Anne Kilango MNAFIKI, Yeye amevuna miti kwa kwa kibali cha Maige; Sasa amgeuka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne Kilango MNAFIKI, Yeye amevuna miti kwa kwa kibali cha Maige; Sasa amgeuka...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QueenBee, Jun 26, 2012.

 1. QueenBee

  QueenBee Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia kwenye Website ya Bunge mkuu, jamaa ameandikwa kuwa ni CEO wa hiyo kampuni, pia niliwahi kumsikia akijitaja ni mmiliki wa hiyo kamapuni wakati ule ameshiriki mgomo wa madaktari, alikuwa anahojiwa na Gerard Hando wa Clouds FM
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Toa taarifa ueleweke acha haraka
   
 3. QueenBee

  QueenBee Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry ni hivi Huyu Mheshimiwa Alikuwa rafiki Mkubwa wa Maige wakati akimuomba vibali vya kuvuna misitu na alimpa KIBALI cha kuvuna na akakiuza kwa mamilioni. Hakuishia Hapo akaomba na vibali zaidi alipomnyima ndiyo imekuwa shida. Alimfanyia hivyo hivyo Ngereja. Akimaliza haja yake basi YEYE Harudi nyuma.
   
 4. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mama yule ni mnafiki na mbinafsi anayependa sifa wakati hastahili.
  Pekupeku tu na ndio mzee hana jipya msaliti tu.
  Mama maslahi twamjua.
   
Loading...