Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
- Thread starter
- #261
Tukasema wanatwambia tuna wivuAngalia na mjengo wa prof mabalawa pale mwenge inapojengwa stand mpya ya dala dala. Jengo la umma limesimama kwa ukosefu wa fedha ila leo mtumishi wa umma linaenda kwa kasi ya ajabu. Ndio maana hawataki katiba mpya waendelee kutuibia na kunufaika