Anna Mghwira na Wakuu Wengine wa Vyama Kuhamahama nini la kujifunza?

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,412
21,868
Kama chama cha siàsa ni itikadi ina maanisha nini pale kiongozi mkuu wa chama kama Anna kuhamia chama kingine chenye itikadi tofauti. Sina kusudi la kukosoa uamuzi alioufanya Anna kwa heshima zote ninauheshima ila nina maswali yasiyo na majibu kichwani mwangu.

Hii ni pamoja na wale makambare makubwa walichomoka CCM na kuingia upinzani. Je huu ni uzalendo, kujenga nyumba ileile au kuna lingine nyuma ya pazia.

Hivi hatuwezi jenga nyumba ile ile tukiwa na imani tofauti? Au mpaka tuunganishe itikadi! Maana yake ni kuwa kila anaye taka kuijenga nyumba ile ni mpaka ahamie CCM?

Je Kesho mjenzi mkuu wa nyumba ile akiwa CUF na walewale waliojiunga na CCM wakiwa na nia ile ile ya kujenga nyumba ile ile itabidi wahamie CUF?

Msimu mwingine ujenzi ukihamia Jahazi asilia na walewale wana nia ileile ya kujenga nyumba ileileje itawabidi tena wajiunge na Jahazi asilia?

Hivi ni viashiria kwamba falsafa ya vyama vingi haijulikani bado miongoni mwa wapiga kura na wapigiwa kura. Hii ni ishara tosha kuwa nchi kuingia kwenye vyama vingi mwaka ule wa 1992 ni sawa na Mmasai aliyedandia garimoshi linaloenda asikojua mmasai wa watu.

Kwa mwenendo huu wà siasa za Tanzania, vyama vingi vilitakiwa vije labda miaka 300 ijayo.
 
Mkuu siasa za Tanzania na hata Afrika suala la uumini wa Itikadi halipo kabisa bali watu hujiingiza ktk spheres za kisiasa kama ajira au fursa za kitafuta ustawi wa maisha.
 
Kama chama cha siàsa ni itikadi ina maanisha nini pale kiongozi mkuu wa chama kama Anna kuhamia chama kingine chenye itikadi tofauti. Sina kusudi la kukosoa uamuzi alioufanya Anna kwa heshima zote ninauheshima ila nina maswali yasiyo na majibu kichwani mwangu.

Hii ni pamoja na wale makambare makubwa walichomoka CCM na kuingia upinzani. Je huu ni uzalendo, kujenga nyumba ileile au kuna lingine nyuma ya pazia.

Hivi hatuwezi jenga nyumba ile ile tukiwa na imani tofauti? Au mpaka tuunganishe itikadi! Maana yake ni kuwa kila anaye taka kuijenga nyumba ile ni mpaka ahamie CCM?

Je Kesho mjenzi mkuu wa nyumba ile akiwa CUF na walewale waliojiunga na CCM wakiwa na nia ile ile ya kujenga nyumba ile ile itabidi wahamie CUF?

Msimu mwingine ujenzi ukihamia Jahazi asilia na walewale wana nia ileile ya kujenga nyumba ileileje itawabidi tena wajiunge na Jahazi asilia?

Hivi ni viashiria kwamba falsafa ya vyama vingi haijulikani bado miongoni mwa wapiga kura na wapigiwa kura. Hii ni ishara tosha kuwa nchi kuingia kwenye vyama vingi mwaka ule wa 1992 ni sawa na Mmasai aliyedandia garimoshi linaloenda asikojua mmasai wa watu.

Kwa mwenendo huu wà siasa za Tanzania, vyama vingi vilitakiwa vije labda miaka 300 ijayo.
Cha kujifunza ni kuwa nchi inapititia kipindi cha siasa za UMALAYA.
 
Back
Top Bottom