSOLLA LEAVE! THE FINAL PUSH - SIGN THE HERE... "
 
Tunaua technical and other diploma college kwa kuvibadili kuwa universities. Ni kweli bado tunahitaji vyuo vikuu lakini hizi skill sets nyingine nazo bado zinahitajika.
Kwa mwendo huu tunaweza kuwa na shortage ya watu wenye skills hizi na ku dilute the whole meaning of a degree. Nchi kama Nigeria na Uganda kuna university graduates wanaendesha taxi. Nasi tunataka kuelekea huko?
 
Masoka Management Training Institute has been elevated to Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) since July this year.

http://dailynews.habarileo.co.tz/home/?id=1966

Naomba niulize sii serikali ilitoa waraka last year kukataza conversion of diploma colleges into Universities? Did this apply to Private colleges as well?
Kwa nini wasijenge Vyuo vipya? Hivi vyuo vinaanzishwa kila mahala- vingine vina wanafunzi 50 au 100 tu- vinatusaidiaje kama Taifa?

Diploma zinarudisha sana maendeleo ya elimu ya watanzania na kupoteza muda wa wanafunzi. Vyuo vyote vianze kutoa digrii tu.
 
Tunaua technical and other diploma college kwa kuvibadili kuwa universities. Ni kweli bado tunahitaji vyuo vikuu lakini hizi skill sets nyingine nazo bado zinahitajika.
Kwa mwendo huu tunaweza kuwa na shortage ya watu wenye skills hizi na ku dilute the whole meaning of a degree. Nchi kama Nigeria na Uganda kuna university graduates wanaendesha taxi. Nasi tunataka kuelekea huko?

Hiyo sio point. Technical Colleges tuliiga kutoka Polytechnical za uingereza ambazo sasa zote ni university.

Wanafunzi wakimaliza O level waende kuchukua digrii ya miaka minne au mitano. Na wakianza kazi wanaanza kama Entry Level kwa miaka miwili ambayo inawafanya wapate ujuzi mdogo mdogo.
 
Do we have enough wahadhiri with proper qualifications to teach various courses in these Universities!?

Yes we do. Hata chuo kikuu cha DSM kilipoanza kilikuwa hakina ma-profesa lakini walipatikana baadaye. Kwanini sasa wasomi wa UDSM leo wanataka vyuo vingine vianze vikiwa na ma-profesa.
 
1. Tanga kuna nini? Leo hii 2007 according to TRA ndo mkoa wa pili kuingiza mapato zaidi ya kodi! Pia ni jiji- yet hakuna hata chuo kikuu kimoja- wakati huko Iringa ndo vinazidi kushamiri- Tumaini, Mkwawa, Ruaha. Moshi ndo hivyo tena hata huko ndani kwenye Kahawa wanaanzisha Vyuo Vikuu! KCMC, Mwenge Univesity, MoUCCoS, n.k

2. Hivi kile Chuo Kikuu cha Bukoba kinaendeleaje? Sijawahi kukisikia tena!
 
Nimejaribu kutafuta web yao siioni, kama kuna mtu anajua then naomba ili nipitie nione the quality of teaching staff na resources walizonazo.
 
Maarifa,
1. Bukoba University is a good Initiative- sijui kama wamekwama- au kuna taabu gani.

2. Wahaya wanajitahidi- angalia HKMU is one of institutions providing quality medical education in Tanzania.
 
mimi nafikiri heshima ya Universities inataka kushushwa sasa. Manake kila kijichuo kinatangazwa University. Sasa sijui tunalenga kuwa na bora digrii nyingi au digrii bora. Na bado tunang'ang'ania kujitosa katika shirisho la Africa Mashariki. I'm shocked

Niienda mlimani nikashangaa sana, vyumba vya madarasa vinabeba wanafunzi 500 but maprofessa kwa akili zao zilizochafuliwa na siasa za kitoto, wana-admit wanafunzi 800, na wanaforce wote waingie kwa pamoja katika kipindi. Sijui ni upungufu wa akili au ni kukosa mwelekeo wa kimaadili (academic heshima).

Kuja mitaani, kila mtu anaanzisha University, mara Mkwawa University, mara IJMC University, sasa tutasaikia IFM University CBE University, Magogoni University na TIA University wakati principals wa hv vyuo (except IFM) hawana hata PHD. Walimu wenye masters ni wa kuhesabu au hakuna kabisa. Sijui tunaelekea wapi. Digrii za wakati wa Nyerere ambazo zilikuwa zinaheshimika sasa, tuna digrii za kuokota, zipo hadi za kununua kwa mafungu. We unasema tu unataka ya nini, kama ni ya Sanaa (kama ile ya waziri wetu wa masenti) unapewa, au kama ni ya kilimo unapewa, udaktari nao itabidi nifanye utafiti, si ajabu nao utapewa kama una kisu cha kueleweka.

NI aibu na uozo katika sekta ya elimu. Serikali iwe makini. Bora ilete wawekezaji katika elimu kuliko kung'ang'ana na uwezekaji wa things like Buzwagi ambavyo hata mafanikio yake hatuyaoni.

In short inakera.
 
Inasikitisha sana. Sasa hv kila anayejisikia anakiita chuo chake University na anapewa kibali hasa kwa miamvuli ya vyuo vikuu vishiriki. Naweza kusema, serikali sasa ipunguze siasa kwenye maswala ya msingi, wasilete siasa za Buzwagi kwenye masuala ya elimu, la sivyo tutaonekana tumekosa muelekeo hasa pale tutakapojiunga na shirikisho (tunaloshinikizwa na viongozi) la Afrika ya Mashariki. Wenzetu Kenya waliona si vyema kubadili colleges kuwa universities wakaleta wawekezaji kama wale walioanzisha Daystar University n.k. The same wawekezaji huwa wanatoa chance kadhaa kwa wazawa wenye vipaji kiasi cha wao kujiunga na hivyo vyuo ambavyo vingi ni vya kimataifa. Sasa hv Kenya hata mtoto wa masikini ana digrii. Sio kama hapa bongo watoto wa masikini wenye digrii ni wale wenye exceptional vipaji, as chuo tegemezi kwa masikini (UDSM) nacho kimegeuka private (practically) though theoretically na kiuongozi ni cha serikali.

Kuna mwana JF mmoja nimeona anatetea swala la hizo colleges kutokuwa na professors au doctors. But sidhani kama anaelewa kuwa Universities huwa zinakuwa assessed on annual basis na kuwa ranked internationally. Chuo kikuu cha DSM mwaka 2005 kilikuwa cha 64 ingawa kina professors wa kumwaga. Sasa sijui hivyo anavyovitetea vina professors wangapi na vitakuwa ranked wapi.

Pia atambue wawekezaji au hata mashirika na miradi ya serikali, wanaajiri based on sehemu mtu aliposoma yaani kama mtu anavyooa based on malezi ya mke mtarajiwa.

Siku hizi elimu imeoza, mfano, UDSM ina lecture rooms ambazo zina uwezo wa kubeba wanafunzi 500, but maprofesa ambao wameshachafuliwa akili na siasa, wana-admit wanafunzi 800 ili tu serikali ipate namna ya kujisifia kuongeza kiwango cha elimu. Huu ni upumbavu uliokomaa. Utakuta wanafunzi wamesimama milangoni, wengine wamekaa chini, ni aibu. Sasa sijui hz ni bora digrii au digrii bora zinazozalishwa hapo. Utakuta uongozi wa chuo unakazana kurekebisha mazingira kwa gharama kubwa wakati hakuna madarasa.

Siku hz, ukienda hivyo vyuo vingine kama Mzumbe, ni aibu, kuna digrii za ajabu. Watu wanapewa A za kumwaga ili tu washindane na vyuo vingine. Wakati ukikaa nao kwenye utendaji ni bora form six au form four. Ni wachache tu ambao wana akili binafsi. Bt these watu hawafundishwi kuelewa but kufaulu na kupata A nyingi ili wakienda kwenye soko waonekane wanafaulu sana. But ukichunguza, utakuta wanafunzi wanajua maswali before hata ya mitihani. Tunakwenda wapi..??

Mimi nafikiri serikali sasa iwekeze nguvu, na kualika wawekezaji kwenye sekta ya elimu rather than kualika wawekezaji wengi kwenye madini yasiyo na manufaa kwa wananchi wa chini. Waangalie mifano ya Kenya kisha wafikirie namna ya kuinua elimu na sio kuchafua elimu.
 
Ndugu Kishazi:

Nenda maktaba ya taifa, kule kuna kitabu: commonwealth universities prospectus. Chukua toleo la miaka ya 70 na 80 na angalia Idadi ya maprofesa kwa kila idara kutoka chuo kikuu cha DSM. Inaonyesha kabisa wenye PHd pekee yake walikuwa wa kutafuta. Lakini miaka ilivyokwenda maendeleo yalipatikana na idadi ikaongezeka.

Kwa mtaji huo vyuo vingine vina nafasi sawa ya kuendelea na vile vile vitaanza kama UDSM ilivyoanza.

Inaonekana bado mnafanya digrii ya kwanza kuwa dili kubwa.
 
Inasikitisha sana. Sasa hv kila anayejisikia anakiita chuo chake University na anapewa kibali hasa kwa miamvuli ya vyuo vikuu vishiriki. Naweza kusema, serikali sasa ipunguze siasa kwenye maswala ya msingi, wasilete siasa za Buzwagi kwenye masuala ya elimu, la sivyo tutaonekana tumekosa muelekeo hasa pale tutakapojiunga na shirikisho (tunaloshinikizwa na viongozi) la Afrika ya Mashariki. Wenzetu Kenya waliona si vyema kubadili colleges kuwa universities wakaleta wawekezaji kama wale walioanzisha Daystar University n.k. The same wawekezaji huwa wanatoa chance kadhaa kwa wazawa wenye vipaji kiasi cha wao kujiunga na hivyo vyuo ambavyo vingi ni vya kimataifa. Sasa hv Kenya hata mtoto wa masikini ana digrii. Sio kama hapa bongo watoto wa masikini wenye digrii ni wale wenye exceptional vipaji, as chuo tegemezi kwa masikini (UDSM) nacho kimegeuka private (practically) though theoretically na kiuongozi ni cha serikali.

Kuna mwana JF mmoja nimeona anatetea swala la hizo colleges kutokuwa na professors au doctors. But sidhani kama anaelewa kuwa Universities huwa zinakuwa assessed on annual basis na kuwa ranked internationally. Chuo kikuu cha DSM mwaka 2005 kilikuwa cha 64 ingawa kina professors wa kumwaga. Sasa sijui hivyo anavyovitetea vina professors wangapi na vitakuwa ranked wapi.

Pia atambue wawekezaji au hata mashirika na miradi ya serikali, wanaajiri based on sehemu mtu aliposoma yaani kama mtu anavyooa based on malezi ya mke mtarajiwa.

Siku hizi elimu imeoza, mfano, UDSM ina lecture rooms ambazo zina uwezo wa kubeba wanafunzi 500, but maprofesa ambao wameshachafuliwa akili na siasa, wana-admit wanafunzi 800 ili tu serikali ipate namna ya kujisifia kuongeza kiwango cha elimu. Huu ni upumbavu uliokomaa. Utakuta wanafunzi wamesimama milangoni, wengine wamekaa chini, ni aibu. Sasa sijui hz ni bora digrii au digrii bora zinazozalishwa hapo. Utakuta uongozi wa chuo unakazana kurekebisha mazingira kwa gharama kubwa wakati hakuna madarasa.

Siku hz, ukienda hivyo vyuo vingine kama Mzumbe, ni aibu, kuna digrii za ajabu. Watu wanapewa A za kumwaga ili tu washindane na vyuo vingine. Wakati ukikaa nao kwenye utendaji ni bora form six au form four. Ni wachache tu ambao wana akili binafsi. Bt these watu hawafundishwi kuelewa but kufaulu na kupata A nyingi ili wakienda kwenye soko waonekane wanafaulu sana. But ukichunguza, utakuta wanafunzi wanajua maswali before hata ya mitihani. Tunakwenda wapi..??

Mimi nafikiri serikali sasa iwekeze nguvu, na kualika wawekezaji kwenye sekta ya elimu rather than kualika wawekezaji wengi kwenye madini yasiyo na manufaa kwa wananchi wa chini. Waangalie mifano ya Kenya kisha wafikirie namna ya kuinua elimu na sio kuchafua elimu.

kishazi,
1. Hakuna mtu anakataa haja ya kuwa vyuo vikuu zaidi. Hoja -kwa nini wasijenge vipya? Why conversion of diploma colleges? Wajenge tu vipya kama Dodoma! Moi started 3 or 4 public universities- this is the way Tz we must go! Hivi vyuo vidogo vodogo ya 50 to 100 students kwa population ya 40 mil. has so little impact!

2. Sijui kama emphasis ni Elimu ya juu Tz- kwani wapo graduates kibao tu mtaani hakuna job. Massive Investment in elimu ya ufundi 2 au 3 kila wilaya mimi nimgetoa kipaumbele! In 10 to 20 years Tz itakuwa kama nigeria- graduates driva taxi! Well sii mbaya wengine wanaweza tafuta kazi nje though!
 
kishazi,
1. Hakuna mtu anakataa haja ya kuwa vyuo vikuu zaidi. Hoja -kwa nini wasijenge vipya? Why conversion of diploma colleges? Wajenge tu vipya kama Dodoma! Moi started 3 or 4 public health universities- this is the way Tz we must go! Hivi vyuo vidogo vodogo ya 50 to 100 students kwa population ya 40 mil. has so little impact!

2. Sijui kama emphasis ni Elimu ya juu Tz- kwani wapo graduates kibao tu mtaani hakuna job. Massive Investment in elimu ya ufundi 2 au 3 kila wilaya mimi nimgetoa kipaumbele! In 10 to 20 years Tz itakuwa kama nigeria- graduates driva taxi! Well sii mbaya wengine wanaweza tafuta kazi nje though!

Chukua tano:

Nchi nilizoishi walimu wa msingi wana-digrii. Wapiga chapa wana-digrii.

Nafasi ya watu wenye digrii kupata kazi Tanzania ni nyingi tu.

Wenye digrii wanakosa kazi nchini nigeria kwa sababu wanategemea sekta ya mafuta na kuleta kila kitu. Wangetumia mtaji wa mafuta kuanzisha kazi zenye kuleta ajira, tatizo lisingekuwepo.

Halafu kwanini kila mfano ni lazima Tanzania ilinganishwe na Nigeria au Ghana?

Toeni mifano ya Malaysia, South Korea au Singapore.
 
Suala la Elimu ni kitu nyeti katika nchi. Mie sioni taabu kuwa na vyuo vikuu vingi, hilo sio tatizo. Tatizo ni aina ya elimu itolewayo. Kama inakidhi mahitaji na inaendana na wakati, je inampa competence na skills zinazohotajika katika karne ya 21? if all answers are yes then sioni tatizo. Ila kama jibu ni No then there is no need kuwa na utitiri wa vyuo amabavyo mhitimu ukimpa kazi anakutolea macho!!
 
Bin Maryam,
Tanzania imekuwa na Assistant Medical Officers (AMO) na ndo mhimili ya huduma za afya- kwani madaktari baada ya kupata degree wamekimbilia SA na Botswana!

Singapore- naogopa kuilinganisha na Tz- tunaachana mbali mno! Ghana, Kenya, Uganda- ni fair kujilinganisha nao- kwa kuwa tunafanana fanana vile! Hata Tz na SA nasita kulinganisha!
 
Suala la Elimu ni kitu nyeti katika nchi. Mie sioni taabu kuwa na vyuo vikuu vingi, hilo sio tatizo. Tatizo ni aina ya elimu itolewayo. Kama inakidhi mahitaji na inaendana na wakati, je inampa competence na skills zinazohotajika katika karne ya 21? if all answers are yes then sioni tatizo. Ila kama jibu ni No then there is no need kuwa na utitiri wa vyuo amabavyo mhitimu ukimpa kazi anakutolea macho!!

Kwa hiyo taifa libakie mbumbumbu kwa sababu kuna ukosefu wa kazi?

Uwezekano wa mwendesha taxi mwenye digrii kufanya ya maana na kipato chake ni mkubwa zaidi kuliko yule asiye na digrii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom