Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu.

Ninapenda kuwaomba akina mama wote nikianza na Mhe mama Salma Kikwete aliyeasisi usemi na hatua hii, tushirikiane kunusuru maisha ya elimu ya watoto walioko vyuoni wenye sifa ya kuwa na mikopo lakini hawakufanikiwa kupata mkopo. Tuwahamasishe vijana waliobakia mitaani na majumbani kujiunga na vyuo vikuu kuanua akili zao changa kukidhi ushindani wa sasa kimaisha.

Naomba akina mama wote viongozi, wazazi, walezi, wafanya bishara, waajiriwa, wanaharakati bila kujali itikadi zetu za aina yoyote tusimame kama wanawake wazazi wenye nia kuejnga taifa la watu walioelimika tuunde mfuko wa kuwasiadia watoto wetu wafanikiwe kumaliza masomo yao kwa ujenzi wa taifa letu.

Nikitoka na mama Kikwete ninaomba wake za marais wote waliopita kuanzia na mama Karume (mzee marehemu na Rais aliyemaliza mda wake) mpaka mama Janet Magufuli anayenivutia sana kwa kuonesha moyo wa amani sana kwa taifa letu.

Baada ya hao nimuombe mama Anna Makinda na wabunge wanawake wote waliopo na waliomaliza tangu uhuru wa nchi yetu tuungane kumsaidia kila mtoto wa Tanzania mwenye uwezo wa kusoma asome.

Kisha kwa niaba ya wanawake wafanya bishara niombe kitengo cha wanawake cha TCCIA, Baraza la Biashara la wanawake...tukubali wito huu: Tuungane kama wazazi na walezi chini ya kauli mbiu: Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako...tuunde mfuko wa elimu kwa ajili ya vijana wetu.

Niombe vyama vya wana-taaaluma: waalimu, madaktari, wahandisi, watumishi wa umma, mabenki, makampuni yote ya ndani na ya kigeni, asasi za kiraia za ndni na za kimataifa, balozi zetu zote, tuungane kuunda chombo hiki kuwasaidia vijana wetu.

Nimeguswa sana na mahangaiko ya vijana wa vyuo vikuu. Ninawashukuru wachache waliofika kwangu kueleza changamoto zao. Mmenihamasisha kuchangia kidogo elimu yenu lakini ninaomba hili liwe suala la kitaifa.

Ninaomba wanawake wenzangu popote tulipo tuwasiliane tuunde umoja huu kuwaimarisha na kuwapa tumaini vijana na janga la kukosa elimu ya juu kama wana sifa za kuipata.

Tuweke kando siasa, dini, kabila, ukanda ama aina yoyote ya kigezo kufanikisha jambo hili. Ninawashukru sana. Kesho kuna wanafunzi watashindwa kufanya mitihani kwa kukosa ada kidogo tu ya laki kuanzia 5-8. Mfuko wa mama Salma, Mfuko wa mama Mkapa wa Fursa sawa kwa wote, Taasisi ya Benjamini mkapa, Taasisi ya Jakaya Kikwete, Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na zingine, tusaidiane kukamilisha azima hii. Na mimi nimeanzisha Taasisi ya Mama Anna Mghwira kwa ajili ya kushughulikia masuala ya aina hii.

Nitawashukuru sana kwa niaba ya vijana wetu, tuenzi elimu yao kwa kuunganisha nguvu zetu hivi. Mnisamehe kwa kuandika mtandaoni. Nimejaribu njia za kawaida za simu sikufanikiwa sana. Hapa ninajua kila moja atapata taarifa. Mapungufu yangu yasizuie jambo hili kutendeka. Jinsi tulivyo changia madawati, sasatuchangie elimu ya juu.

Niombe wizara na Bodi ya mikopo ya wanafunzi kutoa ushirikiano tutakapouhitaji utaalamu muwe nasi bega kwa bega.

Mungu atubariki wote, aibariki Tanzania.

Asanteni tena, ni mimi mama Anna Mghwira
za siku nimekukumbuka
 
Huna jipya tena na huna validity wala legitimacy to speak infront/onbehalf of the majority anymore since u have joined the devil side.
 
Kwa serikali inayojiita ya wanyonge inashindwa kugharamia(kuwakopesha) elimu ya watoto wake wnyw ni kitu cha aibu sana sema yote yaltokana na "Cost sharing policy" walioipinga wakati huo wakaishia kufukuzwa chuo
 
Mama Anna Mghwira kwa pamoja tukiwa kama watanzania tunaweza tukafanya jambo kubwa la kihistoria ambalo halikuwahi kufikirika hata kidogo pamoja na wazo hili zuri ningependa kukupongeza kuwa na roho ya kuwaza kusaidia watanzania wenye muelekeo wa kuweza kupata elimu ya juu mimi nikiwa mmoja kati ya vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2018 kwa mtazamo wangu na maoni yangu kama inawezekana kuitisha warsha fupi kwa NGO's zote kwa kuwashirikisha wajasiriamali wakubwa kama Reginald Mengi, Mohammed Dewji Said Salim Bakhresa na wengine wengi waweze kuchangia pia kadri jinsi watakavyo jisikia wao kwani vitu vyote kisiasa kamwe haviwezi kwenda kwani politics is there for purpose

lakini tukisema kwa pamoja kwamba tuweze kushirikisha taasisi zote zisizo za kiserikali wazo lako litaweza kupata mwanga kwa hali ya juu kwani kutokana na kuaminika kwako mama Anna Mghwira na nikiwa kama Mwanafunzi kwa pamoja inawezekana kama mawazo ya baadhi ya wachangiaji utayafanyia kazi japo kuna watu wanaogopa kukuunga mkono.

pamoja na watu wengi kutoa maoni ya kutaka kukukatisha tamaa lakini palipo na mafanikio hapakosi kuwa na changamoto na kukabiliana na changamoto ndiyo ukamavu katika nyanja zote.

nipende kukuomba radhi Mama yangu Anna Mghwira kwa kukuandikia maoni marefu kiasi hiki. { 0718816481 } for more explanations
 
Nakumbuka nilivunja masharti ya mafiga matutu...2015.ni zile Sera za ACT wazalendo ulizinadi vizuri sana...Nadhani huu ni muda wa kufanya maendeleo ya watu na sio vitu.
Kwakweli mliopo madarakani siwaelewi kabisa Nia yenu Nini haswa kwa taifa letu.
 
mbona nishawahi kuongelea hili mkani ignore,ni kwa vile tu sikumbuki heading ningeileta tena humu,anyway ni wazo zuri mama
 
Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu.

Ninapenda kuwaomba akina mama wote nikianza na Mhe mama Salma Kikwete aliyeasisi usemi na hatua hii, tushirikiane kunusuru maisha ya elimu ya watoto walioko vyuoni wenye sifa ya kuwa na mikopo lakini hawakufanikiwa kupata mkopo. Tuwahamasishe vijana waliobakia mitaani na majumbani kujiunga na vyuo vikuu kuanua akili zao changa kukidhi ushindani wa sasa kimaisha.

Naomba akina mama wote viongozi, wazazi, walezi, wafanya bishara, waajiriwa, wanaharakati bila kujali itikadi zetu za aina yoyote tusimame kama wanawake wazazi wenye nia kuejnga taifa la watu walioelimika tuunde mfuko wa kuwasiadia watoto wetu wafanikiwe kumaliza masomo yao kwa ujenzi wa taifa letu.

Nikitoka na mama Kikwete ninaomba wake za marais wote waliopita kuanzia na mama Karume (mzee marehemu na Rais aliyemaliza mda wake) mpaka mama Janet Magufuli anayenivutia sana kwa kuonesha moyo wa amani sana kwa taifa letu.

Baada ya hao nimuombe mama Anna Makinda na wabunge wanawake wote waliopo na waliomaliza tangu uhuru wa nchi yetu tuungane kumsaidia kila mtoto wa Tanzania mwenye uwezo wa kusoma asome.

Kisha kwa niaba ya wanawake wafanya bishara niombe kitengo cha wanawake cha TCCIA, Baraza la Biashara la wanawake...tukubali wito huu: Tuungane kama wazazi na walezi chini ya kauli mbiu: Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako...tuunde mfuko wa elimu kwa ajili ya vijana wetu.

Niombe vyama vya wana-taaaluma: waalimu, madaktari, wahandisi, watumishi wa umma, mabenki, makampuni yote ya ndani na ya kigeni, asasi za kiraia za ndni na za kimataifa, balozi zetu zote, tuungane kuunda chombo hiki kuwasaidia vijana wetu.

Nimeguswa sana na mahangaiko ya vijana wa vyuo vikuu. Ninawashukuru wachache waliofika kwangu kueleza changamoto zao. Mmenihamasisha kuchangia kidogo elimu yenu lakini ninaomba hili liwe suala la kitaifa.

Ninaomba wanawake wenzangu popote tulipo tuwasiliane tuunde umoja huu kuwaimarisha na kuwapa tumaini vijana na janga la kukosa elimu ya juu kama wana sifa za kuipata.

Tuweke kando siasa, dini, kabila, ukanda ama aina yoyote ya kigezo kufanikisha jambo hili. Ninawashukru sana. Kesho kuna wanafunzi watashindwa kufanya mitihani kwa kukosa ada kidogo tu ya laki kuanzia 5-8. Mfuko wa mama Salma, Mfuko wa mama Mkapa wa Fursa sawa kwa wote, Taasisi ya Benjamini mkapa, Taasisi ya Jakaya Kikwete, Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na zingine, tusaidiane kukamilisha azima hii. Na mimi nimeanzisha Taasisi ya Mama Anna Mghwira kwa ajili ya kushughulikia masuala ya aina hii.

Nitawashukuru sana kwa niaba ya vijana wetu, tuenzi elimu yao kwa kuunganisha nguvu zetu hivi. Mnisamehe kwa kuandika mtandaoni. Nimejaribu njia za kawaida za simu sikufanikiwa sana. Hapa ninajua kila moja atapata taarifa. Mapungufu yangu yasizuie jambo hili kutendeka. Jinsi tulivyo changia madawati, sasatuchangie elimu ya juu.

Niombe wizara na Bodi ya mikopo ya wanafunzi kutoa ushirikiano tutakapouhitaji utaalamu muwe nasi bega kwa bega.

Mungu atubariki wote, aibariki Tanzania.

Asanteni tena, ni mimi mama Anna Mghwira
Vipi Mama, je, eti ni kweli kuwa kuzungumza wakati unakula haiwezekani?
 
Tanzania tumekuwa tukilalamika kwa muda mrefu kuwa tunawekewa vikwazo kwenye misaada kwa sababu ya Ushoga. Nikakumbuka magojwa makuu ya Tanzania kuwa ni Ujinga, Umasikini, na Kukosa maarifa (maradhi). Kama tumeshindwa kutofautisha kati ya ushoga na Tabia mbaya kweli wanasiasa na wasomi (phd na maprofesa) bado tunasumbuliwa na ujinga.

Nini Maana ya shoga (Gay)

> Ni mtu ambaye anaongea kama mwanamke na tabia zake zinakuwa kama mwanamke siyo ugonjwa wa kujitakia lakini lazima aheshimiwe kwa sababu yupo hivyo kutokana na maumbile na tabia zake

Tafsiri wa Watanzania (tabia mbaya)

> Tumekuwa tukimtafisiri shoga kama ni mtu ambaye anafanya mapenzi kinyume cha maumbile, 'hii ni tabia tu' ambayo mtu anakuwa nayo kwa kujitakia kwa hiyo ni tabia mbaya ambayo mwanamke na mwanaume wanayo kwa sasa.

Wapi tujitoe ujinga.

> Ni muda watanzania tukafocus kwenye mipango miji (Master plan) ili kuwa na mipango endelevu la sivyo tutasubiri sana kupata maendeleo na itakuwa less developing country milele (Shithole).
 
Sister we are here for building the nation so let we compact together so as we pull our country from poor country to rich country
Msomi unayeenda chuo kikuu unashabikia CCM?? Hata kiingereza kinakushinda kuandika yote sababu ya elimu mbovu ya CCM ya kuwafunda kiswahili primary alafu sekondari wama switch inakuwa english mbaya zaidi sera ya elimu ya 2015 ndio imeenda kuzika rasmi elimu alafu wasomi kama wwe ndio mnasupport CCM wakato ndio imetufikisha hapa tulipo!! Yaani umenishangaza sana kwakweli

Kingine usiwaamini wanasiasa huyo mghwira alitetea enzi hizo ili apate mtaji wa kura za wanafunzi 2020 ila kwakuwa sasa keshapata ULAJI hapo anawaza kuwa mbunge au waziri hiyo 2020 maybe kwa viti maalum CCM so usidhani ana muda wa kuanza kupigania suala la mikopo. We endelea tu kuwa mpiga vigeregere wa CCM uone itakufikisha wapi.

Crap!!
 
Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu.

Ninapenda kuwaomba akina mama wote nikianza na Mhe mama Salma Kikwete aliyeasisi usemi na hatua hii, tushirikiane kunusuru maisha ya elimu ya watoto walioko vyuoni wenye sifa ya kuwa na mikopo lakini hawakufanikiwa kupata mkopo. Tuwahamasishe vijana waliobakia mitaani na majumbani kujiunga na vyuo vikuu kuanua akili zao changa kukidhi ushindani wa sasa kimaisha.

Naomba akina mama wote viongozi, wazazi, walezi, wafanya bishara, waajiriwa, wanaharakati bila kujali itikadi zetu za aina yoyote tusimame kama wanawake wazazi wenye nia kuejnga taifa la watu walioelimika tuunde mfuko wa kuwasiadia watoto wetu wafanikiwe kumaliza masomo yao kwa ujenzi wa taifa letu.

Nikitoka na mama Kikwete ninaomba wake za marais wote waliopita kuanzia na mama Karume (mzee marehemu na Rais aliyemaliza mda wake) mpaka mama Janet Magufuli anayenivutia sana kwa kuonesha moyo wa amani sana kwa taifa letu.

Baada ya hao nimuombe mama Anna Makinda na wabunge wanawake wote waliopo na waliomaliza tangu uhuru wa nchi yetu tuungane kumsaidia kila mtoto wa Tanzania mwenye uwezo wa kusoma asome.

Kisha kwa niaba ya wanawake wafanya bishara niombe kitengo cha wanawake cha TCCIA, Baraza la Biashara la wanawake...tukubali wito huu: Tuungane kama wazazi na walezi chini ya kauli mbiu: Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako...tuunde mfuko wa elimu kwa ajili ya vijana wetu.

Niombe vyama vya wana-taaaluma: waalimu, madaktari, wahandisi, watumishi wa umma, mabenki, makampuni yote ya ndani na ya kigeni, asasi za kiraia za ndni na za kimataifa, balozi zetu zote, tuungane kuunda chombo hiki kuwasaidia vijana wetu.

Nimeguswa sana na mahangaiko ya vijana wa vyuo vikuu. Ninawashukuru wachache waliofika kwangu kueleza changamoto zao. Mmenihamasisha kuchangia kidogo elimu yenu lakini ninaomba hili liwe suala la kitaifa.

Ninaomba wanawake wenzangu popote tulipo tuwasiliane tuunde umoja huu kuwaimarisha na kuwapa tumaini vijana na janga la kukosa elimu ya juu kama wana sifa za kuipata.

Tuweke kando siasa, dini, kabila, ukanda ama aina yoyote ya kigezo kufanikisha jambo hili. Ninawashukru sana. Kesho kuna wanafunzi watashindwa kufanya mitihani kwa kukosa ada kidogo tu ya laki kuanzia 5-8. Mfuko wa mama Salma, Mfuko wa mama Mkapa wa Fursa sawa kwa wote, Taasisi ya Benjamini mkapa, Taasisi ya Jakaya Kikwete, Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na zingine, tusaidiane kukamilisha azima hii. Na mimi nimeanzisha Taasisi ya Mama Anna Mghwira kwa ajili ya kushughulikia masuala ya aina hii.

Nitawashukuru sana kwa niaba ya vijana wetu, tuenzi elimu yao kwa kuunganisha nguvu zetu hivi. Mnisamehe kwa kuandika mtandaoni. Nimejaribu njia za kawaida za simu sikufanikiwa sana. Hapa ninajua kila moja atapata taarifa. Mapungufu yangu yasizuie jambo hili kutendeka. Jinsi tulivyo changia madawati, sasatuchangie elimu ya juu.

Niombe wizara na Bodi ya mikopo ya wanafunzi kutoa ushirikiano tutakapouhitaji utaalamu muwe nasi bega kwa bega.

Mungu atubariki wote, aibariki Tanzania.

Asanteni tena, ni mimi mama Anna Mghwira
Jinsi ya kutatua matatizo matatu ya Mwl. Nyerere (Ujinga, Umasikini na Maradhi) - JamiiForums
 
Can we have progress on the establishment of the proposed education fund? What has its proponent done since she was elevated to the post she holds today? How much did she contribute? In my opinion the proposal is still valid, however under the current environment is it workable?
 
Tanzania tumekuwa tukilalamika kwa muda mrefu kuwa tunawekewa vikwazo kwenye misaada kwa sababu ya Ushoga. Nikakumbuka magojwa makuu ya Tanzania kuwa ni Ujinga, Umasikini, na Kukosa maarifa (maradhi). Kama tumeshindwa kutofautisha kati ya ushoga na Tabia mbaya kweli wanasiasa na wasomi (phd na maprofesa) bado tunasumbuliwa na ujinga.

Nini Maana ya shoga (Gay)

> Ni mtu ambaye anaongea kama mwanamke na tabia zake zinakuwa kama mwanamke siyo ugonjwa wa kujitakia lakini lazima aheshimiwe kwa sababu yupo hivyo kutokana na maumbile na tabia zake

Tafsiri wa Watanzania (tabia mbaya)

> Tumekuwa tukimtafisiri shoga kama ni mtu ambaye anafanya mapenzi kinyume cha maumbile, 'hii ni tabia tu' ambayo mtu anakuwa nayo kwa kujitakia kwa hiyo ni tabia mbaya ambayo mwanamke na mwanaume wanayo kwa sasa.

Wapi tujitoe ujinga.

> Ni muda watanzania tukafocus kwenye mipango miji (Master plan) ili kuwa na mipango endelevu la sivyo tutasubiri sana kupata maendeleo na itakuwa less developing country milele (Shithole).
Kuna dhana kwamba hakuna anayezaliwa na tabia za kishoga na hakuna anayeweza kuwa na tsbia hizo kama hafanyi mapenzi kinyume cha maumbile.

Maelezo yako yanaonekana kupingana na dhana hiyo, nami nakubaliana sana hoja yako maana tangu nasoma huko kijijini, nikiwa sijawahi kusikia neno "ushoga", tulikuwa na watoto wa kiume waliokuwa na tabia za kike.

Waliongea kama wa kike, walipenda kuwasuka wasichana nywele na wasichana walipenda sana kusukwa na wavulana hao . Walikpenda kupika na mambo mengine yaliyofahamika kama ya kike enzi hizo.

sasa je, ni ushahidi gani wa kisayansi unaoweza kututhibitidhia kuwa mtu anaweza kuzaliwa na tabia za ushoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
75 Reactions
Reply
Back
Top Bottom