Elections 2010 Anna Tibaijuka ambwaga Masilingi

epigenetics

JF-Expert Member
May 25, 2008
269
80
Habari zinazochipukia sasa zinasema Anna Tibaijuka amempiku Wilson Masilingi katika kura za maoni kule Muleba. Prof Anna Tibaijuka alishinda kwa kupata kura 5,275 dhidi ya 2,092 za Masilingi. Kwa taarifa zaidi: BBC Swahili

In any case: we need this woman in the next cabinet.
 
oohhh si huyu mama ni wa UMOJA wa mataifa..UBUNGE TENA KULIKONI??? Au kishaahidiwa kitu nini
 
Naona atakuwa anajishushia hadhi yake Ukurugenzi UN hadi Ubunge wa TZ :nono: bado haijakaa sawa kwangu
 
bila shaka atakuwa creative kama magufuli. so we need her. If she perfome lower than our expectation, then she has to go.
 
Bravo mama, charity begins at home, kuja utumike nyumbani mama, Tuna amini mafisadi hawatakungoa meno na wewe, wang'ate kwa nguvu zote!
 
Back
Top Bottom