Anne Makinda Usipoangalia Hata Hapa Kwetu Mjengoni Yaweza Tokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne Makinda Usipoangalia Hata Hapa Kwetu Mjengoni Yaweza Tokea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Feb 10, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hapa ni baada ya wabunge kutofautiana kwenye hoja! Ilitokea Ukrain!

  [​IMG]
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Na baada ya hayo yakiendelea Spika akaleta kiherehere alikoswakoswa ilibidi Muavuli ufanye kazi ya kumkinga!
  [​IMG]
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Bunge likaendelea kua ukumbi wa masumbwi!
  [​IMG]
   
 4. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hahhahahah duh kudadadeki hiii ilitakiwa iwe Bongo land
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kama si busara za CDM, wanamagamba wangekuwa wameisha onja hiyo.
   
 6. H

  HByabatto jr Senior Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo hayawezi kutokea tena maana bunge linaongozwa na hoja za CDM Kwa sasa.
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanaume eeh!!
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww ni jinsia gani ?

   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Mwanaasha, sio kila thread lazima uchangie
   
 10. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hata yeye mwenyewe hajui
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Na hii ni South Korea imeshatokea!
  [​IMG]
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Na hapa ni India huyu mama anaonekana kama alileta kauli tata kama za Anne Kilango ikabidi na kiatu kiwajibike!
  [​IMG]
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Na bila kusahau kumbe sio kina Mrema wachapao usingizi? hata huko hii ipo! Hapa ni bungeni Japan!

  [​IMG]
   
 14. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Ahahahahahaha! Daaah! Hayo masumbwi yangetokea dodoma ingekuwa balaaa!
   
 15. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teeeehhh!Teeeeehh mbavu sina ikitokea bongo inabidi siku hiyo baba mwanaasha asiwepo kabisa mjengoni
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Umesahau kimya cha mwisho kulikuwa na kauli za milango ifungwe tuzipige?

   
 17. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hii klitschko hakuwemo mjengoni nini, sioni mtu kaanguka

   
 18. j

  jigoku JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ndallo nashukuru kwa taarifa hii kuwakumbusha wananchi wa kawaida,hasa hasa habari hizi ziwafikie Wabunge waote wa CCM na kisha mwelezeni B Kiroboto kwa kina ajue one day yes,maana kauli zake na majibu yake eti kwa kuwa ni speaker,yatakuja kumkuta,na wengine kama kin kilango wanapayuka tu huku wamejivika gamba la unafiki eti ni wapambananji wa mafisadi.na hii ikitokea nadhani watu watakuwa na heshima zaidi hapa kwetu maana kuna mibunge inaropoka tu
   
 19. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Nyingine Hizo

  [​IMG]
   
 20. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,991
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Natamani itokee hapa kwe2,japo 2tashinda kwa wingi,lkn 2tashindwa kwa hoja
   
Loading...