Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,146
- 79,302
mbona unauliza kama unaliaBy the way, nyinyi nyumbus huwa mna domestic airlines kweli? Na siongei kuhusu ATCL (national carrier) naongea kuhusu airlines ndogo ndogo zinazo fly ndani ya nchi pekee? Sisi tuna kadhaa. Airline industry ya Kenya iko way more developed than your poor country's airline industry.
Ndaganyi'ass (Mainlanders)suffer a rare incurable disease called kenyaphobic.Huyu jamaa Kenya inamnyima usingizi. Analala tu kidogo anawaza Kenya. Uzi imefumguliwa saa nane za usiku! Dah!! Utapata alikuwa kwenye usingizi analala then all of a sudden akaona Kenya Kwenye ndoto. We jamaa chunga sana mkeo atakutoroka!!
It's getting a toll on them real fast. They need to tone down. Some people will run mad in this forumNdaganyi'ass (Mainlanders)suffer a rare incurable disease called kenyaphobic.
The most affected are ccm members
Wamechanganyikiwa hao masisiemu, wana phobia na wanatufagilia sana pia, zote kwa mpigo. Ndio maana hadi kauli yao hiyo, hapo juu kwenye comment ya Planet, waliiga kutoka kwa kampeni za Uhuruto 2017. Wamekosa originality kama photocopy.It's getting a toll on them real fast. They need to tone down. Some people will run mad in this forum
I recently realized that there is a privately owned cargo airline based in jkia know as Astral aviation...seems Kenyan aviation sector is quite ahead of it's peers.By the way, nyinyi nyumbus huwa mna domestic airlines kweli? Na siongei kuhusu ATCL (national carrier) naongea kuhusu airlines ndogo ndogo zinazo fly ndani ya nchi pekee? Sisi tuna kadhaa. Airline industry ya Kenya iko way more developed than your poor country's airline industry.