Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,264
- 3,624
MAADILI YA WIZARA HAYARUHUSU, KUJITANDAZA HIVI, UMESOMEA CHUO GANI? BUTIMBA TTC AU KAGEMU TTC, BUNDA TTCC? TWAMBIE MIMI NI MWALIMU PIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachangamsha genge shemela.Hivi Shem na wewe unapitaga hizi pande?
Kabur la historia hili
Nkakumbuka maneno yako eti ilikuwa kila ukipika na simu yako mkononi usipitwe. 😀😀😀Kabur la historia hili
Hahhah halaf nilikuwa nauguza shoga wacha kabisaNkakumbuka maneno yako eti ilikuwa kila ukipika na simu yako mkononi usipitwe.
moyo wako ntaulinda nipe tuu
Shikamoo bossNadhani umekuja wakat mujarab, meet the boss G' Extrovert!
🤣🤣🤣🤣🤣 marhabaa mtt mdhurriShikamoo boss
MdangajiJamaa yupo sana 'anadanga' kivingine huko
Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha - JamiiForums
Bosslady hajambo?marhabaa mtt mdhurri
Hakika yupo vizuri🤣Bosslady hajambo?
Hakika yupo vizuri
Kumbe braza ndio umeufufua uzii.🤣🤣🤣🤣
Nimekumbuka mbali sana mkuu enzi hizo bado mgeni jf nikiangalia hilo tumbo najisemea hv nami nitapataga pisi kama hii??? Kumbe mwamba anatuchora🤣I
Kumbe braza ndio umeufufua uzii.
Braza umecheki picha ya mwisho hilo TOVUUUU
Hapa mwenzio nishadinda..!!!
#YNWA
Kumbe lijamaa ni la hovyo, inaonekana na wewe uliza pm kulitongoza hili njembaNadhani umekuja wakat mujarab, meet the boss G' Extrovert!
Nimekumbuka mbali sana mkuu enzi hizo bado mgeni jf nikiangalia hilo tumbo najisemea hv nami nitapataga pisi kama hii??? Kumbe mwamba anatuchora🤣