Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Amani iwe nanyi.
Spika msitaafu wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Anne Makinda amesema kuongezeka kwa maovu duniani kumesababisha hasira ya Mungu kuipiga dunia.
Mh Makinda amesema maovu kufanyika hadhara kama vile watu kufunga ndoa na mbwa, ndoa za wanaume kwa wanaume zinazotetewa sana na chadema kwamba ni haki za binadamu kumepelekea ujio wa magonjwa ya ajabu kama hili la virusi vya Corona.
Makinda amewaomba wa Tanzania kumuunga mkono Mh rais Magufuli kwa kuliombea ili aepushie mbali hili ugonjwa la Corona na wa Tanzania wabaki salama.