Leonard Mwaisunga
New Member
- Sep 25, 2017
- 2
- 0
Asante sana mama kwa wazo chanya,nitashukulu sana kama jambo hili litafanikiwa japo na mimi ni mmoja kati ya waathirika ambaye sina uhakika wa kumaliza masomo yangu na kwanza mwaka wa kwanza. Naomba Mungu awape nguvu katika kufanikisha jambo hili.Wazo zuri sana mfuko uitwe Anna Mghwira Education Support Trust Fund( AESTF) nitawaambia rafiki zangu pale kwa Mfalme kule redsea