Anna Mgwira amechaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, vipi kuhusu David Zacharia Kafulila?

mmariii

Member
Jul 12, 2015
71
57
image.jpg
image.jpg
image.jpg
Mh.David Zacharia Kafulila shujaa alie fichua escrow, ni mwanasiasa alieonyesha uzalendo kwa wananchi wa jimbo lake na hata Taifa kwa ujumla. Nadhani ni mmoja kati ya watu wanaofaa kwenda na spidi ya Raisi wetu Mh. John Magufuli kwa kutumbua majipu. Mimi kama mtanzania mzalendo nitafurahi nitakapo sikia kuteuliwa nyazifa yeyote kwa Mheshimiwa huyu.
 
Rais Magufuli hachaguliwi viongozi na maoni ya mitandao.

Nadhani Hata Anna Mngwira hakupewa coverage kubwa ktk vyombo vya Habari wakati wa kampeni.

Lakini ni mmoja wa wagombea ambaye alikuwa anajieleza na kuinadi vizuri sana Ilani ya Uchaguzi ya ACT.

Haikuwa na kinyongo na mgombea yoyote na alisaini kukubali matokeo.

Tuna wengi wamefanya vizuri ktk maeneo ya kazi na uongozi si fadhila.
 
View attachment 520378 View attachment 520379 View attachment 520380 Mh.David Zacharia Kafulila shujaa alie fichua escrow, ni mwanasiasa alieonyesha uzalendo kwa wananchi wa jimbo lake na hata Taifa kwa ujumla. Nadhani ni mmoja kati ya watu wanaofaa kwenda na spidi ya Raisi wetu Mh. John Magufuli kwa kutumbua majipu. Mimi kama mtanzania mzalendo nitafurahi nitakapo sikia kuteuliwa nyazifa yeyote kwa Mheshimiwa huyu.
Ile picha aliyopiga akinadiwa Kwenye kampeni uchaguzi uliopita na lowasa na kunyanyuliwa mkono na lowasa huyu kafulila kaisahau au? Mpinga ufisadi wa kuaminika sio kigeu geu kama kinyonga
 
Rais Magufuli hachaguliwi viongozi na maoni ya mitandao.

Nadhani Hata Anna Mngwira hakupewa coverage kubwa ktk vyombo vya Habari wakati wa kampeni.

Lakini ni mmoja wa wagombea ambaye alikuwa anajieleza na kuinadi vizuri sana Ilani ya Uchaguzi ya ACT.

Haikuwa na kinyongo na mgombea yoyote na alisaini kukubali matokeo.

Tuna wengi wamefanya vizuri ktk maeneo ya kazi na uongozi si fadhila.
Tatizo✌️✌️
 
Mh. David Kafulila ni shujaa wa kweli, kwa kila kijana mzalendo ambaye ataweka itikadi za vyama pembeni lazima amkubali mtu huyu. Sh. Bilioni 300 za Escrow si pesa kidogo kulingana na hali ya uchumi ta nchi yetu hivyo tungependa kumuona katika serikali hii
 
Ahahah hawezi kumchagua kwasababu aliaharibu ulaji wa ccm.
Ulaji huyu ambaye ni damu damu na lowasa na lowasa Alikuwa akihangaika kumnadi watu wamchague? Huyu ni fisadi mtoto ndio maana kaenda chadema kumfuata lowasa aliyekuwa akimnadi.anna mgwira hajawahi nadiwa na fisadi yeyote au mtuhumiwa wa ufisadi yeyote she is Clean and not double standard Huwezi mlinganisha na kafulila
 
Hahahahahaha hivi wakati richmond inatokea kafulila alikuwa bungeni???? Yaani tukiongelea ufisadi basi ni Lowasa sio kagoda sio meremeta sio deepgreen sio mwananchi PLC sio buzwagi????

Ukweli ni kuwa wote waliopinga ESCROW ccm mlifanya kipa nia wasirudi kuanzi filikunjombe mpaka kilango mpaka ole sendeka mpaka kafulila maana walivuruga pesa za kampeni za ccm 2015!!!

Hta mghwira angekuwa chadema asingeteuliwa..... ACT ni Ccm
 
Ulaji huyu ambaye ni damu damu na lowasa na lowasa Alikuwa akihangaika kumnadi watu wamchague? Huyu ni fisadi mtoto ndio maana kaenda chadema kumfuata lowasa aliyekuwa akimnadi.anna mgwira hajawahi nadiwa na fisadi yeyote au mtuhumiwa wa ufisadi yeyote she is Clean and not double standard Huwezi mlinganisha na kafulila
Jaman tuepuke maneno ya kusikia, kama ni fisadi je kashitakiwa wapi? Tuwe na busara vijana wa Kitanzania. Tuchambue sentensi za kisiasa na ukweli wenyewe. Kafulila alipoitaja Escrow alikuwa na vithibitisho kwa wale tuliofuatilia bunge, je ww unaongea hayo kwa ushaidi upi??
 
View attachment 520378 View attachment 520379 View attachment 520380 Mh.David Zacharia Kafulila shujaa alie fichua escrow, ni mwanasiasa alieonyesha uzalendo kwa wananchi wa jimbo lake na hata Taifa kwa ujumla. Nadhani ni mmoja kati ya watu wanaofaa kwenda na spidi ya Raisi wetu Mh. John Magufuli kwa kutumbua majipu. Mimi kama mtanzania mzalendo nitafurahi nitakapo sikia kuteuliwa nyazifa yeyote kwa Mheshimiwa huyu.
Huyo si size ya chama chakavu,hiyo nafasi wampe moses machali,bi lizaboni,le mutuz,wakudavadua,jingalao na mafisi wengine wa chama chakavu
 
Jaman tuepuke maneno ya kusikia, kama ni fisadi je kashitakiwa wapi? Tuwe na busara vijana wa Kitanzania. Tuchambue sentensi za kisiasa na ukweli wenyewe. Kafulila alipoitaja Escrow alikuwa na vithibitisho kwa wale tuliofuatilia bunge, je ww unaongea hayo kwa ushaidi upi??
kilichompeleka kafulila chadema ni nini kama sio kumfuata lowasa angebaki NCCR angalau kwa mbali angeeleweka na angetaa kunadiwa na lowasa angalau kungekuwa na confidence kwa magufuli walau kumwamini hata kidogo na kumpa post
 
Kuna wengi waliorudi CCM kwa kasi kubwa baada ya kushindwa uchaguzi kwa lengo la kuvizia teuzi za mtukufu. Sijui wanajisikiaje jinsi wanavyokuwa overlooked kila siku.
 
Kuna shuhuli nyingi za kimaendeleo mkoani kilimanjaro ambazo Mh. Anna Mgwira anabidi azisimamie. Hospitali ya wilaya ya Siha haijamalizika, barabara ya kutoka Sanya Juu kuelekea Elerai km.34 pia shuhuli nzima ya ufufuaji wa kiwanda cha Mashine tools na vinginevyo... Tunasubiri kuona usimamizi wake!!
 
Rais Magufuli hachaguliwi viongozi na maoni ya mitandao.

Nadhani Hata Anna Mngwira hakupewa coverage kubwa ktk vyombo vya Habari wakati wa kampeni.

Lakini ni mmoja wa wagombea ambaye alikuwa anajieleza na kuinadi vizuri sana Ilani ya Uchaguzi ya ACT.

Haikuwa na kinyongo na mgombea yoyote na alisaini kukubali matokeo.

Tuna wengi wamefanya vizuri ktk maeneo ya kazi na uongozi si fadhila.

Isaidie jamii kwa namna hii!mie mtazamo wako umenifunza kitu!umejibu vizuri umejitahidi kujenga hoja!
 
Back
Top Bottom