Anna Tibaijuka ameishia wapi na harakati za kurejesha maeneo yaliyoporwa?

Mkuu una maana gani unaposema kuna kitu kilicho msibu Prof. Anna, kama nakumbuka vizuri aliwahi kusema raia akiwa na hati ya kiwanja kukitokea uvamizi/mgogoro wa kiwanja mwenye jukumu la kufikisha suala hilo Polisi ni mwenye hati - wizara aihusiki na migogoro kama hiyo. Wizara inahusika tu na masuala ya uvamizi wa fukwe za bahari na viwanja vya wazi kila mtu aliona alivyo shugulikia masuala hayo bila woga, kazi hii ameifanya kwa ufanisi bila kusahau utetezi wake kuhusu mipaka ya bahari katika umoja wa mataifa, juzi juzi tulimuona akimkabidhi Mh.Rais Physical Address ya IKULU na zoezi hili litahusu nchi nzima, si hilo tu hata upanuzi/upimaji wa mipango miji unaendela huko Kigamboni.

Sasa MKUU unataka afanye nini cha ziada ili ulidhike kwamba crusade yake haikuwa nguvu ya SODA. Why pick on Mawaziri wachache wanao jitahidi kujaribu kuwajibika kikamilifu, Cabinet ina mawaziri zaidi ya thelathini na ushee - wengine huwezi kuamini kama wapo kweli au wamekwenda likizo, WAKO KIMYA kabisa!!! - wanao jitahidi mnawaona nongwa, kwa nini tuko hivi lakini?
 
its so unfair kwa walalahoi kuvunjiwa nyumba zao na wakubwa za kwao zinaachwa..huo ni uonevu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom