Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

Mapepe matupu, Spika kazi inataka mtu aliyetulia ile. Mama ana ma beef kibao ndani na nje ya chama chake, mimi nilikuwa nataka mtu aliyetulia kuliko hata Sitta, kama choice ni huyu mama na Sitta bora hata Sitta.

Ultimately, tatizo la bunge letu na Uspika, ni institutional sheepism, na wala si swala la personality, kwa hiyo as long as CCM wana majority, hata aje Spika gani kutoka CCM atashikishwa adabu na the party machinery tu, kwa hiyo hesabu za personality change wala hazina maana. I hope the control will gradually slide away from CCM to balance power within parliament.

Upinzani wana candidate gani? Hardly a realistic shot for them though, with the current numbers.
 
YEP, kwelli huyu mama sio mahali pake hapa pale anatakiwa mtu msafi ,haya mabifu ya huyu mama yatashusha hadhi ya bunge
 
- Mama Anne Kilango Malecela, amekuwa mbunge wa muda mrefu sana sasa toka wa kuteuliwa na Rais Mkapa, na hii ni mara ya pili anachaguliwa na wananchi kuwakilisha jimbo lake la Same East,

- Akiwa bungeni, amekuwa mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama, Makamu wa Mwenyekiti Miundo Mbinu, Mwenyekiti kamati ya Maadili ya bunge, kama ni mabifu yangejiotokeza kwenye hizo kamati hasa akiwa Mwenyekiti wa Maadili ya bunge,

- Sheria iko wazi kwamba mbunge yoyote anaweza kugombea na kuchaguliwa kuwa Spika, wananchi wa Same East siamini kwamba wanaweza kumuondoa Waziri maarufu kama Daniel Yona na kumpa Jimbo Mama Kilango, ambaye ni mapepe na hajatulia mambo mengine ni kwa Great Thinkers kutumia common sense japo kidogo tu kabla hutjaandika hapa uwanja mtukufu.

William.
 
Kumchagua kuwa mbunge haimaanishi kwamba 'anafaa', kuna watu bogus wengi tu wameshinda, mathalan kuna wanachi kule kwene constituency ya Chenge wamechagua kwa kishindo, hiyo nayo utaizungumziaje?
 
Kumchagua kuwa mbunge haimaanishi kwamba 'anafaa', kuna watu bogus wengi tu wameshinda, mathalan kuna wanachi kule kwene constituency ya Chenge wamechagua kwa kishindo, hiyo nayo utaizungumziaje?

kwanza wananchi wa same bora hata hao wa kwenye jimbo la chenge,same hamna kitu kabisa kuanzia elimu miundo mbinu hadi kila kitu.
ninaweza kuprove
 
kwanza wananchi wa same bora hata hao wa kwenye jimbo la chenge,same hamna kitu kabisa kuanzia elimu miundo mbinu hadi kila kitu.
ninaweza kuprove

Pamoja na uchakachuaji wa CCM machinery plus udhaifu wa vyama vya upinzani, I still believe wapiga kura wengi wana-lack intellect na reason ktk kufanya maamuzi kuhusu uongozi wao. Hawa wanayo portion kubwa sana ya lawama. Wengi wao wanachagua based on prejudices na wanakumbatia kwa kusudi viongozi wabovu. Sasa it is funny mtu anapokuja hapa na kusema ati Mr/s X kama angekuwa mbovu asingechaguliwa kutoka jimbo Y,,this is sheer NONSENSE.
 
Kumchagua kuwa mbunge haimaanishi kwamba 'anafaa', kuna watu bogus wengi tu wameshinda, mathalan kuna wanachi kule kwene constituency ya Chenge wamechagua kwa kishindo, hiyo nayo utaizungumziaje?

- Demokrasia inaruhusu Mandela kuwa terrorist kwa Makaburu na Freedom Fighter kwa wananchi wake na Dunia nzima,

- Sasa Chenge anaweza kuwa bogus to you, lakini akawa a hero kwa wananchi wa jimbo lake, it is okay with Demokrasia.

William.
 
- Demokrasia inaruhusu Mandela kuwa terrorist kwa Makaburu na Freedom Fighter kwa wananchi wake na Dunia nzima, sasa Chenge inaweza anaweza kuwa bogus to you, lakini akawa a hero kwa wananchi wa jimbo lake, it okay with Demokrasia.

William.
Mkuu heshima yako!! unakumbuka hata DUDU (drugs dealer)alikuwa hero KWA wananchi wake kule Janmaica
 
Hoja ilikuwa huwezi ukatumia scale ya mtu 'kuchaguliwa' kuonesha kwamba 'anafaa'.. Pia, mtu bogus ni bogus tu hawezi akawa bogus kwangu akawa hero kwa mwingine.
 
kwanza wananchi wa same bora hata hao wa kwenye jimbo la chenge,same hamna kitu kabisa kuanzia elimu miundo mbinu hadi kila kitu.
ninaweza kuprove

- Labda ungeanza kwanza ku-explain kwenye jimbo la Chief Mkwawa RIP Spika wa kwanza aliacha nini, Spika Mangenya RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, halafu Spika Shaba RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, Spika Msekwa amepeleka nini kwenye jimbo lake, na Spika Sitta amepeleka nini kwenye jimbo lake,

- Ninasema hivyo nikiamini kwamba nimekuelewa kuwa mgombea U-Spika lazima awe amepeleka something jimboni kwake, as a number one qualification ya kuwa Spika mzuri.

William.
 
Huyu grace Mugabe (Anne Malechela) anafagilia ufisadi uliofadhili ndoa yake hata Sofia Simba anajua! Kifupi hafai kabisa
 
Mkuu heshima yako!! unakumbuka hata DUDU (drugs dealer)alikuwa hero KWA wananchi wake kule Janmaica

- Exactly ninachosema, that is Demokrasia at work!, Dudu kama baba yake alikuwa akishirikiana na serikali pamoja na politicians, ndio maana baba yake mpaka leo yupo South Africa alikopewa hifadhi, ingawa wananchi wa Jamaica walidanganywa kwamba alifia kwenye cell yake kwa moto.

- Bungeni inapigwa kura ndiyo inayoamua nani awe Spika nani asiwe, labda ueleze toka tupate uhuru in your opinion, nani aliwahi kuwa Spika anayefaa Tanzania?

William.
 
Hoja ilikuwa huwezi ukatumia scale ya mtu 'kuchaguliwa' kuonesha kwamba 'anafaa'.. Pia, mtu bogus ni bogus tu hawezi akawa bogus kwangu akawa hero kwa mwingine.

- Well hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri kama Great Thinker, ninaamini hukupewa hilo jina bila sababu!

William.
 
Huyu grace Mugabe (Anne Malechela) anafagilia ufisadi uliofadhili ndoa yake hata Sofia Simba anajua! Kifupi hafai kabisa

- Ni sawa na kujadili Dr. Slaa na mke wa mtu, nimesema mara nyingi kwamba I will never go that low hapa kwenye uwanja wa Great Thinkers!

William.
 
- Labda ungeanza kwanza ku-explain kwenye jimbo la Chief Mkwawa RIP Spika wa kwanza aliacha nini, Spika Mangenya RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, halafu Spika Shaba RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, Spika Msekwa amepeleka nini kwenye jimbo lake, na Spika Sitta amepeleka nini kwenye jimbo lake,

- Ninasema hivyo nikiamini kwamba nimekuelewa kuwa mgombea U-Spika lazima awe amepeleka something jimboni kwake, as a number one qualification ya kuwa Spika mzuri.

William.

kwa akili yako unadhani wale wananchi akili zao zipo sawa?:sorry:
 
Back
Top Bottom