Anne Kilango Malecela: Kuna mkanganyiko kwenye suala la kodi ya majengo. Ieleweke anayelipa ni nani

Kodi ya biashara inatokana na faida, kodi ya jengo si kodi ya biashara ni kodi ya huduma. Kama mwenye nyumba anafanyabiashara(Real estate) alitakiwa akakadiriwe PIT huko tra na akupe risiti ya efd. Kama anafanya kama kampuni atalipa corparte tax na utapewa risiti.

Sasa hivi WT ya rent ukienda kuomba tax clearence TRA hawakutumi uje na mwenye nyumba alipe kodi, wanakuambia lipa kodi kisha kamalizane na mwenye nyumba. Mwenye nyumba nae anajibu moja tu. Nyumba yangu kodi ni milioni, hayo mengine malizana nao.
Hii kitu naiona kama ina ugumu fulani hivi ktk utekelezaji wake...

Na shida kubwa ni kwa sababu zaidi ya 70% ya makazi (majengo) ya watu si rasmi, serikali haiyatambui...

Nadhani serikali ingeanza na kurasimisha makazi ya watu kwanza na ishu ya kulipisha kodi ya jengo kwa namna bora zaidi na ya haki ingeweza kuwa rahisi sana...

Lakini kwa hivi na kwa kutumia kigezo cha "mtu kumiliki LUKU ya umeme" tu, ni wazi kuna wenye nyumba wala hawatalipa kodi hii na italipwa na asiye mmiliki wa jengo...

By the way, huyu mwenye jengo kwa mantiki hii atakuwa analipa kodi aina mbili sasa, right?

MOSI, atalipa KODI YA ARDHI na sasa KODI YA JENGO, au siyo jamani...

Na hivi ni kwanini tusilipe kodi ya kichwa tu badala ya hii ambayo ni very complicated?

Mfano kama waTZ wenye haki yq kulipa kódi hii tukawa 35,000,000 na kila mmoja akalipa 10,000 kwa mwaka. Maana yake serikali itakusanya TZS 350,000,000,000..

Kama CCM wanataka hela, waturudishe tu huko. Wasisahau na ya ng'ombe, mbuzi, punda, Kuku, mbwa, baiskeli, pikipiki na Magari...!!
 
Wakupe Efd machine ukienda haja utoe risiti yaani.
 
1. Kama mbunge alipaswa aseme na kupendekeza nini kifanyike. Kusema tu waende wakaangalie kwa sababu mitaani halieleweki. Sijui anataka wakaangalie nini sasa maana wao ndiyo wameshaliangalia na kuja na utaratibu huo...

2. Ukweli ni kuwa kwa namna lilivyoletwa na litakavyotekelezwa (kama halitafanyiwa mabadiliko), hii haiwezi kuwa KODI YA MAJENGO bali ni bora iitwe KODI YA LUKU yaani kila mwenye LUKU ya umeme...

3. Ni kwa sababu, siyo kila LUKU YA UMEME imewekwa kwenye Jengo. Kuna watu wana LUKU na wameziweka kwenye miti Mf. Mafundi seremala, mashine za kupasua mbao nk nk

4. Aidha huko vijijini kuna LUKU zimewekwa kwenye nyumba za nyasi na matembe (zilizoezekwa kwa miti na udongo). Hawa kuwalipisha kodi ya Jengo siyo sawa hata kidogo tena kwa kiwango sawa na mwenyewe nyumba ya thamani ya Tshs. 300,000,000...!!
Mbunge kasema "ieleweke kodi analipa nani" hivyo ni kazi ya tra kujua ni nani hasa analipa kwa huu utaratibu mpya!
 
Back
Top Bottom