Anne Makinda: Maovu yameleta Corona duniani

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
3,930
2,000
Amani iwe nanyi.

Spika msitaafu wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Anne Makinda amesema kuongezeka kwa maovu duniani kumesababisha hasira ya Mungu kuipiga dunia.

Mh Makinda amesema maovu kufanyika hadhara kama vile watu kufunga ndoa na mbwa, ndoa za wanaume kwa wanaume zinazotetewa sana na chadema kwamba ni haki za binadamu kumepelekea ujio wa magonjwa ya ajabu kama hili la virusi vya Corona.

Makinda amewaomba wa Tanzania kumuunga mkono Mh rais Magufuli kwa kuliombea ili aepushie mbali hili ugonjwa la Corona na wa Tanzania wabaki salama.

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
42,517
2,000
Na wakati wa Influenza miaka 100 iliyopita nini kilisababisha?..

Je Mungu hawezi kuwaadhibu wahusika wakuu wa maovu hadi waadhibiwe na wasio kuwa na hatia?..

Na dawa ikipatikana itakua maovu yameisha?
Au itakuwa binadamu kashinda?Hii Corona kuna watu hadi wanatabiri mwisho wa dunia...ikiisha sijui wataweka wapi sura zao
 
stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
873
1,000
Kwa hiyo unataka kutudhihilishia kuwa kitendo cha chama chako, kupiga watu risasi hadharani, kuteka watu na kuua watu na kunyanyasa watu ndio chanzo cha sisi kupigwa na hiii corona?

Kwa hiyo haya maovu yaliyokuwa yanatajwa na watanzania kwamba Chama kile kina kikundi cha kuuwa Watu na watu kumlilia MUNGU kipindi chooote unataka kusema kuwa MUNGU amesikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,396
2,000
Hawa watu walikosea kazi..., badala ya kuwa wanasiasa au watu tunaowategemea waje na mikakati concrete ya kutuondoa kwenye majanga wao wanaleta mambo ya imani..., hawa watu kazi zao ingepaswa kuwa masister, masheikh, mapadre, wachungaji au hata wapiga ramli...
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
3,930
2,000
Kwa hiyo unataka kutudhihilishia kuwa kitendo cha chama chako, kupiga watu risasi hadharani, kuteka watu na kuua watu na kunyanyasa watu ndio chanzo cha sisi kupigwa na hiii corona?

Kwa hiyo haya maovu yaliyokuwa yanatajwa na watanzania kwamba Chama kile kina kikundi cha kuuwa Watu na watu kumlilia MUNGU kipindi chooote unataka kusema kuwa MUNGU amesikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna watu wanaofunga ndoa na mbwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
3,930
2,000
Na wakati wa Influenza miaka 100 iliyopita nini kilisababisha?..

Je Mungu hawezi kuwaadhibu wahusika wakuu wa maovu hadi waadhibiwe na wasio kuwa na hatia?..

Na dawa ikipatikana itakua maovu yameisha?
Au itakuwa binadamu kashinda?Hii Corona kuna watu hadi wanatabiri mwisho wa dunia...ikiisha sijui wataweka wapi sura zao
Sodoma na gharika la Nuhu ,nani aliyepigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Krikichino

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
483
1,000
Hivi politicians huko Mashuleni walienda kusomea Ujinga?

Kuna watoto wadogo kabisa wamefariki kutokana Na Huu ugonjwa na wenyewe walitenda the so Called uovu?

Na ndo kusema North Korea ndo nchi takatifu zaidi Duniani kwa sababu kule ugonjwa haupo?

Pathetic.
 
k29

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
704
1,000
Hali halisi ni hii
EV3NyGEXYAwG32i(2).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUTE

Senior Member
Apr 18, 2018
185
250
Ikitokea wote wanaofanya ushoga na wanaoshiriki kinyume na maumbile ndio wanapata corona, mshangao mkubwa huwezi kuamini kuna watu wastaarabu na ambao hufikirii kama hufanya matendo hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom