Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

Mie sio mpelelezi lakini huyu mme wake inabidi aisaidie polisi nimefatilia huu uzi inaonekana kuna makusudi kabisa ya kupoteza muelekeo kwa kuingiza msiba ulotangulia wa kaka yake na huu huyu dada ili wauaji watembee salama.. Polisi wachunguze sana mie karata yangu bado iko kwa ex husband.. Inasikitisha sana kukatisha uhai wa dada akiwa bado mdogo kabisa !! Inaumaa.. RIP Anathe.
Mbona beki tatu mnamtoa katika equation.......beki tatu hapo ni miongoni mwa prime suspects.......maana alikuwa ni mtu wa mwisho eneo la tukio amabaye anaweza kutoa maele

Mbona beki tatu mnamtoa katika equation.......beki tatu hapo ni miongoni mwa prime suspects.......maana alikuwa ni mtu wa mwisho eneo la tukio amabaye anaweza kutoa maelezo ...........Pumbavu sana hawa murderers
 
Mkuu ni kweli back tatu nae yumo lakini mchongo mzima lazima aangaliwe huyo ex husband, back 3 atakua kavuta mtonyo tuu auze deal..Hapa kuna upotezaji lengo wa kesi mara oohh mali za erasto, mara sijui alikua anatembea na mme wa mtu. Mume wake walieachana huyo ndo mtuhumiwa namba 1, then back 3 hayo mengine baadae..mimi sio mpelelezi ..RIP dada.
 
Hizo picha hapo juu very sad yan
Ambavyo huyo mtoto hata haelewi whats going on....
Ana feel ipo moja analia kwenye jeneza
bd00898507022e5b75791cc341cf532d.jpg
 
Mkuu ni kweli back tatu nae yumo lakini mchongo mzima lazima aangaliwe huyo ex husband, back 3 atakua kavuta mtonyo tuu auze deal..Hapa kuna upotezaji lengo wa kesi mara oohh mali za erasto, mara sijui alikua anatembea na mme wa mtu. Mume wake walieachana huyo ndo mtuhumiwa namba 1, then back 3 hayo mengine baadae..mimi sio mpelelezi ..RIP dada.

We really dont know where the truth lies lakini nashindwa kumuhusisha moja kwa moja ex husband kwenye hili tukio kama suspect wa kwanza maana kama wameachana miaka miwili iliyopita na hakukuwa na rapsha hapa in between (kama ndugu zake wasemavyo) how can he be
 
Wiki iliyopita kulitokea tukio la kinyama maeneo ya kibada jijini Dar es salaam ambapo kuna Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Janeth Msuya aliuwawa kwa kuchinjwa akiwa nyumbani kwake.

Picha za tukio hilo zilisambaa sanaa mitandaoni na maneno mengi yakawa yanasemwa ndipo idara ya Hekaheka ikaamua kufunga safari mpaka eneo la tukio ili kuweza kujua kisa kizima kilichotokea.

Baada ya kufika eneo la tukio ambapo ni nyumbani kwa marehemu,Majirani wa eneo hilo walisema kwamba hawakuweza kusikia chochote kwa usiku huo mpaka asubuhi ambapo mtoto wa marehemu alipotoka na kwenda kugonga nyumba ya jirani akisema kwamba njaa inamuuma na akimuamsha mamayake haamki.

Katika mazungumzo na mjumbe wa eneo hilo anasema yeye alipata taarifa hizo asubuhi baada ya kupigiwa simu ndipo akaweza kufika hapo kwa Aneth na alipo ongea na majirani wa hapo hakuna aliyejua chochote.

Idara ya Hekaheka haikuishia hapo iliweza kufika hadi nyumbani kwa dada wa marehemu ambapo ndipo msiba ulikuwa huko.Akiongea kwa uchungu dada wa marehemu anasema siku ya tukio yeye alikuwa yupo Bagamoyo akiwa na dadayake mwingine ndipo walipata simu ikiwafahamisha kuwa Aneth amepata ajali akiwa na Mwanae.Baada ya muda kidogo simu ilipigwa tena ikiwafahamisha kuwa Aneth hajapata ajali ni amechinjwa tena amechinjwa chumbani kwake.

Kwa maelezo ya mtoto wa marehemu ambaye alishuhudia tukio hilo alisema kuwa waliingia watu watano nyumbani kwao ambapo walipitia mlango wa nyuma wakauvunja baada ya hapo waliingia chumbani ambapo ndipo alikuwepo mama yake.Katika kujiteteta marehemu alikimbilia chooni kwake na watu hao walimfwata hukuhuko wakavunja mlango ndipo wakamfanyia ukatili huo wa kumchinja.

Dada huyo akiendeleza kuelezea kwa uchungu anasema mwaka 2013 aliuwawa kakayake Erasto Msuya,mwezi wa kumi na mbili mwaka jana ndugu yake mwingine alipigwa risasi pamoja na mumewe na waliweza kufanyiwa upasuaji wakanusurika kifo na lingine ndio hili la Mdogo wake mwingine kuchinjwa.

Cha mwisho alichokisema dada wa marehemu ni kuwa kwa sasa wanaiachia Serikali na Upelelezi wafanye kazi yao.
 
Kwa aliyesikiliza maelezo ya dada wa marehemu atakubali kwamba kuna uwezekano mkubwa haya Mauaji mzizi wake unaanzia kwa ngazi ya familia. Kuna kitu kikubwa sana kinaizinga hii familia....only jesus can uncover the reason behind those killings and other attempts
 
Ni kweli kuna kitu kikubwa kwenye hii familia wote Hatujui ni nini, ila habari Za mitaani zinasema kua mke wa erasto hakwenda kumzika wifi yake si yeye wala watoto hawakwenda kumzika Shangazi Yao kama ni kweli hawakwenda sijui hii familia ina ugomvi gani
 
Basi kuna kasheshe kubwa sana
 
Ni kweli kuna kitu kikubwa kwenye hii familia wote Hatujui ni nini, ila habari Za mitaani zinasema kua mke wa erasto hakwenda kumzika wifi yake si yeye wala watoto hawakwenda kumzika Shangazi Yao kama ni kweli hawakwenda sijui hii familia ina ugomvi gani

Whaaat?!
Something is wrong sonewhere
 
Kuna mgahawa mmoja nimeusahau jina uko arusha metropole cinema ndugu wameuana sana kuugombea

Itakua ndugu wa erasto wanamsumbua mke wa marehemu kuusu mali , kuna binadamu ni mashetani huku duniani wanamsubili mtu afe waanze kupambana na mali
 
Hiyo ni kweli. mke wa Erasto hakwenda kuhani msiba wala mazishi. cjui kwa nn

Ya kweli hayo?? Usikute pia watu wanachukulia hiyo weakness point ya familia ya Erasto na Mke wa Erasto kulipiza visasi vyao.. Huyu mke wa erasto for good sake hata kama yeye ndiye muuaji alitakiwa aende msibani.. Kutokwenda tayari ni doa kwake
 
Back
Top Bottom