Anne makinda,Philip Mangula & Salim Ahmed Salim

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Katika Siasa za Tanzania, huwezi kuzizungumzia bila kutaja majina haya
Anne Makinda,Philip Mangula na Salim Ahmed Salim
Wanasiasa wengi wa sasa, wana mambo mengi ya kujifunza kupitia wanasiasa hawa wakongwe

Kwanza utulivu wao katika siasa, ni wanasiasa wasio na makeke kabisa,licha ya kuwa katika siasa kwa muda mrefu, hawajawahi kukubwa na kashfa yeyote kubwa, kama wanasiasa walio wengi wa siku hizi

Wapo wanasiasa wengine wenye sifa kama za hawa, lakini kwa upande wangu nimewafuatilia hawa kwa muda kidogo ki ukweli wana nidhamu ya hali ya juu sana katika siasa

Natoa wito kwa wanasiasa wengine kufuata nyendo za hawa wanasiasa wetu wakongwe
 
Kwanini wote watoke chama kimoja? umetumwa?
 
Prof Mwandosya hujamfuatilia ?? Mizengo Kayanze Peter Pinda je ??
 
no research no right to speak mema waliyokufanyia ni yepi ebu yaorodheshe labda unaweza kunishawishi.
 
Back
Top Bottom