Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

- Jamani hivi kweli this is coming from a Great Thinker? Hizi ndio sababu za Mama Kilango, mbunge wa Same East, kutofaa kuwa Spika? Hizi ndio FACTS? Yaani as if tuko vilabu vya pombe kule Saigon!

William.
uMESAHAU KWAMBA PAMOJA NA U-GREAT THINKER..... WE DARE TALK OPENLY
 
Ni wakati umefika kwa watanzania na hasa wabunge kuelewa kwamba ushabiki wa siasa ndio umetufikisha hapa... Anne Kilango HAFAI kabisa kuwa spika wala kuwaza uspika, yeye ni vuvuzela and she doesnt practice what she preaches... alipokea pesa toka kwa guruu mmoja na bado akwaanamlipua mitaani, she too emotional na nadhani kwa level ya elimu atastruggle kuchnganua

tunataka spika mwenye upeo wa juu
, sio vigelegele na ushabiki... Anne hafiti kabisa

In short let alone kugombea uspika, hastahili kuwepo kwenye baraza la mawaziri, ni watu kama hawa ndio wanaomtesa mkwere kwenye performance yake

KWA SASA YATOSHA

- Alichukua pesa toka kwa Guruu mtaani, ni vuvuzela, ni very emotional, hana elimu, ni viongozi kama yeye ndio wanamtesa Rais.

- Hizi ndio sababu za Great Thinker za kwa nini Mama Kilango hafai kuwa Spika, labda tu niamini kwamba kuna maana nyingi sana kwa binadam kuwa Great Thinker!

William.
 
lol...sawa huyu ni mamako wa kambo lazima umtetee lakini the shoes are toooo big for her, NO thank you!pale panataka mtu makini sio jaziba za Anna Bushiri Kilango na sasa aka Malecela,kama anawashwa sana ajaribu unaibu japo aliyepo ni much better by far,Pinda or Lowassa could fit in better kwa sababu Six tumemchoka anataka kulifanya bunge NGO yake
 
Nadhani kuna haja sasa ya watu wenye uwezo fulani kuruhusiwa kuchukua fomu maana kuna siku hata john komba ataomba fomu ya uspika
 
kama sio sitta, watu kama malechela hadi leo wangekua wabunge, sitta allowed the bunge to float na ndio maana aliwatisha akina mamvi na ra

mtu asiyeelewa role ya sitta kwa tulipofika, ni bora arudi la tano akasome uraia

- Kwa hiyo mkuu kama ninakuelewa vizuri hapa, Sitta ndiye mfano wa Spika anayefaa?

William.
 
Tunahitaji kuweka vigezo na key qualifications kupata spika, otherwise hata john komba na hadija kopa wataomba uspika
 
lol...sawa huyu ni mamako wa kambo lazima umtetee lakini the shoes are toooo big for her, NO thank you!pale panataka mtu makini sio jaziba za Anna Bushiri Kilango na sasa aka Malecela,kama anawashwa sana ajaribu unaibu japo aliyepo ni much better by far,Pinda or Lowassa could fit in better kwa sababu Six tumemchoka anataka kulifanya bunge NGO yake

- Really?

William.
 
- kwa hiyo mkuu kama ninakuelewa vizuri hapa, sitta ndiye mfano wa spika anayefaa?

william.
sidhani kama anafaa, ningekua mimi ningetafuta spika toka zanzibar au vetting kali ifanyike tupate spika muwadilifu, sitta si muadilifu lakini amekua chachu kubwa ya mageuzi na hata kuanguka kwa mawaziri uwaonao wengine na wabunge maarufu ni kutokana na yeye kuruhusu ulipuaji

ila binafsi, kilango, lowassa and chenge... Out!!!
 
Tunahitaji kuweka vigezo na key qualifications kupata spika, otherwise hata john komba na hadija kopa wataomba uspika

- Kumbe hatuna vigezo na qualifications? Sasa kuchukua hela kwa guru, vuvuzela, na very emotional, hazikuwa qualifications wala vigezo? au kuna something nina miss hapa?

William.
 
- Hivi kumbe Mama Salma Kikwete ni jaji wa mahakama Tanzania? Halafu Ridhiwani ana kesi ambayo huwezi kumpelekea Jaji Mama Salma ndio maana Mama Kilango hafai kuwa Spika? Hivi ninasoma haya sawa sawa katika uwanja wa Great Thinkers?

William.

Wewe hata comprehension level yako ndogo.

Kajifunze kwanza nini maana ya analogy, ukisha hapo kajifunze nini maana ya conflict of interest.
 
sidhani kama anafaa, ningekua mimi ningetafuta spika toka zanzibar au vetting kali ifanyike tupate spika muwadilifu, sitta si muadilifu lakini amekua chachu kubwa ya mageuzi na hata kuanguka kwa mawaziri uwaonao wengine na wabunge maarufu ni kutokana na yeye kuruhusu ulipuaji

ila binafsi, kilango, lowassa and chenge... Out!!!

- Well mkuu naona kizungu zungu sasa na hizi Great Thinking zako!, sina uhakika kama ni facts au ni maoni!

William.
 
lol...sawa huyu ni mamako wa kambo lazima umtetee lakini the shoes are toooo big for her, NO thank you!pale panataka mtu makini sio jaziba za Anna Bushiri Kilango na sasa aka Malecela,kama anawashwa sana ajaribu unaibu japo aliyepo ni much better by far,Pinda or Lowassa could fit in better kwa sababu Six tumemchoka anataka kulifanya bunge NGO yake
mKUU UKO SERIOUS??

Richmond, greedy? chenges guardian angel, roastam confidant? kweli kabisa unasema hayo?

umekula nini leo?
 
Wewe hata comprehension level yako ndogo.

Kajifunze kwanza nini maana ya analogy, ukisha hapo kajifunze nini maana ya conflict of interest.

- Comprehension yako ni kubwa sana, ndio maana unasema mimi siwezi kumpigia kura Mama Kilango akigombea nafasi ya taifa maana nina uhusiano naye, itakua ni conflict of interest!

- Loh! Mungu atusaidie sana Wa-Tanzania na aibariki Tanzania. Maana this is serious stuff!

William.
 
Tutaongea weee... lakini ukweli uko palepale, Anna/Anne hafai, hawezi na hatapata uspika wala unaibu spika... labda kubeba ile fimbo kila siku
 
Tutaongea weee... lakini ukweli uko palepale, Anna/Anne hafai, hawezi na hatapata uspika wala unaibu spika... labda kubeba ile fimbo kila siku

- Siku hizi Tanzania imeanza kuwa na smart wananchi kuhusu siasa za taifa lao, sasa ninaomba ksuema hivi watakapokuja kuusoma huu mjadala wa Great Thinkers, ninaamini kuwa hawatakuwa na tatizo sana kuchambua mchele na pumba zilipo!

William.
 
- hivi kumbe mama salma kikwete ni jaji wa mahakama tanzania? Halafu ridhiwani ana kesi ambayo huwezi kumpelekea jaji mama salma ndio maana mama kilango hafai kuwa spika? Hivi ninasoma haya sawa sawa katika uwanja wa great thinkers?

william.

kwa poiny hizi bw. William, i start to doubt your thinking capacity..jamaa alivozungumzia kesi ya ridhiwani huwezimpelekea mama salma ilikuwa ni kama mfano..kuwa kama kuna kaundugu linapokuja suala la sheria inabidi either ujiuzulu kwa ile wanaita conflict of interest....ebu kuwa realistic kidogo, naona una argue kitoto kitoto..au ndo hilo jina?? Maake mitoto ya wakubwa wa bongo mijinga mijinga afu inataka kuonekana inajua..kama huyo rizi1 et al..
 
Anne Kilango hafai kwa post ya uspika hawezi kutawala maono yake ni mtu wa kulipuka na kile kiti kinahitaji mtu mstahimilivu , msikivu na mwenye hekima vinginevyo na mapepe aliyonayo hataweza kuhimili misumari mizito toka kwa vijana machachari walioingia bungeni , kwa kifupi mimi nimewahi kufanya kazi maeneo ambayo kilango alikuwa ni mswaaa
 
- Siku hizi Tanzania imeanza kuwa na smart wananchi kuhusu siasa za taifa lao, sasa ninaomba ksuema hivi watakapokuja kuusoma huu mjadala wa Great Thinkers, ninaamini kuwa hawatakuwa na tatizo sana kuchambua mchele na pumba zilipo!

William.

Right,

Kama vile kujua kwamba William Malecela hawezi kuwa objective katika ku asses uwezo wa Anna Kilango-Malecela.
 
kwa poiny hizi bw. William, i start to doubt your thinking capacity..jamaa alivozungumzia kesi ya ridhiwani huwezimpelekea mama salma ilikuwa ni kama mfano..kuwa kama kuna kaundugu linapokuja suala la sheria inabidi either ujiuzulu kwa ile wanaita conflict of interest....ebu kuwa realistic kidogo, naona una argue kitoto kitoto..au ndo hilo jina?? Maake mitoto ya wakubwa wa bongo mijinga mijinga afu inataka kuonekana inajua..kama huyo rizi1 et al..

- Unasema Mama Kilango, akigombea nafasi ya taifa mimi siruhusiwi kumpigia kura kwa sababu ya Confilct of interest hiyo ni sheria ya JF au ya jamhuri?

- Halafu eti ninakuelwa vizuri kwamba mitoto ya wananchi waongozwa huwa ina akili akili na huwa haipendi kuonekana inajua, eti ninakusoma vizuri hii hoja yako? ha! ha! ha! ha! Interesting jamani!

William.
 
Back
Top Bottom