Anne Semamba Makinda's Profile!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969

1268.jpg

GENERAL
ID No.: 1268
Salutation: HONOURABLE
First Name: Anne
Middle Name: Semamba
Last Name: Makinda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Njombe Kusini
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 38, Njombe
Office Phone:
Office Fax: 2112538
Office E-mail: amakinda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date:
End Date:
Date of Birth 15 July 1949

EDUCATIONAL HISTORY
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
- Regional Commissioner 1995 2000
Ministry of Community Development, Women Affairs and Children Minister 1990 1995
State,Prime Minister's & First Vice President Office Coordination of Union Matters 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office In charge of Central Government Coordination 1983 1990
Tanzania Government In charge of Information and Broadcasting 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office Minister 1983 1990
National Bank of Commerce Board Member 1978 1983
Surveyors Building Contractors Consultants Board Member 1978 1983
Tanzania Railways Corporation Board Member 1977 1983
Tanzania Legal Corporation Board Member 1977 1983
Mbeya Textile Company Board Member 1977 1983
National Textile Company Board Member 1976 1983
Tanzania Elimu Supplies Board Member 1976 1983
The Public Accounts Committee of the Parliament Member 1975 1983
Tanzania Audit Corporation Auditor 1975 1976
The Institute of Development Management-Mzumbe Board Member 1971 1976

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Council 1977 Todate
TANU/CCM-Chama Cha Mapinduzi Ten Cells Leader 1975 1983
TANU Chairman -Youth League-IDM, Mzumbe 1971 1975
TANU Chairman -Youth League-Kilakala 1969 1970
TANU Chairman of Youth League 1965 1968
 
Hivi Board Membership ni "Employment"?

BTW: Kumbe Anne amehusika na kuua mashirika mengi sana!
(1) National Bank of Commerce Board Member 1978 1983
(2) Surveyors Building Contractors Consultants Board Member 1978 1983
(3) Tanzania Railways Corporation Board Member 1977 1983
(4) Tanzania Legal Corporation Board Member 1977 1983
(5) Mbeya Textile Company Board Member 1977 1983
(6) National Textile Company Board Member 1976 1983
(7) Tanzania Elimu Supplies Board Member 1976 1983
 
Ndivyo CV yake inavyosomeka
 
umegusia mambo nyeti sana! Haya mashirika yaliuawa na akina Makinda hawa hawa!
 
GENERAL
ID No.: 1268
Salutation: HONOURABLE
First Name: Anne
Middle Name: Semamba
Last Name: Makinda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Njombe Kusini
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 38, Njombe
Office Phone:
Office Fax: 2112538
Office E-mail: amakinda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date:
End Date:
Date of Birth 15 July 1949

EDUCATIONAL HISTORY
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA

Navofahamu mimi Advanced Diploma ni course ya miaka mitatu, sasa inakuwaje huyu mheshimiwa spika akaisoma kwa miaka minne? au kichwa ilikuwa inategea?! hebu tufahamishane vizuri hapo wadau.
 
ndio maana viwanda kibao vimekufa

mtu mmoja anakuwa boardy memba kwa mashirika zaid ya 3 wa walati mmoja?!
 
GENERAL
ID No.: 1268
Salutation: HONOURABLE
First Name: Anne
Middle Name: Semamba
Last Name: Makinda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Njombe Kusini
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 38, Njombe
Office Phone:
Office Fax: 2112538
Office E-mail: amakinda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date:
End Date:
Date of Birth 15 July 1949

EDUCATIONAL HISTORY
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
- Regional Commissioner 1995 2000
Ministry of Community Development, Women Affairs and Children Minister 1990 1995
State,Prime Minister's & First Vice President Office Coordination of Union Matters 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office In charge of Central Government Coordination 1983 1990
Tanzania Government In charge of Information and Broadcasting 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office Minister 1983 1990
National Bank of Commerce Board Member 1978 1983
Surveyors Building Contractors Consultants Board Member 1978 1983
Tanzania Railways Corporation Board Member 1977 1983
Tanzania Legal Corporation Board Member 1977 1983
Mbeya Textile Company Board Member 1977 1983
National Textile Company Board Member 1976 1983
Tanzania Elimu Supplies Board Member 1976 1983
The Public Accounts Committee of the Parliament Member 1975 1983
Tanzania Audit Corporation Auditor 1975 1976
The Institute of Development Management-Mzumbe Board Member 1971 1976

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Council 1977 Todate
TANU/CCM-Chama Cha Mapinduzi Ten Cells Leader 1975 1983
TANU Chairman -Youth League-IDM, Mzumbe 1971 1975
TANU Chairman -Youth League-Kilakala 1969 1970
TANU Chairman of Youth League 1965 1968

Ndugu zangu niliwahi kusikia mahali kuwa speaker wa bunge walau awe na ufahamu wa sheria au niliingizwa chaka, nielimisheni jamani katika hili. Pia naona kwa CV hiyo ya huyo mama haitamsaidia sana katika uspika wake, labda kama kigezo kikubwa ni uzoefu. Wanajamvi nisaidieni vigezo vya kuwa spika wa bunge letu ni vipi?

Nawasilisha
 
Nchi hii haithamini elimu ya watu , what counts is who you are connected to rather than your professionalism!!
 
Navofahamu mimi Advanced Diploma ni course ya miaka mitatu, sasa inakuwaje huyu mheshimiwa spika akaisoma kwa miaka minne? au kichwa ilikuwa inategea?! hebu tufahamishane vizuri hapo wadau.

hapo panatia shaka kidogo!
 
Buch asante kwa kutujuza.
Ni kweli huyu bi kizee kaua mashirika na hana Cv ya kuongoza Bunge Maarufu la mwaka huu lakini wale WENZETU ndiye mtetezi wa interest zao. Unategemea Mzee Marope atamchagua mtu gani kama si huyo???

yaani we acha tu, 2010 - 2015 ni maumivu kwa kwenda mbele!
 
From my heart anna makinda hafai kuwa spika wa bunge hili,
lakini nawashukuru mafisadi kwa kutimiza malengo yao ya kumuondoa former speaker samwel sitta, imeniuma sana,
na hapa ndipo itakapo dhihilisha kuwa wanawake hawafai kupewa madaraka makubwa. I tell you makinda yupo pale kulinda masilai ya mafisadi amini usiamini......................
Mwenye maamuzi pale ccm ni mafisadi, kikwete yupo tu kama kivuli, believe me or not!! Ccm itakua salama pale tu watapokuwa wameondoka lowassa, rostam, kikwete, chenge na wengine wengi....................
Narudia tena kusema makinda hana uwezo wa kuongoza bunge hili, si mlimuona alivyokuwa mbabaishaji bunge lililopita?
 
Buch asante kwa kutujuza.
Ni kweli huyu bi kizee kaua mashirika na hana Cv ya kuongoza Bunge Maarufu la mwaka huu lakini wale WENZETU ndiye mtetezi wa interest zao. Unategemea Mzee Marope atamchagua mtu gani kama si huyo???

Wangemweka Msomi na Mwanasheria wangemkontroo vipi?
 
Ukiona mtu kama huyu mwenye uhusiano na MAFISADI jua kuwa kuna jambo

1. IKULU ipo under remote control ya mafisadi
2.NOW Bunge under remote control ya mafisadi
3.NEXT is Tanzanian under remote control ya mafisadi
 
Inaelekea mama Makinda hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya siasa.

Baada ya kumaliza chuo tu mwaka 1975 akaingia bungeni na mpaka leo ni mbunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom