Anne Kansiime snubs family efforts to reconcile her with husband

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Efforts to reunite Ann Kansiime and husband Gerald Ojok by family members from both sides have gone futile after Ann refusing to concede to family pleas and pressure.

The couple called off their relationship last year after claims that Ann had failed to give birth.
Ann and Gerald got married in 2014 in a traditional wedding at Ann’s ancestral home in Kabale.

Sources close the comedian said she is not looking to become a mother now as this would bring negative impact on her well established career.

Ann, one of Africa’s celebrated comedian has been seen spending most of her time at her Ann Backpackers hotel in Kabale. Gerald is now solely at the bar business the two had together in Ntinda, a Kampala Surburb.

The girl from Mparo, as she calls herself celebrated her birthday last week and is set to perform in Zambia next week.



Source: PML Daily
 
This is very bad for her. Atazeeka, na hatampata wa kumuwezesha ! Hiyo career inakufanya ushindwe kuimarisha familia yako, siyo carreer, ni upumbavu !! Mpeni pole mkimuona. Hii imepunguza ushabiki wangu kwake. if you can not value African family life...utakuwa na tatizo kubwa.
 
Aseh!, she seems capable of doing both, make babies and have a booming career. I guess I was wrong..
 
hana uhakika na kipaji chake ndiyo maana anataka aukamue umaarufu wake kadri anavyoweza kwa sasa ili akija kusanda walau akaunti iwe na salio la kutosha


Inawezekana kabisa ni kutokuwa na uhakika na kipaji chake. Sikumtegemea kwa hili.
Halafu hii kitu ipo kwa ma Star wengi wa kike especially, for some reasons. Most of them utakuta wana delay uzazi au kuzaa later in life, pengine for this very reason.
 
Huu utakuwa wazimu,watu wanatafuta watoto usiku na mchana yeye anaogopa kuzaa?Yaan yupo radhi apoteze ndoa kwa swala lililo ndani ya uwezo.Mungu mpe macho aone maana anaweza asione tena
 
plz my fellow Tanzanian speak English
Uganda mnajifanya hamjui Kiswahili wakati Kupitia Kiswahili mlikombolewa, tena kinafundishwa darasani kwenu. Mtu mmoja Mganda alitamka bila aibu kwamba hatakaa akaongea Kiswahili kwa sababu ati kinamkumbusha utumwani, ati kililetwa na waarabu. Kumbe kwenu ni bora ukoloni
 
Inawezekana kabisa ni kutokuwa na uhakika na kipaji chake. Sikumtegemea kwa hili.
Halafu hii kitu ipo kwa ma Star wengi wa kike especially, for some reasons. Most of them utakuta wana delay uzazi au kuzaa later in life, pengine for this very reason.
fact..!
wanaona ni heri wautumie muda wanaokuwa kwenye chati vya kutosha kabla ya the brightness of their stars fades away
 
Back
Top Bottom